Search results

  1. I

    Niger yasitisha ushirikiano wake na Marekani kwasababu ya athari za haraka

    With immediate effect ndo umetafsiri kama athari za haraka? Duh! Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  2. I

    Mambo aliyoyafanya Hayati Magufuli ambayo yatabaki kama alama ya kukumbukwa milele

    So touching. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  3. I

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Namsaidia tena kuuliza; Damu ya nani ilimwagwa kwenye uchaguzi wa 2020? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  4. I

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Mbona jamaa ameuliza swali jepesi sana! Namsaidia kuuliza tena, nani alimwaga damu kwenye uchaguzi wa 2020? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  5. I

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Kwahiyo unachokisema ni kuwa hatukua sahihi kumpinga Madaraka kwenye ishu ya sanamu kwakua tu Mwalimu alikua baba yake na sio baba yetu? Sijui historia ya mzee Mwinyi lakini kama kweli mababu zake wamelala Mkuranga, daaah naona kabisa wanaosema amezikwa Zanzibar kisiasa kama wana hoja vile...
  6. I

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Nilitaka nikutie bonge la tusi ila nilivojua we ni mwalimu nimeona nitakua tu natupa tusi langu bure Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  7. I

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    maku ya kikongwe. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  8. I

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Lakini sometimes ni raha sana kumuangusha mwanaume mwenzio kwa ngumi moja tu, tena jamaa kaangukia kichogo. Na aliepigwa no wonder ni fundi sana wa kumpiga mke wake! Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  9. I

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sky News: "The only evacuation route from besieged city 'completely shut' by Russians" Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  10. I

    DOKEZO Afisa utumishi, PSSF wachezea mfumo na kumstaafisha mtumishi kabla ya muda, alilipwa Milioni 72, akapokea Milioni 2 tu

    Una maswali ya kitoto sana aisee halafu unayarudia rudia. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  11. I

    Donald Trump wins Iowa, anakuja!

    Mimi naweza kukubali Trump awe rais wangu. Nyie mbona mnashindwaga kujua vitu vizuri?! Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  12. I

    Je, Trump akisimama tena na Biden kwenye Mbio za Urasi mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?

    Watamuondoaje?? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  13. I

    Je, Trump akisimama tena na Biden kwenye Mbio za Urasi mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?

    Kesi ipi inaweza kumtoa kwenye kinyang'anyiro? Uzuri wa Marekani watu wakikutaka unaweza kwenda ikulu kutokea jela. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  14. I

    Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

    I meant to say huna hoja zaidi ya kuwa pro-establishment. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  15. I

    Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

    Wewe nakujua tokea vita ya Ukraine, hauna maana. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  16. I

    Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

    Trump hakua mwanasiasa, kwake nyeusi ni nyeusi, nyeupe ni nyeupe. Haipo ni haipo, ipo ni ipo, hakuna mambo ya ngoja tutaona cha kufanya. Ungekua basi unafuatilia alivyowanyoosha Wachina kwenye utawala wake. Binafsi namkubali sana kama navyomkubali JPM kwasababu ya tabia hizo. Sent from my...
  17. I

    Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

    Binafsi nilifurahi sana Trump alivyomnyoosha Hilary Clinton 2016. Na pamoja na kuwa sio mtaalamu wa mambo ya siasa ama chaguzi naamini hata 2020 alimshinda Joe Biden ni vile tu kila mahali/ taasisi ambako Trump alitakiwa kwenda kudai haki yake aidha walikua completely against him ama walihofia...
  18. I

    DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

    Hee! Kumbe muda wote huu unapigia chapuo wizi?? Hahahaha! Mimi najua unatangaza njia legit za kupata chaneli nyingi, nzuri na za gharama nafuu kuliko dstv?! Kumbe tena unataka tukiangalia tufunge madirisha watu wasisikie?!! Hahahah Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  19. I

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hahahahaha Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom