Search results

  1. euca

    Msaada kwa Desktop isiyofunguka Setting app

    Habari za wakati huu wadau wa Jamiiforums, Ama baada ya salamu ni kwamba nina desktop aina ya Dell, nimekuwa niikitumia kwa matumizi ya kawaida tu mfano scanning, printing n.k lakini baadae ikaongezeka matumizi ikawa inaunganishwa na Router kufanya mambo mengine mitandaoni. Mara nikaona...
  2. euca

    Msaada kuhusu USB setting

    Habari Wanajamiiforum ni kwamba Kuna smart nimenunua na katika matumizi yangu nilihtaji kuingiza document fulan kutoka kwenye kompyuta na nilipochomeka USB ikaja option ya kuchagua kama picha inavyionekana hapo chini. But baada ya siku kadhaa nikijaribu kuchomeka tena USB kwa ajili ya kuhamisha...
  3. euca

    Naomba kufahamishwa mabasi ya kwenda Mbogwe - Geita

    Habari za asubuhi wadau wangu wa nguvu wa JamiiForums. Nahitaji kufahamu mabasi, nauli na njia ipi ni nzuri kutokea Dar es Salaam ili niweze kufika wilaya ya Mbogwe mkoa wa Geita. Asanteni.
  4. euca

    Msaada wa ujazaji PH form kutoka IOM

    Wandugu habari za jioni ,ni kwamba katika pitapita zangu huko mitandaoni nikakutana na tangazo la kazi kutoka shirika moja la kimataifa ambalo ni International organization for Migration bt kabla ujaomba kuna form au PH FORM napaswa kujaza so naomba msaada wa maswali namba 11,12,13 na 20. Pia...
  5. euca

    Nini tofauti kati ya Barchelor of Accountancy na Barchelor of Accountancy with IT?

    Habari za jioni wadau nina ndugu kachaguliwa hizo kozi hapo juu ambazo ni BARCHELOR OF ACCOUNTANCY ya TIA Dsm na BARCHELOR OF ACCOUNTANCY WITH INFORMATION TECHNOLOGY ya IAA Arusha.So ipi ni nzuri hapo wadau
  6. euca

    Msaada wa kutambua Model ya simu kwa kutumia IMEI namba .

    Habari za Asubuhi wadau wa Jforum ,Bila kupoteza muda ni kwamba nina simu ambayo Imevunijka display Kwahyo haioneshi chochote zaidi ya mwanga tu,Hvyo nina mpango wa kuagiza display lakin sifahamu model ya simu lakini nimepata IMEI namba ambayo ni 8765777963558286Nimejaribu kuchek kule TCRA...
  7. euca

    Kuitwa kwenye usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Majina haya hapo
  8. euca

    Naomba kueleweshwa kuhusu uhusiano uliyopo kati Radi na kisamvu

    Habari za wakati huu member wenzangu, Bila kupoteza muda ni kwamba maeneo ninayoishi majuzi mvua ilikuwa inanyesha but baadaye ikakata na kisha radi za kibabe zikawa zinapiga na kumetameta kabisa. Kisha mida ya jioni mvua ikakata lakini radi zliendelea kunguruma na kumeta. hali hiyo ya...
  9. euca

    Msaada: Kwa mwenye soft copy za Elements of Business Mathematics and Statistics anisaidie

    Habari wana JamiiForums, Naomba mwenye notes soft copy ya TO2, elements of business mathematics and statistics zinazotolewa na NBAA anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. euca

    Naomba msaada wa maelekezo kwa waliowahi kusafiri nje ya nchi au kwa yeyote anayefahamu

    Habari za asubuhi wana jamiiforums Bila kupoteza muda ni kwamba nina sister wangu huwa anasafiri kwenda southafrica na akifika huko huwa anakaa kwa miezi mitatu au chini ya hapo but mwezi wa 9 alisafiri hadi huko na akawa huko mpaka mwezi huu tarehe 20. Hivyo alivyofika hapo uwanjani wakati...
  11. euca

    NBAA kusini

    Habarini za usiku wana jamvi ,hvi kwa mikoa ya Lindi na mtwarA wapi kunapatikana wale tuition provider wa kozi za NBAA?
  12. euca

    Msaada

    Habari za asubuhI wana jamiiforum,bila kupoteza muda ni kwamba kuna kitu nataka nifuatilie mkoa Lindi hvyo nina hitaji mtu ambaye anaishi Lindi mjini au kufanya kazi halmashauri ya Lindi mjini .Mawasiliano 0782535854 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. euca

    Msaada wa kazi ya kukatisha tiketi

    Habari za jioni wadau,nataka kuomba ile kazi ya kukatisha tiketi mlangoni katika viwanja vya sabasaba.Hivyo naomba kufahamishwa ni kampuni gani ambayo imepata tenda hyo ili niweze kupeleka maombi huko asanteni.
  14. euca

    Naomba ushauri kuhusu masuala ya mimba

    Habari za usiku wana jukwaa ,ni kwamba nina mpenzi ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka kadhaa hali ya kuwa kila MTU anaishi kivyake yaani yeye anaishi kwao.Mwaka Jana mwezi wa 11 mwishoni tulikutana kimwili kuanzia siku hyo mpakA Leo hatukuwahi kupga tena show.Sasa juzi kaenda hospital I...
  15. euca

    Msaada wa kazi

    Habari zenu wadau,Nina matumaini kuwa mko salama .Kwa ufupi ni kwamba naomba kusaidiwa kupata zile kazi za vibarua vya kufagia na usafi pale bandarini.Hvyo kwa yeyote ambae anafanya pale au anajua jinsi kupata hzo kazi basi anisaidie.Elimu yangu ni F6 mawasiliano 0783535854.
  16. euca

    Msaada: Vulcanizer ana-deal na nini na kazi zake ni zipi?

    Habari za jioni wadau,nimatumaini yangu muko poa . Leo pitapita zangu katika mtandao wa Zoomtanzania nikakuta tangazo la kazi katika kampuni Fulani kuwa anahitajika VULCANIZER. So swali ni kwamba huyu vulcanizer anadeal na nn hasa au kazi take n nini na hyo kampuni ni ya transport and...
  17. euca

    Tuliochaguliwa kujiunga na meteorological centre Kigoma tukutane hapa

    Habari za jumatatu wadau? NACTE wametoa matokeo kwa wale walioomba kozi mbalimbali ngazi ya cheti na diploma so naomba wale wote waliochaguliwA NATIONAL METEOROLOGICAL CENTRE tukutane hapa ngazi ya cheti na diploma.
  18. euca

    Msaada kwa waliosoma vyuo hivi

    Habari zenu, Wakuu naomba mwenye kusoma katika vyuo vifuatavyo NATIONAL METEOROLOGY TRAINING CENTRE na MATI- UYOLE au aliyemaliza aniPM au anitafute kupitia 0657208660 . Kuna kitu nahitaji kujuzwa
  19. euca

    Msaada kuchagua kati ya kozi hizi

    Habari zenu wadau, Naombeni ushauri juu ya hizo kozi hapo chini 1.Hydrology and meteorology 2.Water supply and sanitation Eng 3.Irrigation Engineering 4.Water laboratory technology 5.Hydrogeology and water well drilling Ipi ni nzuri katka soko la ajira?
Back
Top Bottom