Search results

  1. Mpyena

    Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    We jamaa hupendi amani kabisa!!
  2. Mpyena

    Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Kwa muktadha huo Wazazibar ndo wanafaidi keki ya taifa hili
  3. Mpyena

    Hivi mwanaume unawezaje kuvaa shati la kitenge au mtelezo?

    Na hako katoto unakuta kameshonewa boxer yake ya kitenge
  4. Mpyena

    Kwani wizkid anamshinda nini Diamond?

    Pia exposure ya lugha inawaangusha sana wasanii wetu. Kitu ambacho kipo hata kwa wasomi wa kada tofauti tofauti nchini wanashindwa kuendana na soko la ajira huko duniani. Yote hayo yamesababishwa na mfumo mbovu wa elimu yetu.
  5. Mpyena

    Wafadhili wamejenga Msikiti kwenye Eneo la shule ya sekondari inayomilikwa na serikali. Mkurugenzi wa Halmashauri ameuvunja

    Hata huo utaratibu yapaswa uondolewe sasa,shule za serikali hazipaswi kufungamana na mambo ya dini. Wanafunzi wataenda ibadani pindi wakiwa likizo huko makwao.
  6. Mpyena

    Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    Mi nakajua jina la matunda kumbe ni TV!
  7. Mpyena

    Wenye watoto wadogo

    Huyo dogo lazima ni msukuma
  8. Mpyena

    Ulipokeaje ya kupoteza nywele na kuwa na upara

    Bi mkubwa aliuza mechi ongea nae vizuri
  9. Mpyena

    Nightmares - Chris Brown ft Bryson Messia

    Kuna nyingine inaitwa summer too hot pamoja na hiyo nightmares ni nyimbo zangu bora za kufungia mwaka
  10. Mpyena

    Acha kuingiza Malaya ulipopanga

    Acha watu waenjoy maisha yao
  11. Mpyena

    Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    Wanaomiliki wapenzi wa Kizungu
  12. Mpyena

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Nyumba ndogo ya mchungaji (mchepuko)
  13. Mpyena

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Mke wa jamaa ni nyumba ndogo ya mchungaji hilo lipo wazi
  14. Mpyena

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Unakuta huko kanisani mkeo anatambulika kama mama mchungaji.
  15. Mpyena

    Ukimpenda Utamjali na Kumlinda

    Wewe ni JF sweetheart, welcome once again
Back
Top Bottom