Unampangia mwenye hela yake akanunue wapi kama vipi serikali yenu itoe hela iwape wakulima wapeleke mchele mashuleni. Ibaneneni serekali yenu full stop.
Wabongo kwa kualamika hatujambo sasa kama michele iko mingi si serikali inunue ikalishe hizo shule zilizo fadiliwa na Marekani. Tunapoteza muda kupiga kelele zisizokuwa na maana badala ya kuikaba serikali itimize wajibu wake. Jukumu la kulisha hao wanafunzi ni la Serikali sasa kama imeshindwa...
Kila mtu atakufa ila kusema mtoto wa Mabeyo kufa ni karma hapo ni uchuro havina uhusiano wowote (Misplaced karma) kama Babake amefanya makosa hiyo karma impate Mabeyo mwenyewe.
Hila la makusanyo ya TRA kuna uhuni umefanyika wale walipa kodi wote wakubwa wa Mikoani wanalipishwa kodi Dar ilala kwenye kitengo cha Large Tax payers hivyo kupoka mikoa mingi mapato makubwa. refer Billionea Mushobozi Babati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.