Search results

  1. T

    Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    Panya akidondokaje wakati nipo kwenye foleni? Bora kungekuwa hamna foleni unapitatuu vuuuuuuu.
  2. T

    Askari Traffic, kwanini hamkamati magari ya taka?

    Utakuta gari la taka linapita mbele ya askari trafiki na lina makosa yanayo weza kusababisha ajali, kwa mfano utakuta halina brake lights, indication lights, halina honi, limechakaa kiasi kwamba halina viwango vya kutembea barabarani, yaani na lenyewe ni kama takataka, lakini askari anajifanya...
  3. T

    Ni teknolojia ipi ya mwisho inayotukuka ulimwenguni?

    Binadamu kubafilishwa kichwa, kwamfano taahira anaweza kukatwa kichwa chake kikatupwa na aka pandikiziwa kichwa cha mtu mwingine ambae nimahututi ambaye kutokana na ajali ama maradhi flani ni lazma afe.
  4. T

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Mwigulu sialikuwa wizara ya fedha? na widhara ya fedha sindio inayo isimamia TRA?? Karudishwa tena??? Uuhfffff.
  5. T

    Malecela: Magufuli hatarini

    Mungu yupo nasi.
  6. T

    Rais mstaafu Kikwete naye aitikia wito na kufagia pia

    Naona kama anazuga zugahivi, alafu mbona hana sefty equipments kama mask, glavs na safety boots.
  7. T

    Kikwete kushika fagio Chalinze, wengine vipi? Tupeane updates za hili zoezi

    Jana nikiwa hapa waterfront nimesikia wakitangaza kuwa kesho usipaki gari pembeni ya barabara kutakuwa na catapila linasafisha njia katika halmashauri ya ilala.
  8. T

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Huyu ukimtishia kadi anaweza akasema, kadi!!!, kadi ndionini.
  9. T

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Hahahahaa mkuu let's be honest. Nikweli ada wanazotoza sasa nikubwa mno lakini kwa 150000 day, 380000 boding naona ni ndogo sana huwezi kumuhudumia mtoto kwa elimu,malazi na ulinzi kwa hiyo, labda kwakuwa wanafunnzi wanakuwa wengi lakini nadhani haiwezi kuwa less than 500,000/=.
  10. T

    Mtoto mdogo mwaka mmoja na nusu maumivu wakati wa kukojoa

    Heshima kwenu wakuu tafadhali naomba kujuzwa. Nina mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na nusu nisiku ya pili leo akianza kukojoa analia na anakojoa kidogo kidogo sijajua tatizo ni nini hasa. Afya yake ninzuri anacheza vizuri tu nawenzake ila akitaka kukojoa anakujambio huku akilia na mkojo unamtoka...
  11. T

    TANESCO yawasimamisha kazi Maofisa 7 kutokana na makosa mbalimbali, wizi na ubadhilifu

    Tega sikiolako wikiinayoanza kesho utashika kichwa.
  12. T

    TANESCO yawasimamisha kazi Maofisa 7 kutokana na makosa mbalimbali, wizi na ubadhilifu

    Huko tanesco pia kuna majipu yameshaiva tayari.
  13. T

    Hivi vikikusanywa vinyesi vya watanzania wote hatuwezi kuzalisha umeme wa kutosha?

    Unadhani wilaya gani itahitaji support ya umeme kutoka katika wilaya yenye vinyesi vya kutosha??? Na wilaya gani itakuwa na umeme mwingi kutokana na wingi wa kinyesi!!!.
  14. T

    Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Ooh sorry nimeiona, nadhani labda mchapishaji alikosea it's impossible, labda kama walikuwa na maana ya 1.5 mll day, na 3.8 mll bdng. Angalau inaweza kueleweka otherwise sioni jinsi itakavyo wezekana kwa figure hiyo hapo kwenye gazeti kama haijakosewa.
  15. T

    Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Hii lakitatu unayoisema ndivyo ilivyo au ulikuwa na maana ya million 3
  16. T

    Kuacha kazi Serikalini huku unadaiwa mkopo

    Subiri ukaguliwe kwanza kamauna JIPU ndio uachekazi huko serikalini.
  17. T

    DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

    Jembe lingine hilo linaingia, mjengoni Ni Kazi tu. Ngoja tuone.
  18. T

    Mwana"mme" kwa mwana"mke" sawa, mwana"ume" kwa mwana"uke" sawa?

    Ndio, yanatumika katika mada tofauti kama unavyo sema nisawa. Ukitaka kuongelea jinsia kwamaana ya aina nilazima umtaje mwanamme kama nilivyo andika mimihapa yaani "mwanamme" ukianza kutaja maumbile ndio kunakuja hiyo "ume" yani kama ulivyo andika wewe mwanaume which's not correct kwa kutaja...
Back
Top Bottom