Search results

  1. H

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Mwendo kasi imewashinda, bandari imewashinda, huduma nzuri za afya zimewashinda, lnchi ina matatizo kila kona ila MDUDE NYAGALI ww ndo unaona ni shida kubwa nchi hii ! Kuna mambo mengi ya msingi zaidi kuyafanya kama nchi kuliko kuhangaika na Mdude
  2. H

    Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

    Watu weusi tabu nyingi sana, wanajifanya wanajua magari kuliko walioyatengeneza! Hata wale wa sent from my tecno & infinix & Samsung wanabeza hizi gari[emoji23][emoji23]
  3. H

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Usiwe kama wale jamaa wa miaka ya 90 walosema Internet ni kitu cha kupita tu, kwamba iko overhyped kwaiyo watu wasiwekeze uko! Here we are, internet ndo kila kitu saivi
  4. H

    Kabla haujaoa jaribu kutembelea Unguja, Zanzibar

    Nipo karibu na kwenu apa tunamzika mzee chaela!
  5. H

    Ile kiu ya kusubiria Toleo la Phantom X2 sasa imeisha

    Tulikubaliana tecno zote zisizidi laki ma nusu! Imekuaje??
  6. H

    Prof Mkenda nimekuelewa haikuwa sahuhi kupambanisha Shule za Kimataifa na Kayumba!

    Pia ni uvivu wa kufikiria kuwapa mitihani sawa na unajua hawalingani kimazingira ya elimu!
  7. H

    Prof Mkenda nimekuelewa haikuwa sahuhi kupambanisha Shule za Kimataifa na Kayumba!

    Sasa kama sio sahihi kupambanisha shule binafsi na st kayumba kwanini wapewe mitihani sawa????? Logic yake ni kwamba kuna watu wanafelishwa kwa makusudi, tena wa shule za serikali! Ujinga mtupu
  8. H

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine hawa uwezo wa kupigana na Russia! Ww unaona ni Ukraine ndo anapigana na Russia lakini ndani yake kuna mengi sana yanaendela! Ni Russia vs NATO & the west! Kama hujui, Ukraine ni eneo la mapambano tu ila wapiganaji wengi sio waUkraine wenyewe!
  9. H

    IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

    wamasai sijui silaha za moto huwa wanatoa wapi wale jamaa kwenye vita wanaenda na silaha nzito nzito kama vile AK's na smg mwenye ndogo ni gobore
  10. H

    Naomba kujuzwa kuhusu Ukraine na Maluteni Kanali

    ukraine sio kwamba inagombewa na mataifa yenye nguvu, ukraine inapakana na urusi huku ikiwa inataka kujiunga na NATO hivyo russia inaona kama ni hatari kwa usalama wao hawataki Ukraine ijiunge na NATO ndio maana wanataka hakikisho kutoka NATO kwamba hawatoruhusu ukraine ajiunge na nato ! Na kama...
  11. H

    Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

    sawa, lakini angalia mataifa mengine yaliyo opt ubebari tangu mwanzoni, madeni yao yakoje?
  12. H

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    hatukuwepo kipindi hicho, lakini based on history tena ya kubangaiza hapa na pale( kwasababu huyu jamaa wamefuta history yake kabisa) alikua ni mtu poa sana na makini kuliko mwalimu!
  13. H

    Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

    ukomunist haujafa na ndo unaenda kua strong kuliko hata nchi za kidemokrasia
  14. H

    Marvel Cinematic Universe special thread

    hivi mtu mzima kabisa unaangalia movie ya superhero na unapata stimu, jamaa sjui anatoa moto kwenye miguu sjui anapaa:(:(
  15. H

    We need WW III to redefine the planet anew

    kwani we unafikiri ww3 ni mabunduki na mabomu? watu wanapambania tech supremacy sasaivi!
  16. H

    We need WW III to redefine the planet anew

    WW 3 started almost 20 yrs ago! Hakuna anayebeba bunduki na wala usitegemee kuna taifa litainua bunduki dhidi ya mwenzake, instead wanapambana ku acquire the best technologies ! anayekua na teknolojia nzuri ndiye anayetawala dunia kwa sasa and China is on the verge of winning the war kwasababu...
  17. H

    Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

    upumbavu mtupu, tozo zimekuja baada ya hela kuisha hazina na aliyezimaliza ni huyohuyo ccm! Pesa za wastaafu zimekombwa zote hazijulikani zimeenda wapi na waliochukua ni hao hao CCM! Tozo sio za kusifia na hazikupaswa kuwepo! Tozo zinawapa maisha magumu zaidi watu! Tozo zimekuja ili serikali ya...
  18. H

    Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

    kwahiyo mabaharia uwape ndani ya wiki alafu mume asubiri miezi 6??? very unfair
Back
Top Bottom