Search results

  1. N

    IGP Simon Sirro nisaidie dhamana ya wadogo zangu Kituo cha Dakawa

    Sina hakika kama mkuu wa upelelezi wa kituo cha Dakawa ni binadamu wa kawaida Leo nimefuatilia dhamana ya wadogo zangu ambao wameshikiliwa kituo cha Dakawa tangu jumatatu kwa kosa la kupigwa na vijana WA kimasai, naomba nieleweke vizuri 'kwa kosa la kupigwa na vijana wa kimasai' Nimemkuta mkuu...
  2. N

    Mtaalamu wa Core System ya kwenye supermarkets

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, mimi ni Mwalimu ila nilijiongeza nikajifunza system hii ya mauzo hasa katika supermarkets, nina uzoefu nayo. Kwa yeyote mwenye supermarket au duka na anatumia system hii, naomba nikufanyie kazi.
  3. N

    Msaada, anawashwa ukeni na amekutwa na UTI, je atakuwa na tatizo lingine?

    Mke wangu anapata maumivu na kuwashwa ukeni, Nimempeleka hospitali amekutwa na UTI ila sina hakika kua sababu za kuwashwa kwake ni UTI pekee maana kabla ya yeye kupata hilo tatizo, nilitembea na binti fulani hivi so nashindwa kuelewa itakua ni gonjwa la zinaa au itakua ni UTI hiyo hiyo...
  4. N

    Kung-fu kwa hapa Moshi

    Mimi ni mpenzi wa michezo ya mapigano ila tatizo langu nmekosa mwalimu wa kunielekeza, hivyo basi kwa yeyote mwenye uwezo mzuri katika michezo hii naomba tufahamiane ili ikiwezekana tuanze mazoezi. NB; Ni kwa nia njema tu ya kujilinda na kujenga mwili Wenu mtiifu, nyakubonga.
  5. N

    Nimepatikana!

    Jamani msaada tafadhari, mimi ni kijana mdogo( nunda flani ivi) katika pilikapilika zangu za apa na pale,nimetokea kupita na tudemu twingi tu...ila hakika sijawahi kupenda(huwa napiga na kuacha...naogopa kuachwa), kinachonikosesha amani ni huyu binti ambae niko nae sasa,ni binti mzuri tu, nmezaa...
Back
Top Bottom