Search results

  1. tang'ana

    Kuna anaowafahamu kilimanjaro cement?

    Nawajua tu wako Tanga karibu na simba cement ila mambo yao ya ndani siyajui. Ila kwa hapa bongo viwanda vya cement vinavyolipa vizuri ni Twiga, simba na mbeya cement, ila hivi vinavyochipukia ni mishahara ya kawaida tu coz vimejaa wahindi na wachina.
  2. tang'ana

    Picha: Ualimu ni Wito

    Prove it
  3. tang'ana

    Picha: Ualimu ni Wito

    Dume hilo
  4. tang'ana

    Nimepokea matusi ya nguoni kutoka kwa ma ex zangu baada ya kumpost my wife kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.

    Asa kama hapa jukwaani hujayapost hayo matusi na victims waliotukanwa na kutukana,huko mahakamani nikikushauri uende utakua na evidence yoyote au ni kuisumbua mahakama bure tu?
  5. tang'ana

    Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

    Kwamba mara napo dada zangu nao ni micharuko kama daslamu?
  6. tang'ana

    According to your Ex, what was your main problem?

    Basi tu,wanawake ukishawajulia hawakuumizi akili mkuu
  7. tang'ana

    According to your Ex, what was your main problem?

    Sijui kucare. Ofcoz hayo mambo ya kumcare mtu mzima mwenye meno 32 mimi yamenishinda hadi leo.
  8. tang'ana

    Ni uongo gani ambao umewahi kuambiwa na single mother/father ambao ukiukumbuka leo unacheka tu?

    Alinidanganya mumewe alikufa kwenye ajali ya ethiopia airline, kumbe dem shankupe lililokubuhu hapo kinondoni. Ila nashukuru halikua kwenye grid ya taifa.
  9. tang'ana

    Wife katoka out bila kunijulisha

    Ni pombe gani hiyo?
  10. tang'ana

    Wife katoka out bila kunijulisha

    Hakunijilisha kama atatoka
  11. tang'ana

    Wife katoka out bila kunijulisha

    Mbona nilipokua bongo hakua hivyo?
  12. tang'ana

    Wife katoka out bila kunijulisha

    Uncle yupi mkuu?
  13. tang'ana

    Wife katoka out bila kunijulisha

    Matumizi na ada za madogo wanafungua jumanne school.
Back
Top Bottom