Naungana nawewe kua aachane na mambo ya dini kama tu anaona hayamfai na hayampendezi
lakini siafikiani na wewe kuwa dini ni upuuzi.na sijui kama kuna mtu anaishi bila kuamini chochote,kwa sababu hata kuamini sayansi bado nayo ni amani ambayo wengine inawasaidia na kuwafaa lakini wengine wengine...
Watu kama wewe,wakati yesu anafanya miujiza ndio wale waliomuita mchawi.kwa sababu wamejaa roho za chuki na ujinga ndani yao.
Na sio wote wanaosoma huwa wanaona na na kukielewa sawia kile kilichondikwa.
na ndio maana katika iyo aya Qur'an 24:14 uliyoinukuu(kwa kiswahili) hakuna palipoandikwa...
Kama mazungumzo ni kuwa watu wa dini gani wanadhamini timu kubwa,ukisema kweli ilivyo utakua sahihi,na haileti ukakasi wowote.
Ila kama mazungumzo ni wadhamini wa timu kubwa,kataja dini zao inaleta ukakasi.
Kwa sababu sijawahi kusikia mdhamini wa timu akihusianisha udhamini wake na dini yake...
Nakubaliana nawewe 100%.
Ndio mana nasema aendelee kutumika kwa namna nyingine kwa kipindi ambacho anajitibia,anajipumzisha na kujiandaa.
Na itakua vema sana kama atakua na watu sahihi nyuma yake wanaojali kazi yake katika kugawana maslahi.
Maana mjini wanaokula sana au zaidi ya anayeumia na...
Wahenga wanasema,"hakuna mtu aliye mkamilifu"
Biblia inasema,'usihangaike na kibanzi kwenye jicho la mwenzio ilhali wewe una boriti kwenye jicho lako na huenda hujijui'
Qur'an inasema,"hakuna kulazimishana katika dini na mtu ambaye mnatofautiana Imani"
Imani zipo nyingi,Imani zipo nyingi...
Ni kweli anaingiza pesa,lakini anapigana mfululizo sana,halafu anapigwa,
Zile ngumi anazobondwa nazo kichwani mfululizo ni hatari kwa afya yake ya mwili na akili.
Ndio maana hata bodi ya ngumi wanasema hawayatambui,
Hahaha! ni sawa,ila japo kufa ni kufa,ila Kuna kufa kishujaa na kufa kizembe.
Mandonga mzunguko wa pili tu miguu inapoteza nguvu,anaachia uso mpinzani ajibondee,HUO NI UZEMBE.
Kweli awe makini kuanzia kwenye kujifua mpaka ulingoni,MANENO NA TAMBO ZAKE ZIISHIE KWENYE MEDIA.ulingoni awe makini na kazi yake, kama anavoojiita 'mtu wa kazi'
Ila kabla ya kurudi ajifue sana,kwa uwezo wake wa Sasa hawezi kosa chochote kinachohitajika katika kujifua.akiendelea kuingia kichwa kichwa hata hela anazopata hatozifurahia,sababu NGUMI NI MCHEZO HATARI SANA.kama unapigana kimandonga(kiutani utani) unajiweka katika hatari zaidi ya kutikiswa ubongo.
Kwanza nianze kumpongeza kwa anachokifanya,si kwamba nampongeza kwa kupigwa pigwa la,ila kwa kutumia fursa.waswahili wanasema "bahati haiji mara mbili" na "mungu akitaka kukupa hakuandikii barua"
Mandonga licha ya kupoteza kwa kupigwa kwa aibu katika mapambano yake.bado hajawahi kuonesha...
1. HOJA YA WANYONGE.
a)Magufuli amekua akijinadi kuwa yeye ni raisi wa wanyonge.
-Je anaweza kutuambia wakati anaingia madarakani aliwakuta wanyonge wangapi na mpaka asa wapo wangapi?
b)Kuwapandishia bei bidhaa ndio kuwasaidia wanyonge? Mfano sukari: alivyoingia madarakani ilikua inauzwa 1800/=...
Mwanamke hawezi msahau mwanaume aliyemtoa bikra, labda kama alibakwa, na hata kama alibakwa hawezi kusahau tukio hilo.
Ila kumbukumbu ina mawili,ikiwa aliyemtoa bikra alipata nafasi ya kurudia game siku nyingine,basi mtu huyu atakumbukwa na akitaka tu anapewa tena.
Ila kama aliyemtoa bikra...
Na huo ndio ukweli, ambao jamaa nimemwabia kagoma kumeza ili apone kisa mchungu.
Kuna mkuu Katoa wazo sasa sijui kama linawezekana, sijui, nitalichukua na kumfikishia machache nitayaokota hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.