Search results

  1. kinandinandi

    Msaada namna ya kupata whatsapp free number

    Ndugu naomba msaada niweze kupata na kufanikiwa kupata number zakuweza kuzitumia WhatsApp za free nikijaribi kuseach nazipata za kulipia ambazo zinanitaka nijaze taarifa za Kadi ya benk yangu ambapo Mimi napata uoga kuhusu hilo
  2. kinandinandi

    Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    Napata tabu sana kuelewa kwamba kweli mtu anaweza akawa na mawazo ya kipumbavu kama haya? Au anakuwa amepewa pesa ili ashawishi watu waanze kusifia ujinga huu? Tunataka kujua ndege yetu imeachiwa kwa njia gani kama pesa amelipwa mkulima tujue na hata kama mkulima amelipwa watajitokeza wengine...
  3. kinandinandi

    Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

    Taifa 0 uganda 5 Wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kinandinandi

    Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

    Nasimama na Uganda pia Sent using Jamii Forums mobile app Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kinandinandi

    Apoteza maisha wakati akiogelea

    Sio uzembe sehemu hiyo ni hatari kuogelea hasa kwa wageni Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kinandinandi

    CCM inajuhumiwa pakubwa! Swali je ninani anafanya hivi? Kwa maslahi gani?

    Ndugu yangu wanao mjibu Tundu lisu majibu yao hayatoki moyoni mwao wanataka kupata sifa wakati mioyo yao haiko upande wa wanayo yatetea Ni vigumu sana kutoa maoni yanayo pingana na ukweli wakati roho yako mwenyewe inajua hiki kitu ni cha ukweli ila unatafuta maneno ambayo yataonyesha kwamba...
  7. kinandinandi

    Mshahara wa Lissu; Kuna tajiri mmoja duniani ataingia kwenye historia

    Wamuombe msamaha tuu yataisha bila kufanya hivyo wataona moto wake Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kinandinandi

    Dr.Tulia Akson waheshimu Prof. Mwandosya na Sugu

    Ni sehemu ipi mbeya mjini inatokea wiki maji hayajatoka? Acha kudanganya watu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kinandinandi

    Ziara ya Tundu Lissu iangaliwe kwa jicho la tatu na wapenda amani

    Mtapata tabu sana mwaka huu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kinandinandi

    Hivi rushwa katika idara ya trafiki bado ipo?

    Huko imeongezeka maladufu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kinandinandi

    Geita: Maiti ya mwanamke yakutwa kwenye shamba la mahindi eneo la Nyamalembo

    Nipo hapa mseto pia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kinandinandi

    Wahamiaji walioingia nchini kabla ya uhuru kurudishwa kwao

    Vipi kuhusu watoto wao na wajukuu zao? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kinandinandi

    Wanaoijua vema Cresta gx 100 vvti

    Bado iko imara Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kinandinandi

    Wanaoijua vema Cresta gx 100 vvti

    Engine ya 1g kavu ni imara sana ila inakula sana mafuta na engine ya 1g vvti inahitaji kuijari sana haitaki vitu vya kuungunga ila kwa upande wa mafuta inakula kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kinandinandi

    Wanaoijua vema Cresta gx 100 vvti

    Nilikosea ni 1380 na sio 13800 mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kinandinandi

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ------------------- Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom