Search results

  1. Hazard CFC

    Computer4Sale HP Elitebook 840 G3

    HP ELITEBOOK 840 G3 + Free Wireless Mouse & Free 32GB Frash Drive Price: 450000Tsh Status: used Size: 14inchs Colour: Silver Model: Elitebook 840 G3 System Properties Intel (R) Core (TM) i5-6300U CPU @2.4GHz (4CPUs),~2.5GHz RAM: 8GB SSD: 256GB DirectX: 12 Graphics Properties Intel (HD)...
  2. Hazard CFC

    Ndoa zinakufa kila kukicha siku hizi

    Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu...
  3. Hazard CFC

    INAUZWA Pikipiki aina ya boxer BM150 inauzwa

    Boxer bm150 Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji bei Tsh 680,000 0658643636 Mbezi Magufuli stand
  4. Hazard CFC

    Nauza kreti za bia na soda

    Nauza kreti za bia na soda zipo 150.. Napatikana dar es salaam mbezi luis.. 0658643636 Kreti za bia 12000 Kreti za soda 11000
  5. Hazard CFC

    Happy woman's day to all ladies in this forums

    Nawaheshimu sana wanawake...mbarikiwe sana mnamioyo ya ajabu sana nyie watu. Karibuni tupige story Espy Eroni Depal mahondaw Lizzy Yna2 Mzigua90 Shunie Hannah Karma Sky Eclat Karucee Zesh Sakayo Shadeeya Hornet Na wenginee wengiii niliowasahauu
  6. Hazard CFC

    Nahitaji kreti za SBL na TBL

    Habari, Mwenye kreti tupu za bia na soda kampuni kampuni Coca, pepsi, SBL na TBL nahitaji. Zingatia bei za kreti kwenye magari (wasambazaji) ni 10k so make sure bei zako zipo chini ya hapo. Asante 0658643636 Dar es salaam
  7. Hazard CFC

    Nahitaji kreti tupu za bia au za soda Dar es Salaam

    Habari, Mwenye kreti tupu za bia na soda kampuni kampuni Coca, pepsi, SBL na TBL nahitaji. Zingatia bei za kreti kwenye magari (wasambazaji) ni 10k so make sure bei zako zipo chini ya hapo. Asante 0658643636
  8. Hazard CFC

    Umejifunza nini hapa?

    Stat Leaders in UEFA Euro 2021, Most goals - [emoji1201] Ronaldo (5) Most assists - [emoji1237] Steven Zuber (4) Most free kicks - [emoji1087] Damsgaard (1) Most key passes - [emoji634] Marco Veratti (14) Most chances created - [emoji1045] De Bruyne (16) Most successful dribbles -...
  9. Hazard CFC

    Vipi zimeshukaaa???

    Wakuu jana sijalala kabisa kuisubiri hii siku ya leo.. Nauliza zimeshukaaa?? Nikiwa na ten napiga 10 kweliiii Mshana Jr hujauliza huko, nipo barabarani magari yao hayapitii kabisa leo Mwenye namba zao atusaidie
  10. Hazard CFC

    Nayashauri makampuni ya simu yaanzishe fixed accounts kwenye huduma zao za kifedha

    Nayashauri haya makampuni makubwa ya simu kunzisha fixed account ambazo tutakua na uwezo wakuweka pesa tu bila kutoa hata iwe mvua liwake jua kwa kipindi cha mwaka na zaidi. Mteja apewe options ya kuchagua muda ambao ataweza kuitoa pesa yake. Options ziwe mbili kutoa baada ya muda flani au...
  11. Hazard CFC

    Je, EPL imerudi kwenye ubora wake kudominate tena ulaya?

    La liga kwa kipindi kirefu takribani miaka 10 ililitawa soka la ulaya kwenye michuno mikubwa ya uefa na ile michuano ya losers wengi wanaiita futuhi Europa. Lakini msimu huu kuna kila dalili uefa fainali ikawa ya waingereza kati ya chelsea vs man city na europa wakakutana kati ya arsenal vs Man...
  12. Hazard CFC

    Mtoto mdogo wa miezi 8 hataki kula chochote

    Katoto kamiezi nane kamegoma kula chochote hata ukimkaba anatapika chakula chote, Cerelac Uji Mtori Juice(embe,papai,parachichi) Anatumia dawa ya malaria huenda ndio inamfanya ashindwe kula?? Nini kifanyike? Sky Eclat
  13. Hazard CFC

    Wife anateseka lakini kakataa katakata kumweka msaidizi wa kazi

    Ni jambo lakusikitisha sana pamoja na majukumu mengi anayopitia wife kagoma kabisa mimi au yeye kutafuta dada msaidizi wa kazi za nyumbani.. Nikimuuliza kwanini hataki hatoi majibu yakueleweka anasema basi tu sitaki, Nimemsihi sana abadili mawazo yake hasi ili niweze kumpunguzia majukumu na...
  14. Hazard CFC

    Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

    Mimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo tangaza tena...nitakua na chupa yangu moja ya whiskey na wine ndani kila baada ya mlo wa ucku...
  15. Hazard CFC

    Mashabiki wa Plateau tumejitokeza kwa wingi airport kuipokea timu yetu

    Nimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi Daima mbele nyuma mwikoo
  16. Hazard CFC

    Mapishi ya wine (mbege) hatua kwa hatua

    Hatua kwa hatua mapishi ya mbege. Mahitaji kimjini mjini 1. Ndizi mbivu 2.ulezi 3.msesewe 4.mkaaa 5.ndoo walau 4 5. Maji Chukua ndizi mbivu zilizoivaa kabisa na kulainika sana,zimenyee kwenye chombo kisafi uziponde ponde( hii inasaidia ziive mapema)..zitie kwennye sufuria zichemshe bila maji...
  17. Hazard CFC

    Pole dear Ex

    Poleee dear ex mwenzako nipo salamaa, Mambo ya mastress nishasahau hizo zamaa, Alafu sizeeki nadekezwa utadhani mwana, Tena mchoyo hakiombeki penzi sio la kugawana, Ujinga wakuombana password za JF kwa sasa hakunaa
  18. Hazard CFC

    Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

    Frem ya mita 3 kwa 4 ni milion 5 kwa kodi ya mwezi. Hiyo hapo ni kwa ajili ya E.MONEY shops(uwakala) sijui mtu atafanya biashara kiasi gani kuweza kupata kiasi hicho cha kodi,mshahara wa mfanyakazi/kodi za serekali, faida n.k Picha ya tatu ni mita za mraba 42 eneo la cafe na fastfood bei ni...
  19. Hazard CFC

    Happy chagga's day to you all

    Leo Ni Sikukuu Ya Wachagga Duniani(World's Chagga Day), Ni Siku Kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa Kila Mwaka Siku Ya Novemba 10, Miaka Ya Kabla Ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka Michache Baada ya Uhuru Wa Tanganyika. Siku Hii Ilisherehekewa Kitaifa Kilimanjaro Katika Ikulu Ya Mangi Mkuu wa Wachagga...
  20. Hazard CFC

    Kwa huzuni niliyonayo sitoshiriki tendo la ndoa kwa wiki 2

    Tendo la ndoa ni tendo la furahaa unatakiwa kulishiriki ukiwa na furaha moyoni sasa kwa yanayoendelea ni ngumu hata kulifikiria tendo hilo. Sitoshiriki tendo hilo kwa wiki 2 nikijaribu kupona na kusahau yaliyotokea jana na leo,tunapitia kipindi kigumu sana. Wife kaafiki kwani hata yeye kakosa...
Back
Top Bottom