Search results

  1. D

    Mpaka mwaka 2050 hakutakuwa na watu wenye utimamu wa maadili

    Huwezi shindana Na Dunia ,utapita Duniani,Na utaiacha,Haya yote yapo Duniani tokea karne
  2. D

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Pole Sana,Katika nafsi yako Na Moyo Wako Mkaribishe Mungu,Hesabu umetoa sadaka,peleka Maombi yako Kwa Mungu atakuondolea Maumivu Na utaendelea kusikia furaha
  3. D

    Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

    Mimi ninachojua historia ya Maafuriko ya Mto Rufiji hayajaanza Leo,Ni kitu kimeanza tokea Mwaka 1968, Na Bwawa limepunguza kasi ya Maafiriko Kwa wananchi though Ni dogo, Kinachohitajika hapo Ni kuhamisha wananchi wote kutoka kwenye Hilo Eneo hatarishi wapewe Eneo Jingine Na Hilo Eneo la Bwawa la...
  4. D

    Anahitajika Afisa Masoko

    Habari ndugu, Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam. Vitu muhimu; Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k Awe na umri miaka 20-25 Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
  5. D

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    UKIHITAJI KITU CHOCHOTE USED KWA GHARAMA NAFUU NICHEKI UTAKIPATA MARA MOJA NA UTALETEWA ULIPO,0758918144
  6. D

    Vitu gani kwa wengi ni vya kawaida ila kwako sio vya kawaida

    Kwanza ni mbaya zinapunguza usikivu Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  7. D

    Vitu gani kwa wengi ni vya kawaida ila kwako sio vya kawaida

    Mimi sipendi kabisa kupost picha za watoto,mke au ndugu wa karibu kwenye mitandao ya kijamii Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  8. D

    Panya Road achomwa moto Manzese

    Huyu panya road angeachwa dakika chache tuu na yeye angeweza kukuua wewe mleta mada Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  9. D

    DOKEZO Scam Alert: Kalynda E-Commerce Investment ni Qnet Inayochipukia, ITV watumika

    Fursa Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  10. D

    Nawezaje kuacha tabia sugu niliyoanza ya kupenda kula kula

    Kama una uwezo wa kula na Chakula kilo,kula ndugu yang,maana kushindwa kula au kupoteza hamu ya kula ni mbaya zaidi Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  11. D

    DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Si upande Gari lenye hoteli nzuri Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  12. D

    Njaa haina adabu, uliwahi kukamatwa na njaa kisawa sawa na uliituliza vipi ?

    Njaa haivumiliki Jamani,unaweza jikuta unatia kinywani hata kitu kikichooza kutuliza tumbo Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  13. D

    Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?

    Nafikiri wengi wao huwa wanaishia kwenye professional jobs mfano madaktari,Engineers,na wanasheria,na ukiangalia sekta nyingi zinaongozwa na wanasiasa,na ni rarely kukuta hizo cadre zikiwa kwenye leadership Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  14. D

    Karume, Dar: Ghorofa linaungua muda huu

    Mateja wameunga mitambo tena? Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
  15. D

    FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Yanga wanarudisha very soon
  16. D

    Medical Doctor (MD) anahitajika

    Damu changa hawatulii,
  17. D

    Medical Doctor (MD) anahitajika

    Akipatikana ambaye ni mstaafu itapendeza zaidi,kwa ajili ya kutoa huduma za tiba
Back
Top Bottom