Search results

  1. H

    Waziri wa JK akimbia wanafunzi wa muhimbili

    Wanafunzi wa Muhimbili wamekuwa wasomi wa kwanza kutoka kwenye vyuo vikuu vyetu kutangaza mgomo kwa kile wanachodai wabunge kuongezewa posho ili hali wanafunzi wanapewa kiwango kidogo cha mkopo kisichoweza kukidhi hata gharama za utafiti, malazi n.kSource ITV saa 2 usiku huu.
  2. H

    Mdahalo wa katiba ITV

    Binafsi sikuusikliza tangu mwanzo ila mwishoni nimeona Francis Kiwanga akisema Jukwaa la Katiba litaandaa maandamo nchi nzima yasiyokuwa na kikomo, wasiwasi wangu ni watu wa Dar wanatuangusha mno, ila kuchangia kwenye mtandao ni wazuri kweli, linapokuja suala la kujitoa mhanga kwa ajili ya...
  3. H

    JKT na Uzalendo; Uzalendo kwa Nani?

    JKT inatakiwa kutumika kuzalisha raslimali mfano kilimo na ujenzi wa miundombinu, na inatakiwa walipwe kama posho kila mwezi kwa ajili ya kujikimu. Issue sio uzalendo ni kutenegeneza ajira kwa vijana na kuongeza uzalishaji. Ni kweli wengi waliopita JKT ndio mafisadi.
  4. H

    Swali lisilojibiwa: Ndege ya Qatar iliwezaje kutua KIA?

    Issue hapa sio JKT? Kwani wangapi waliopo serikalini na viongozi wetu wakuu wamepitia jeshi hilo lakini ndo wanaongoza kwa ufisadi?? Hapa ni kutazama katiba mpya iweke maadili ya taifa ambayo yatasimamiwa ipasavyo na wenye maadili, siyo mtu hana maadili anataka/anajidai asimamie maadili...
  5. H

    Mgao umeanza tena?

    Huku Mkoa wa Mwanza na wilaya zote yaani Sengerema, Geita, Magu, Kwimba n.k kote hakuna umeme leo ni siku ya TANO. Meneja wa mkoa wa Tanesco amesema waulizeni Serikali, megawati zimebaki 4 tu toka 46 zilizokuwa zinahitajika, hivyo ameona bora azigawe kwenye Hosptali ya Bugando na Seketoure.
  6. H

    Geita 'kimeumana': Madiwani wa CCM wamkataa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya

    Sio tetesi ni kweli madiwani wenzake wa CCm wamekutana jana na kujioroodhesha takribani madwani 48. Kwanza mgodi wa GGM ulikuwa ulete maji kupitia eneo linaitwa Nungwe lakini yeye akakataa kuwa hayo maji yana sumu bila kuthibitisha kitaalamu, yeye anataka maji yapite Senga ambako inaonyesha...
  7. H

    Kaimu Katibu Mkuu Nishati na Madini atangazwa

    Namfahamu vizuri ndugu Maswi ni mchapakazi mzuri sana kwa kipindi kifupi alichokaa pale TAMISEMI amerudisha nidhamu kidogo kwa Wahasibu wa Serikali za mitaa. Japo Ma DT wengi watafanya sherehe kwa kuhama kwake. Alikuwa Kamishna wa bajeti pale Hazina kipindi cha miaka minne au mitano hv...
  8. H

    Pinda: Rais amenipa maagizo mapya

    Suluhisho pekee katika maisha tuliyonayo na kukabiliana na majibu mepesi kwa matatizo mazito ni kudai KATIBA MPYA ndani ya miaka 2 hii tulionayo na siyo kusubiri 2014, maamuzi mengi anayafanya mtu mmoja, na nina imani hoja hii ikurudi bungeni itapitishwa tu na wabunge wa CCm hata kama hatua...
  9. H

    Taa ya njano yaiwakia CHADEMA

    Ni vema huu ushauri ukafanyiwa kazi na viongozi wa CHADEMA, kwani siasa ni inahitaji muda mwingi kuwa makini.
  10. H

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    Jana kama mlimsikiliza vizuri Mathias Chikawe (Waziri wa Nchi - Utawala bora) bungeni, alidai kuwa mwenye ushahidi kuwa Andrew Chenge alihusika ampelekee hata kesho angeupeleka mahakamani, alipojibiwa na Tundu Lisu kuwa hiyo barua ya SFO iliandikwa kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali ikieleza jinsi...
  11. H

    Mshahara mpya kutangazwa leo

    Kiwango cha mshahara kinatajwa katika waraka wa utumishi ambao ni waraka wa siri huwezi kuutangaza kwenye vyombo vya habari.
  12. H

    Mshahara mpya kutangazwa leo

    Kiwango cha mshahara kinatajwa katika waraka wa utumishi ambao ni waraka wa siri huwezi kuutangaza kwenye vyombo vya habari.
  13. H

    Mshahara mpya kutangazwa leo

    Hawezi kutangaza mshahara mpya watatoa waraka wa utumishi, wakifanya hivyo bei zitapanda sana.
  14. H

    Zitto na ushahidi wake Bungeni (Mawaziri kushawishiwa kutoa maamuzi)

    Hakuna jipya na sina uhakika kama utasomwa bungeni huo ushahidi, labda spika anaweza kuwafurahisha wapinzani leo kitu ambacho ni kigumu ikizingatia ni spika wa kuambiwa na kuelekekezwa afanye hili au afanye lile!!!
  15. H

    Zitto na ushahidi wake Bungeni (Mawaziri kushawishiwa kutoa maamuzi)

    Hakuna jipya zaidi ataukalia kama ule ushahidi wa LEMA.
  16. H

    Serikali yatishia kulifungia gazeti la Mwananchi

    Hata hivyo kuna haja ya Serikali kuwa wazi ni mada ipi yenye mtazamo hasi iliyoandikwa na gazeti hili, ndipo haki itendeke.
Back
Top Bottom