Search results

  1. Kimbley

    Ni mwanaJF yupi ungependa umuone ana kwa ana na kwanini?

    Heshima kwenu wanajf wenzangu, Mimi kwa upande wangu natamani niwaone wanajf wote hasa mshana Jr!Hebu nawe funguka nani unatamani umuone. Karibuni wote
  2. Kimbley

    Wapenzi wote wa uji pitia hapa

    Mi mgeni kwenye jukwaa lenu wapendwa ila limenivutia sana nikaona si mbaya kama nitashare nanyi ujuzi na kupata mawazo mapya kuhusu mapishi mbali mbali. Leo wapenzi ningependa muonje uji wa tangawizi mbichi niliouandaa na mahitaji ni kama ifautavyo; 1.Unga wa ulezi wa mchanganyiko...
  3. Kimbley

    BASATA wakanusha taarifa ya Miss Tanzania kufunguliwa

    Baraza la Sanaa Tanzania leo hii kupitia vyombo vya habari vimekanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii na kutangazwa na baadhi ya vituo vya redio kuwa lile shindano la kumsaka mlimbwende la Miss Tanzania limefunguliwa kuwa si la kweli. Aidha,Baraza hilo limedai kuwa juhudi...
  4. Kimbley

    Chloramphenical eye drop inaweza kuua mtoto?

    Je CHLORAMPHENICAL EYE DROP Inaweza kuua mtoto aliyeko tumboni wa wiki 32 ikitumiwa na mama mjamzito?
Back
Top Bottom