Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Naludia kusema mm ninapo kaa mkiiba kura Wala siitaji watu wengi Ila atakaye tangaza matokeo ya uwongo ajiandae.
  2. M

    Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    Unamjuwa Zitto au unamsikia tu? Kwa taarifa yako tu ata Magufuri agombee ubunge Kigoma mjini hawezi kamwe kumshinda Zitto.
  3. M

    Kumbe chopa zinaweza kutembea usiku?

    Jamani naomba kuuliza maana kuuliza sio ujinga. Dakika chache zilizopita chopa zinapishana hapa kwenye anga la Kahama zinaelekea kama Ushilombo hivi . Yani na ukubwa wangu wote sikuwai kufikilia kuwa chopa inaweza kupiga misele saa Saba na robo usiku tena sio moja. Mpaka Sasa hivi naogopa mwenzenu.
  4. M

    Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

    Wewe naye takataka tu. Ester Matiku, Ester Bulaya, John Heche, Bukoba katoka Rwakatale.
  5. M

    Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

    Hakuna mhaya mshamba wa hvyo labda wewe itakuwa wa ngenge.
  6. M

    CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Nina binge moja la tusi moyoni nilitaka nikutukane Ila basi tu. Ngoja nipige kimya.
  7. M

    Ifikie muda tumheshimu Maua Sama kama best female musician hapa Bongo

    Kuna ule aliimba na Ben Paul unaitwa that love. Ile ngoma ni shidah
  8. M

    Katika Uwanja wa Jamhuri wa Jijini Dodoma Simba imeichapa JKT Tanzania Mabao 4 kwa 0

    Mm ushabiki sipendi sana japo naipenda yanga Ila ukweli usemwe tungeongezewa ata mwezi mmoja mbele kikosi chetu kielewane. Tukienda kichwa kichwa tarehe 18 tunaweza kufa nyingi. Simba inacheza mpira jamani. Nasasa hapo ulikuwa kwenye ule uwanja mbovu? Jiulize wangekutana Taifa issue ingekuwaje?
  9. M

    Hebu tulizungumzie goli la Konde Boy vs JKT Tanzania

    Ushabiki sio kujitoa ufahamu mm nasema Tena ni Yanga kwelikweli ata Kama nipo mikoani Ila huyu mtoto na Chama hapa Tanzania hakuna wakuwafikia piga uwa. Jingine dogo nikama Gaucho Yani ata umchezee lafu yaye wakati wote nitabasamu tu. Tuache utani Chama na huyu mmakonde ni shida tupu.
  10. M

    Prince Dube: Shujaa asiyeimbwa

    Mm Yanga Ila yule mtoto anajuwa hakuna cha carhlinhos
  11. M

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

    Wewe naye bwa tu kwani sisi tunaishi mbinguni situko wote mitaani muengueni muone tutamalizana uku uku.
  12. M

    Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

    Mm sio mfia chama kiasi hicho braza interview za serikali sio kila anayekuja kufanya interview ni mtafuta ajira pale Kuna kuanzi usalama wa taifa, uamiaji na vyombo vingine muhimu. Wao kazi yao nikuchunguza tu. Mwambie ata mwanao awe makini na hizi interview za serikali.
  13. M

    Mfano tumechukua Nchi Tuanze na nani kumfukuza kwenye taasisi kubwa?

    Nafamu upepo sio mzuri na mpaka muda huu Kuna people zinapumlia mashine. Mm mwaka huu ata watu wote wakatae barabarani nitaingia. Miaka 30 ya umri wangu elimu yangu unaenda kufanya interview ya kazi serikalini unawapita wote Ila wakigudua una kadi ya upinzani wanakuengua. This time around...
  14. M

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

    Yani pandiki awe Lissu alafu aliyetuaidi Noah nchi nzima timatu? Kwetu Sasa hivi tungekuwa na Noah 32. Alafu tutoke kwenye madai ya Tilioni 467 Tubate bilioni 500 tu? Ata Kama nikuchumia tumbo hapa mmepilitiza
  15. M

    Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

    Kwamba mwaka huu nipige kura alafu muibe? Mm naomba mjalibu kwani huyo mkurugenzi wa uchaguzi anaishi mbinguni? ata Kama ni mbiguni mwaka huu namfata ukouko.
  16. M

    Uchaguzi 2020 Pemba: Mkutano wa Maalim Seif viwanja vya Mapofu, Wingwi

    Wakavuluge kwa baba yao uko Yani kwa umri huu nilionao nimuogope mtu? Yani Kuna mtu nitamkata makofi mpaka atoamini
Back
Top Bottom