Search results

  1. Mnama

    Masista duu wana mambo

    Masista duu wana mambo kweli huku mjini;- Cheki classification zoa wananikumbusha biology ya O level; 1. Fundi Chuma_ Huyu kazi yake ni moja tu aani kupiga mzigo mpaka kiu kishe siku genye zimepanda. 2.Kinyonga Maridadi_wa kwenda nae kwenye Outings ,Birthdays , Harusi na sherehe zinginezo...
  2. Mnama

    Hawa ndio wanawake wauza madawa ya kulevya matajiri na wakongwe duniani

    HAWA NDIO WANAWAKE WAUZA MADAWA YA KULEVYA MATAJIRI NA WAKONGWE DUNIANI IPO dhana kwamba wanawake ni daraja hatari sana. Machoni huonekana laini lakini wanaweza kutenda mambo ambayo ni vigumu kwa mtu wa jinsia ya kiume. Biashara ya madawa ya kulevya inahitaji watu hatari, katili, wenye...
  3. Mnama

    For ladies seeking rich Husband

    Nimeikuta mahali nikaona inafaa kushare hapa: A reply from CEO of J.P. Morgan to a pretty girl seeking a rich husband A young and pretty lady posted this... on a popular forum: Title: What should I do to marry a rich guy? I’m going to be honest of what I’m going to say here. I’m 25...
  4. Mnama

    NSSF na nyumba za kuuza ni kwa faida ya Nani ?

    Katika hali ya kusikitisha nyumba zilizojengwa na hili shirika kwa ajili ya kuwauzia wanachama wake ni kiinamacho cha ajabu,nyumba zenyewe chache halafu bado bei ghali kuanzia million 77 hadi 109 na bado wankusukumizia uenda ukachukue mkopo Commercial Bank of Africa (CBA) huku nako unakutana na...
  5. Mnama

    Tigo Mbona hamweleweki

    Juzi nimeweka vocha ya buku nikaongea dakika 4 na sekunde 50 eti hela yote imekwisha ina maana haya matangazo mnayotoa ya shs. moja kwa sekunde ni uongo mtu maana hapo ni kama shs.3.50 kwa sekunde kwa speed hii mnayotupeleka acheni hizo maana hata huduma zenyewe za kungaunga mara simu...
  6. Mnama

    Polisi Tanzania wasipewe bunduki wapatiwe Marungu

    Matumizi makubwa ya nguvu na ya kutokutumia akili na busara za kawaidi yalionyesha na jeshi la polisi songea hivi karibuni,na pia huko Arusha,Mbeya iko haja ya kufanya mabadiliko makubwa sana katika jeshi la polisi kwani hata ukiangalia nchi za wenzetu wanatumia mbinu za kibinadamu kuwatuliza...
Back
Top Bottom