Mambo yamerahisishwa sana, huna haja ya kusafiri kwenda Wizarani, nenda HR Office mahali unakofanyia kazi na ataprint salary slip kutoka kwenye mfumo unaoitwa LAWSON!
1 -Gharama za serikali mizigo ni shs.1,000/- kwa kilomita, sijajua cheo chako lakini wanapaswa kukulipia tani 3
2- Kusafirisha familia tumia viwango vya jedali la bei za nauli la SUMATRA
Naamini kuna kasma inayotengwa kwa ajili hiyo, kwa sababu hata Halmashauri mojawapo ya Manispaa pale Dar es salaam ilifuturisha viongozi na watendaji kwa gharama inayofikia shs. Milioni 10 Ijumaa ya juzi 19/08/2011.
Kwa kawaida during week-ends & holidays magari ya mafuta yanasafiri mengi zaidi kwenda mikoani (kwa uzoefu wangu wa moro road). Nakuhakikishia leo hakuna gari yenye mafuta inayopita!
Wakuu, kuna ukweli katika habari hii, nimeangalia kwa muda wa kutosha jioni hii 'flow' ya magari kutoka mjini kwenda mikoani kwa kutumia barabara ya Morogoro, sijaona gari lolote (fuel tanker) linalopita kupeleka mafuta mikoani. So the issue is serious!
upatikanaji wa nishati ya mafuta kuanzia...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni hiyo, Bw. Idd Simba amejibu tuhuma zilizoelekezwa kwake kuwa fedha zilizoingizwa kwenye Akaunti yake binafsi zilitokana na Ushauri wa Jumla wa Kibiashara aliotaka (Kisena) kutoka kwake, "alikuwa anastahili kulipa fedha zangu binafsi, Nilitoa...
Juzi mlikuwa kwenye maonyesho ya wiki la utumishi wa umma, Jana mlikuwa kwenye maonyesho ya 77, leo miaka 50 ya uhuru. Hangaikeni na kutatua suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika.
Nasimama kusema wengi wamekimbilia kwenye nafasi za ubunge na kamati za kudumu kwa ajili ya ulaji tu.Nina sababu kusema hivi; nimewahi kushuhudia mazungumzo baina ya makamu mwenyekiti wa kamati mojawapo ya kudumu ya Bunge akihangaika kupata namba ya simu ya CEO wa shirika ili "kumsaidia" shirika...
Hatua ya kwanza ni kujua alikuwa anachangia mfuko gani kati ya iliyotajwa na wenzangu, kisha kujaza form kutoka kwenye mfuko husika inayopaswa kuwasilishwa ikiwa imesainiwa na mwajiri wake (for this case; DED-Iramba) pamoja na doc. Muhimu kama barua ya ajira, confirmation na kibali cha...
Gazeti la MTANZANIA toleo la leo lina habari inatoeleza kuwa Gari la wizara ya maji linashikiliwa katika hoteli ya Landmark, Ubungo baada ya maofisa wa wizara kushindwa kulipa sh.milioni 58!
Ajali imetokea eneo la Resort, upande wa kushoto unapotokea ubungo, kwa sasa polisi na 'winch' la kukwamua 'container' wanaendelea na ukwamuaji. Lakini foleni ni kubwa pande zote hakuna magari yanayopita kwenda ubungo wala yanayokwenda mbezi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.