Search results

  1. balibabambonahi

    Wenyeji wa AFCON, Ivory Coast wamekubali kupigwa na wamepigika, wachapika 4-0

    Tuwaombeetu lakini mwenyeji sijui anapigaje ======== WENYEJI WA AFCON, IVORY COAST WAMEKUBALI KUPIGWA NA WAMEPIGIKA Wenyeji wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa 2023 (AFCON), Timu ya #IvoryCoast imeishia Hatua ya Makundi baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Equatorial...
  2. balibabambonahi

    Natafuta kijana ama Binti wa kuuza duka

    Duka lipo shule ya sekondari ya Azania Dar Es Salaam ndani. Muhusika awe anaishi maeneo ya karibu na Azania sekondari, ajue hesabu na kuandika vizur
  3. balibabambonahi

    Inatafutwa mashine ya kutengeneza bisi

    Niko Dar kama unayo nicheki haraka 0747464239
  4. balibabambonahi

    Ni Nini kilipelekea Simba kuchabangwa 1-5?

    Ilikuwa tarehe 5/11/2023 siku ambayo mashabiki wa Simba waliamini Kwa kuwa kulikuwa na Mvua basi wangemfunga mpinzani wao mkubwa Yanga. Wanasimba walijiapiza kwamba lazima washinde Ile mechi na hata wakampa hadhi ya mgeni rasmi mchezaji wao waliyetegemea angefunga magoli au angalau goli Moja...
  5. balibabambonahi

    Mkata tiketi Kibaha Mail Moja

    Huyu jamaa hapo mail Moja kwenye kibanda Cha tiketi mwendokasi anazingua.Ukimpa pesa cheji anasema hana na ni lazima abaki na 100,200 au 50 tshs.Watu wanalalamika sana.Mbona kule stand hakuna longolongo hizi? Mamlaka za UDART zimwangalie huyu mtu analipaka matope shirika. Sent from my TECNO B1f...
  6. balibabambonahi

    Hakika kana Gundu

    Kuondoka kwake tu basi ,Kila kitu safi.Uzi tayari.
  7. balibabambonahi

    Nani atajaza pengo la Le Mutuz?

    Huyu jamaa alibeba jukumu kubwa sana.Ameondoka.
  8. balibabambonahi

    Mambo hayakukaa sawa tena baada ya kuniandika hapa JF

    Ni miaka kama minne au mitatu hivi, nilikutana na dada mmoja ambaye alikuwa na muda mfupi Toka afiwe na mume wake. Tulijikuta tumeingia kwenye mapenzi Hadi akahamia kwangu, nilijikuta nimekuwa addict wa K yake ingawa likuwa ananikwaza sometime. Nilikuwa najihisi kuchakata kila wakati na nikawa...
  9. balibabambonahi

    TANZIA Harry Belafonte, mwimbaji, mwigizaji na mwanaharakati, afariki akiwa na umri wa miaka 96

    Nakumbuka nilipata kufahamu habari za mtu huyu kupitia JF hasa kwa kazi adhimu ya Mzee Mohamed Said.Mwanazuoni MS aliandika mengi kumhusu Belafonte, Leo nimesoma mahala kadhaa kwamba nguli huyu kaumaliza mwendo wa safari yake hapa chini ya jua. Nimuombe Mzee MS, amwandike japo kwa uchache...
  10. balibabambonahi

    Mpwayungu Village aliwahi kutaka kusoma Shahada ya kwanza ya Ualimu

    Hivi huyu kijana ni mzima kweli!
  11. balibabambonahi

    Kwanini Taifa stars na The Cranes watacheza mechi yao Ismailia, Misri?

    Wachambuzi ashakumu si matusi, twambieni The cranes watakuwa nyumbani dhidi ya taifa stars,kwanini mechi imepelekwa Misri? Kuna shida gani Uganda?
  12. balibabambonahi

    Makaburi manne pale Luguruni upande wa kuelekea Ofisi za Manispaa ya Ubungo ni ya nani?

    Hayo makaburi yapo pale kwenye hifadhi ya barabara, yamepakwa rangi nyeupe.
  13. balibabambonahi

    Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

    Hivi niandikavo Mwalimu bank imeishafilisika. Bank haiwezi tena kulipa mishahara ya wafanyakazi wake na imewapiga retrenchment kadhaa. Imeshindwa kutoa mikopo wanadai mitambo yao imekwama Uturuki kwenye tetemeko. Walimu Wana Nini? Je, Mpwayungu village anaposema ualimu ni LAANA. Yuko sahihi?
  14. balibabambonahi

    Vishikwambi…

    Naomba mweye kujua Bei ya vishikwambi walivyopewa walimu shilingi ngapi aniambie.Kuna jamaa mmoja alinambia eti vinauzwa laki mbili Zanzibar.Je,ukweli ni upi?
  15. balibabambonahi

    Tusalimiane

    Mwana JF aliyeko Mkamba Kilombero tusalimiane Niko hpa Village Villa.
  16. balibabambonahi

    Hii nchi haiwezi kuendelea maana Kuna wajinga wengi

    Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu...
  17. balibabambonahi

    Kwanini huyu anaitwa Engineer?

    CCM wahuni sana
  18. balibabambonahi

    Mzigo huo

    Kazi
  19. balibabambonahi

    TANZIA Buriani mwalimu Florence Michael Mavunde

    Kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye. Waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu. Wale wa kazi maalum mtakuwa mnamfahamu fika pia. Jamaa alipata changamoto za kiafya na hatimaye usiku wa tarehe 3/9/2022 ikawa ndiyo...
  20. balibabambonahi

    Hivi hawa watu walienda wapi?

    Miss Chaga, Masai dada, Lizabon, Msalani na Laki si pesa Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom