Search results

  1. Asha D Abinallah

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Inna’Lillah wa Inna’Lillah Rajyun, Rais John Pombe Joseph Magufuli 🙏🏾
  2. Asha D Abinallah

    Tanzania tulivyotekeleza Azimio la Beijing la 1995

    Leila Sheikh, Ana content nyingi sana ya kihistoria; nyingine ambazo hazina rekodi hata kidogo, ama kama zipo ni zimefichwa katika makavazi. Napenda maandiko/ mawazo yake (yale ambayo ni public na yasiyo public) maana huwa najifunza mengi sana. Leila mimi kama mdau ambaye huwa nafurahishwa na...
  3. Asha D Abinallah

    Wawakilishi 1,257 Nchi nzima: Baada ya Uchaguzi Oktoba 28, tutarajie nini uwakilishi wa Wabunge?

    Asante sana Mkuu. Hii ni mhimu kufahamu. Let's wait and see.
  4. Asha D Abinallah

    Wawakilishi 1,257 Nchi nzima: Baada ya Uchaguzi Oktoba 28, tutarajie nini uwakilishi wa Wabunge?

    Habari Wana JF, Nimesukumwa Kuweka mawazo Yangu na kukusanya muongozo wa kumbukumbu ili iwe rahisi kupima ushindi haswa kwa watakaochaguliwa kutuwakilisha Bungeni. Bunge limekuwa likilaumiwa kuwa na mapungufu mengi ambayo mara nyingi huonyesha ni sabbat ya uwingi wa Watawala kwa wakabi hue CCM...
  5. Asha D Abinallah

    Msaada kisaikolojia

    Tamuuuuuu, Suala la kwanza na kukupongeza ni wewe kutambua kuwa una tatizo. Matatizo ya nature hii mara nyingi wahusika kidogo kunakuwa na upofu wa kuona na kukubali unatatizo. Suala la kiuchumi, ni changamoto ila usikubali likutawale. Kumbuka na ugonjwa/virusi hivi vya Corona, vinabadili...
  6. Asha D Abinallah

    Wale ambao Mama zetu wametangulia mbele ya haki

    Innallillah wa Innallillah Rajyun kwa akina mama na Wazazi wote waliotangulia mbele ya haki 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
  7. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Barafu ya Moto, Kama binadamu tumetofautiana sana tabia. Kila binadamu ana kila tabia, ila tabia zinazotamba ndani yetu zinatofautiana mmoja na mwingine. Hii siku, haimaanishi kwamba akina mama ndiyo bora kuliko akina baba, kuna familia ambazo mama ni ovyo kabisa, ila tukubali kwa takwimu ni...
  8. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Mrisho, Ningependa kufahamu haswa vigezo ambavyo unavyo vinavyofanya uone 'Mothers' are overly exaggerated. Ili pia nione/elewa kitu ambacho pengine kimenipita.
  9. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    The Monk, Nikifikiria maisha yangu yalivyokuwa na mahusiano yangu na Mama na baba yangu, ninatambua jinsi ilivyo mtihani mkubwa sana kwa mzazi mwenye kuwa maelezi mema kwa watoto. Ukipatia umepatia moja kwa moja, ukikosea umekosea moja kwa moja, ni wachache wenye uwezo wa ku reverse makosa...
  10. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Nakupongeza sana Superbug, nafurahi kwamba unaweza balance out. Inapendeza.
  11. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Super Villain, huwa napenda kukumbusha kwamba siku kama hizi, siyo kwamba ndiyo siku mhimu kuliko zote zilizobaki, ila tu ni wasaa kwakutukumbusha kuwa makini kutambua nafasi za Mama zetu na kama tumejisahau basi turudi kwenye mstari ili kuwa watoto wema.
  12. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Ndiyo nguvu ya Mama. Ni kitu kizuri sana kukumbuka, kushukuru na kuthamini. Kila la kheri.
  13. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Super Villain... What are you thinking right now ukiwa unasoma hili bandiko?
  14. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Mrisho, Mbona hata Father’s Day inasheherekewa? Kuthamini mchango wa Mama hakufuti nafasi ya baba.
  15. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Mr. Miela nimecheka sana! Hii post has made my day. Kuoga kwa doze 😅
  16. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Makiseo, Inapendeza kumuenzi, haswa emotionally. Mwenyezi Mungu akujalie uwe mtoto mwema kwake mwenye kumpa faraja na amani. Kila la kheri
  17. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Punguza basi mizinga Superbug, usidhani ana vingi, ni kwamba anajitahidi awezavyo, na kuna wakati unamuumiza ila unakuwa hufahamu sababu mara nyingi akina mama tunaficha maumivu. Kumuenzi acha au legeza mizinga.
  18. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Umenifanya nielewe, si wote wanasoma content, nahisi pengine wewe ni wale mpe picha atakupa habari 🙈 Mie nimemtaja Babangu kutambua mchango wake pia na ni siku ya Mama.
  19. Asha D Abinallah

    Nini huwa unakumbuka cha kwanza ukifikiria/ukisikia ‘Mother’s Day’?

    Insha’Allah... Tubarikiwe sote Kimwerymdodo
Back
Top Bottom