Search results

  1. Asha D Abinallah

    Wawakilishi 1,257 Nchi nzima: Baada ya Uchaguzi Oktoba 28, tutarajie nini uwakilishi wa Wabunge?

    Habari Wana JF, Nimesukumwa Kuweka mawazo Yangu na kukusanya muongozo wa kumbukumbu ili iwe rahisi kupima ushindi haswa kwa watakaochaguliwa kutuwakilisha Bungeni. Bunge limekuwa likilaumiwa kuwa na mapungufu mengi ambayo mara nyingi huonyesha ni sabbat ya uwingi wa Watawala kwa wakabi hue CCM...
  2. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    MEI 10, 2020: HERI YA SIKU YA MAMA Siku ya Mama husheherekewa kila Jumapili ya pili ya mwezi Mei kwa ajili ya kuwapa heshima wanawake wote waliobahatika kuitwa mama kwa kuzaa ama kulea watoto na kuwashukuru kwa yale waliyoyafanya katika Jamii Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa...
  3. Asha D Abinallah

    Kutoka JamiiForums: Kliniki ya Kidigitali Maalum kwa Wanawake katika kumsheherekea Mwanamke

    Habari Wakuu, Siku ya kusheherekea siku ya Mwanamke duniani, inahusu si wanawake tu, bali hata wanaume pia. Hii ni siku maalum ya kila mwanadamu kutambua umuhimu na nafasi ya Mwanamke kwa kumwangalia kama mwanadamu na si kwa vigezo vya sifa ya kuzaliwa Mwanamke. Na kwamba anastahili haki na...
  4. Asha D Abinallah

    Neno la Leo - Kirusi cha ‘kupumbazwa’

    Raha ya kupumbazwa mara nyingi unakuwa hujui kuwa wewe ni muathirika wa kirusi hicho. Yaani usipokuwa makini unaweza ukawa na jitihada kubwa ya kunyosha kidole kwa wale ambao kweli ni wazi wamepumbazwa na kitu fulani bila kutarajia hata kidogo kwamba, kama kirusi hicho cha “kupumbazwa”...
  5. Asha D Abinallah

    Neno la Leo - Kwa wanaodhani ndoa ni rahisi, si kweli

    Ndoa ni kazi kama ambavyo tunafanya kazi nyingine. Jitihada, mipango na mikakati ya kufanikisha kazi zetu ndizo pia zinahitajika katika taasisi ya ndoa. Watu wengi huolewa wakiamini kwamba ndoa ni ‘kasha’ flani zuri lenye mahitaji na vitu vizuri ambavyo wamekuwa wakitamani sana katika maisha...
  6. Asha D Abinallah

    Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo apata tuzo ya International Press Freedom Award ya CPJ

    Ndugu zangu, Kwa niaba ya Bodi, Wakurugenzi na Watendaji wa JamiiForums nampongeza Mkurugenzi Mkuu Maxence Melo kwa kutangazwa kuwa mshindi. Kwa mara nyingine kwa mwaka huu, JamiiForums tunampongeza Mkuu Maxence kwa kupata tuzo katika eneo la Uhuru wa Kujieleza na Uhuru wa Habari na kupata...
  7. Asha D Abinallah

    Content Analyst NEEDED by the 25th of May

    I am in search of 2 great-minded analysts to work with. If you‘re willing (or know a person willing, please tag them) PM me with a link to a sample of your analysis or I will share my email thru the convo for submission of an analysis in form of an attachment. ~ Payment will be per analysis...
  8. Asha D Abinallah

    Maxence Melo atunukiwa tuzo ya kinara wa kutetea Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni 2018/19

    Kwa niaba ya Wakurugenzi na Watendaji wa JamiiForums nampongeza Mkurugenzi wetu Maxence Melo kwa kupata tuzo ya kinara wa Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni kwa mwaka 2018/19(Distinguished Champion of Online Freedom of Speech in Tanzania 2018/19) iliyotolewa na Jumuiya Watetezi wa Haki za...
  9. Asha D Abinallah

    Simu na Mapenzi: Jiepushe na kupiga picha za uchi, hata kama umepagawa vipi na utamu wa penzi

    ILANI: Huu ni mwendelezo na sehemu ya pili ya makala za Simu za mikononi katika Mahusiano ikiwa sehemu ya pili. Unaweza kusoma sehemu ya kwanza hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/simu-za-mikononi-katika-mahusiano-mwenendo-wa-walezi-wazazi-kwenye-familia.1565094/ Mahusiano ni sehemu...
  10. Asha D Abinallah

    Simu za mikononi katika Mahusiano | Mwenendo wa Walezi/Wazazi kwenye familia

    Simu ni moja ya kifaa cha msingi katika maisha yetu ya kila siku, ndiyo inatuunganisha kirahisi pale tunapokuwa hatupo katika uwepo wa wale tunaotakiwa kuwasiliana nao. Zaidi ya kuweza kuendesha maisha yetu kijamii na kikazi, simu ina uwezo wa kuboresha mahusiano kama ambavyo ina uwezo mkubwa wa...
  11. Asha D Abinallah

    Heri ya Siku ya Wanawake 2019 kutoka JamiiForums

    Leo, Machi 8, 2019 ni siku kama siku nyingine yoyote ile katika maisha yetu lakini kinachoifanya iwe na tofauti ya kipekee ni sababu kwanza Mwenyezi Mungu katujalia kuiona leo ukifananisha na wengi waliotangulia mbele ya haki, na pili sababu ni siku ya kumsheherekea na kumuenzi mwanamke na...
  12. Asha D Abinallah

    Mradi wa Women at Web mahususi kwa ajili ya kutoa elimu ya matumizi ya mtandao wazinduliwa Tanzania

    Jana (Jumatatu Agosti 13 2018), tumezindua rasmi mradi wa Women at Web ambao ni mahususi kwa ajili ya kutoa elimu ya matumizi ya mitandao kwa wanawake hususani kuongeza mijadala ya maendeleo miongoni mwao. Hii ni baada ya mikutano mingi na mafunzo tuliyopata chini ya DW Academy, toka pale...
  13. Asha D Abinallah

    JamiiTalks MDAHALO (Sheria za Kimtandao): Maalum kwa Wanachuo na Wahitimu wa Kitivo cha Sheria

    Habari Wakuu, Kutokana na wanafunzi wengi wa chuo kuwa katika kipindi cha mitihani, JamiiForums tumepokea maombi ya wanafunzi wengi kuomba kusogezwa muda mbele ili wote wenye nia ya kushiriki kufanya hivyo bila kuwa na kizuizi cha masomo. Muda wa mwisho wa kupokea maombi umeongezwa hadi...
  14. Asha D Abinallah

    JamiiTalks MDAHALO (Sheria za Kimtandao): Maalum kwa Wanachuo wa Kitivo cha Sheria

    Habari Wakuu, Katika kutaka kuchangia ongezeko la Wataalam wengi katika Sheria na Kanuni za Mitandao ya Kijamii, JamiiForums ikishirikiana na Freedom House imeandaa mdahalo kuhusu nafasi ya Kimtandao (Cyberspace) nchini. Mdahalo huo utahusisha wanafunzi wa Shahada ya Sheria, wakisimamiwa na...
Back
Top Bottom