Search results

  1. Spark

    Hawa watoa mikopo kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje?

    Jamani hivi Hawa watoa mikopo Kwa njia ya mitandao wanatuchukuliaje? Kwanza siku mbili kabla ya mkopo wako kuisha wanapiga simu kuanzia saa kumi na Moja alfajir, Siku nzima,meseji za vitisho as if siku ya marejesho imefika,kilicho niudhi zaidi wanakupigia sim wanakushawishi lipa hiyo elf 22,440...
  2. Spark

    Nimetapeliwa mwenzenu!

    Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna mwanamke humu kapost anataka mume, mimi nikampandia hewani, tukawekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana. Mwanamke akadai hana pesa nikamtigo pesa elfu 50 haraka na...
  3. Spark

    Dem wa Mshkaji

    Wadau hivi unaweza kua na mahusiano ya kimapenzi na mchumba/ Dem wa rafiki ako endapo walishaachana?? Je ni zipi faida au hasara? Je, mshkaji wako akijua nn kitatokea? Uzi tayari! Maoni plz
  4. Spark

    Natafuta mke wa kuoa/maisha

    1. Awe Dar 2. Awe mkristo 3. Awe ameajiriwa serikalini 4. Umri 26_33. 5. Mpenda maendeleo,mchapakazi na mcha Mungu,mkwel 6. Asiwe mlevi 7. Single mom ntamfikiria 8. Asiwe omba omba.
  5. Spark

    Wanawake! Wanawake!

    Asee wanawake bwana! Cjui hua wanawazaga nn! Unamweleza hisia zako juu yake kwa njia yamtandao (_tongozo) ..anakwambia tuma pesa kwanza nipate nguvu ya kuonana na kuongea naww!..cheni hizo..punguzeni njaa..hata kama mtu ana nia ya kukuoa kwel anakutumia na kukuacha!
  6. Spark

    Inanifikirisha sanaa!

    Wakuu hii imekaaje? Unakutana na dem mnaongea vzur tu mnabadilishana mawasiliano..baada ya muda unaanza kurusha nyavu ( tongozo) mtoto anaona msg watsap na anasoma (blue tick) ila hajibu chochote! Hua wanamaanisha nn hawa wanawake? Nina experience ya she kama tatu hivi!
  7. Spark

    Ndoa takatifu, usiwe mdangaji

    Natafuta mwanamke aliye na utayari wa ndoa,uwe Dar, uwe na akili timamu, age 21-30, uwe na ajira..sitaki tegemezi & uwe vzur kiuchumi..sichagui dini au kabila Mimi nna 31. .mchapa kaz na mpenda maendeleo..usiniulize kwann nimekuja kutafuta humu..ni maamuz binafsi..kama uko serious nichek watsap...
  8. Spark

    Plot4Sale Simu Tecno spark K7 inauzwa

    Sim Tecno Spark inauzwa 150k..IPO kwenye hali nzuri Nichek 0683 141402. Dar
  9. Spark

    Nahitaji chumba cha kupanga

    Tunahitaji chumba cha kupanga, kiwe ndan ya fence, maeneo. Mbezi beach, Goba au Mawasiliano. Nichek 0683141402
  10. Spark

    Toyota Noah inahitajika haraka sana

    Mwenye kuuza toyota noah ani pm,budget 3.5 mil. Watsap only,0658542409.Karibuni
  11. Spark

    Turubai la kufunikia gari linahitajika haraka

    Nahitaji turubai lolote used au jipya la ukubwa wa kufunika gari aina Mark X. Nipo Dar. Nichek 0683 141402.
  12. Spark

    Toyota mark 2 gx 90 inauzwa

    Gari ipo,imepata ajali kidogo engine 1g, vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya. Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi yapo..karibuni
  13. Spark

    Asee uchawi upo?!

    Wakuu nimeamini uchawi upo,Kwann vijana wengi tunapofanikiwa mjini na kurudi vijijini mwetu na vigari wakati wa kirudi hua tunakula mizinga? Inatokea unaenda harusini/ kutoa posa/ kwenda msibani/send off / vikaoni au katika shughuli mbali mbali za kifamilia zenye mikusanyiko ya watu unaweza...
  14. Spark

    Natandikwa za uso mwenzenu

    Wadau kuna manzi mmoja nimeopoa, tunajuana kidogo background za home. Yupo mkoa D nami nipo mkoa S, anataka nimtumie kias cha sh.125,400 afanye mtihani online (focus africa) ili aweze kuajiriwa. Je, nikwel kuna mitihani inayofanyika online ili mtu apewe ajira au ni upigaji?
  15. Spark

    Kilichotukuta kwenye kivuko!

    Wadau hii imekaeje? Leo wakati tunatoka kigamboni (ferri) tukiwa na bajaji tuliingia kwenye pantoni (kivuko),baada ya kufika upande wa pili dereva alitoa chombo kama kawaida,mimi nikapanda baada tu ya chombo kutoka kwenye pantoni pale walinzi wa suma JKT wanapokaa,cha kushangaza wakatukamata...
  16. Spark

    Kumwagana katika mahusiano

    Wadau nimeona mahusiano mengi/ndoa nyingi husambaratika kuvunjika mara baada tu ya kupata watoto wawili au zaidi? Na Mara nyingi wazazi wa upande wa kikeni hung'ang'ania watoto ambapo ki uhalisia hawana uwezo wa kuwalea na kuwapatia mahitaji muhimu! Nini chanzo? Viburi vya wenzi wetu au! NB...
  17. Spark

    Wanawake! Wanawake!

    Wanawake cjui wanatakaga nini katika mahusiano,ukimpenda na kumjali kwel atagongwa nje na vijamaa vya ajab ajab,ww atakuona huna maana.Ukiwa bahili na usieeleweka papuchi utapewa vizur sana,utaitwangaa,utaichakataa sawa sawa kadri uwezavo mpaka utaisusa mwenyewe,mwishoe akistuka atakwambia ww...
  18. Spark

    Mbinu za kukwepa mizinga!

    Wadau kama kichwa kinavojieleza hapo juu,hali yangu si nzur kiuchumi hivo naombeni mbinu mujarabu za kupangua mizinga kutoka kwa kinadada mana nikiwachekea naweza nisitoboe january.Kila baada ya masaa 2 ni mizinga tu mara hiki mara kile,ukiwaambia waje kuchukua gheto hawataki! Kinachoniuma zaidi...
  19. Spark

    Kampeni tokomeza mizinga!

    Wakina dada mmezidi mizinga,jamani punguzeni speed mtatumaliza vijana wawatu bado tunajipanga kimaisha.Yani siku hiz ukifanya kosa la kucheka cheka na mdada ujue umekwisha,atakuchuna mpaka upauke! Utasikia nitumie ya chai hapo,nnaham ya kitimoto,nataka nikasuke,mama anaumwa,inamaana...
  20. Spark

    Anataka nimtumie nauli

    Wadau kuna dem yuko mkoa x,tuliskul wote ila baada ya hapo kila mtu akala hamsini zake,juz juz tumekutana fb nikarusha ndoano,sasa anataka nimtumie nauli aje! Ni kama dollar 25 iv,mshahara wangu gegedo!!wataalam wa iz mambo mnanishaur nn? Au nipotezee! Ngashtuka meku na machale kundesaa asee...
Back
Top Bottom