Search results

  1. kijiichake

    Rais Mstaafu Kikwete akataa kuishi Msoga? Anataka kuishi wapi?

    http://jamiiforums.com/?ref=319348
  2. kijiichake

    Rais Mstaafu Kikwete akataa kuishi Msoga? Anataka kuishi wapi?

    jamiiforums.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
  3. kijiichake

    Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

    we support Edward Lowassa hoyooooooo
  4. kijiichake

    Linganisha picha ya UKAWA na CCM Mbeya jijini

    Hivyi huku hakuna kura za maoni ya kipinajoto?
  5. kijiichake

    Mhe. Joseph Selasini na CHADEMA kuweni makini na huyu mtu

    Uto hana uwezo wala nafasi ccm mtalilia chooni mwaka huu bila selasini hakuna rombo
  6. kijiichake

    Kikwete chukua hatua za haraka, yanayoendelea kiteto yasitokee rombo

    Katika hali inayoibua hisia za uchonganishi, Mkuu wa wilaya ya Rombo Bwana Elius Palangyo, amewaagiza viongozi na makada wa ccm kuzishusha bendera zote za Chadema zilizoko juu ya miti kila eneo la wilaya ya Rombo, alipo hojiwa kwa nini ametoa agizo hilo akajibu bendera zinatakiwa zitundikwe...
  7. kijiichake

    TBC mmeniacha hoi kama sio kunishangaza!

    Asingesema hivyo Kungekuwa na kasoro gani?
  8. kijiichake

    TBC mmeniacha hoi kama sio kunishangaza!

    Leo wakati kikwete anaongea na wazee wa ccm mkoa wadodoma amezungumzia mengi na kwa muda mrefu, ila kilichonishangaza na kunichekesha ni pale kikwete alipomaliza kuhutubia, akaitwa balozi wa miaka tisatisatisa lusinde ambae pia ni Mwenyekiti wa wazee vilaza hao wa Dodoma, ndipo TBC ikahamisha...
  9. kijiichake

    Jamaa amebaka mbwa hadi akafa mkoani kilimanjaro.

    Jamaa mmoja kwa jina limenitoka kidogo mkazi wa kata ya holili custom wilaya ya rombo ambae asili yake ni kutoka Lindi, ame m baka mmbwa hadi mbwa huyo akafa, jamaa huyo alikutwa na majirani akiwa amevaa condom huku dushe lake likiwa limezama uchini mwa mbwa huyo, akaripotiwa kituo cha holili...
  10. kijiichake

    Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

    Tarakea usiseme holili ndiko kwenyewe
  11. kijiichake

    Rombo kiboko ya CCM/ pesa mbili Mramba

    Wananchi wa Rombo Ushiri ngome ya aliyekuwa waziri wa fedha Basil Pesambili Mramba wameizika rasmi CCM kwa vitendo. Wamesema wamechoshwa na chama cha mapanya.
  12. kijiichake

    Mrema awafukuza madiwani wawili waliomuunga mkono Mbatia

    Ukimwamsha aliye lala utalala wewe
  13. kijiichake

    Mrema awafukuza madiwani wawili waliomuunga mkono Mbatia

    Ni wakati wako wakukubaliana na maamuzi magumu yetu wanavunjo.
  14. kijiichake

    Mrema awafukuza madiwani wawili waliomuunga mkono Mbatia

    Mrema hajui aliko angukia, ile tu kuhamua kubakia bmk kuliwaudhi sana wana vunjo, kule kupiga kura ya ndio akisema wanavunjo nioneni kuliwakasirisha sana wana vunjo, na tutamuadhibu kwa fimbo ya China na akiendelea kuleta upuuzi wake huku tutamkamata tutupe huko mto ruvu akaliwe na mamba mpuuzi...
  15. kijiichake

    Uandaliwe mdahalo kati ya Warioba na Sitta

    Sitta kesha changanyikiwa
  16. kijiichake

    Confirmed: Rais Putin wa Russia anakuja Tanzania

    wanakuja kutuchonganisha tuanzishe vita vya wenyewe kwa wenyewe wapate soko la silaha watuibie madini na rasilmali nyingine, hasa kwa hili swala la katiba na uchaguzi uchaguzi zilizoko mbele yetu kakitokea kaushabiki Kadogo toka inje tu hapatosha patakuwa kama Syria Egypt na Tunisia.
  17. kijiichake

    Hawa ndio utawakuta ni wanachama na mashabiki wa CCM

    wewe Mtoto unawaza mbali na una jicho pevu sana, huuo ndio ukweli mtupuu
  18. kijiichake

    Chadema tuache matamko, ni sawa nakumpigia mbuzi gitaa.Hayasaidii

    huu ndio ukweli mchungu mkuu hatutaki washabiki tunataka wapiganaji na kura haipigwi hapa if inapigiwa mtaani hivyo ushindi tuutafute kwanza mitaani tuulete hapa if. kura yangu Yote na familia yangu tutawapa ukawa, na kura yangu nafamilia yangu tutapiga hapana kwa katiba ya chenge
Back
Top Bottom