Search results

  1. I

    What actually makes people stay in their cars for long before entering the house?

    What actually makes people stay in their cars for long before entering the house?
  2. I

    Kuvunja yai kwa kulibana katikati ya viganja

    Nimekua nikijiuliza sana ni kwanini haiwezekani kuvunja yai kwa kulibana vertically katikati ya viganja? Pana sayansi gani hapa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. I

    Kuna uhusiano kati ya miti ya panga uzazi na mikosi?

    Habari wadau, Hivi kuna uhusiano wowote wa kisayansi ama kiimani kati ya hii miti ya panga uzazi na mikosi kwenye familia zilizopanda hii miti? Watu wanadai hii miti inapopandwa kwenye nyumba hua lazima "kichwa" wa familia afe baada ya muda fulani na hata asipokufa basi hiyo familia itakua na...
  4. I

    Mapacha Walioungana

    Naomba kuuliza wataalamu wa afya na mwili wa binaadamu kwa ujumla, wale mapacha wetu walochaguliwa chuo kikuu majuzi mfano akifa mmoja (siombei iwe hivyo) na inavyoonesha kila mmoja ana moyo wake na ubongo wake vinavyojitegemea, huyu aliebaki anaweza ku survive vipi? NB; tusitie utani na utoto
  5. I

    Bado kuna magari na pikipiki zinazopita barabara za mwendokasi?

    Habari akina ndugu wote, baada ya the man himself kutangaza kung'olewa kwa tairi za pikipiki na magari yote yatakayopita kwenye barabara za mabasi ya mwendokasi na utekelezaji wake na kwamba hiyo tabia imekoma kabisa, hii inamaanisha wabongo wengi hii lugha ya nguvu ndo pekee tunayoielewa??
  6. I

    Wambie wana Jf ulipenda scene ipi kwenye 24 series

    Mimi binafsi ingawa zipo scene nyingi sana sana sana zilizonigusa kwenye ile series ila tukio lililobahatika kuingia hapa ni pale agent Bauer alivotoa sadaka maisha ya Paul Raines ili aokoe maisha ya mchina yule. Pale Jack Bauer anaendelea kubinya binya kifua cha Paul ili walau ashtue mapigo...
Back
Top Bottom