Search results

  1. M

    Ruge Mutahaba atakumbukwa daima Clouds Media Group

    Mimi ni mpenzi wa muda mrefu wa vipindi mbalimbali vya CMG. Kabla ya kuondoka kwa Ruge ninafahamu uzuri na ubora wa vipindi CMG ulikuaje na sasa hali ikoje. Kiukweli CMG IMEDORORA! Haina tena vile vipindi vya amshaamsha ambavyo wapenzi wengi walipenda, mfano asubuhi unapoenda kazini ilikua...
  2. M

    Hongereni TBC kwenda Uganda kuongeza ujuzi wa uandaaji wa vipindi

    Nimefurahi kuona TBC walivyofanya uamuzi wa kwenda Uganda kujifunza namna ya uandaaji wa vipindi vya TV na urushaji wa matangazo. Kongole kwao. Kwa kweli ilifika mahali watanzania walio wengi hawapendi kuangalia televisheni za humu ndani kutokana na kukosa ubora wa vipindi, kukosa maudhui...
  3. M

    Ushauri kwa Rais wangu mpendwa: Chunguza na kushughulikia tatizo moja dogo - ufa wa ukabila na ukanda

    Nakusalimia kwa salamu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hongera sana kwa kazi mama yetu, Mama Samia Suluhu Hassan. Watanzania sasa tumekuelewa vizuri na tuko pamoja na wewe. Mabadiliko uliyoyafanya ndani ya muda mfupi yanaonesha kweli ulikuwa karibu na mtangulizi wako na ulielewa alichokuwa...
  4. M

    Uchaguzi 2020 Hii Tume ya Uchaguzi teule inafahamu Sheria na Kanuni za Uchaguzi?

    Nimeuliza swali hili ili nijuzwe, tume imefanya nini kwa haya: 1. Mgombea kuwaambia wananchi, msiponichagua mtakula vumbi mpaka mkome, sileti lami huku. 2. Msiponichagua na madiwani wangu sileti maji kwenu Nauliza tu ili nijuzwe kama ni sahihi mgombea kutamka maneno ya namna hiyo, na kama...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Nitawashangaa sana wafuatao wakipigia kura CCM

    1. Watumishi wa Umma, kwa sababu hawajapewa mishahara na posho zinazostahili kwa miaka zaidi ya 6 iliyopita ukiacha wale wachache wateule. 2. Wanafunzi wa Vyuo vya elimu ya juu kwa mateso wanayopata kupewa mikopo ya kujisomesha. 3. Wazazi wenye watoto maskini waliofaulu kwenda vyuo vya elimu...
  6. M

    Uchaguzi 2020 Ushauri kwa ACT - Wazalendo juu ya kampeni za Uchaguzi

    Habari wenye chama chenu, naamini mnafuatilia mikutano ya Mgombea wenu wa Urais kama mimi nifanyavyo kwa wagombea wa vyama vitatu maarufu. Nilitamani kuongea na kiongozi wa Chama mara baada ya uzinduzi wa kampeni, bahati mbaya simu yake ilikuwa bize haikupokelewa. Niliyoyaona kwenye hotuba ya...
  7. M

    Kweli dini ni biashara, dini ni siasa

    Naomba wahusika waniwie radhi kama nitawakwaza. Nimelazimika kuyasema haya . Siku za hivi karibuni umeibuka utaratibu wa viongozi wa dini kuita vikao wao au kushirikishwa katika vikao na kutoa maneno yanayoashiria kuwa wamepewa kitu kidogo na wenye nacho na hivyo kutoa matamshi yanayotia mashaka...
  8. M

    Hivi kati ya TBC na Channel Ten ipi ni Televisheni ya Taifa?

    Habarini ndugu wana JF, Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali kwenyeTV hizi mbili. Stesheni moja nikiijua kuwa ya taifa na nyingine ya CCM. Kwa kuangalia maudhui ya vipindi vyao inaonekana kama TBC ni chombo cha CCM na Channel Ten ndiyo televisheni ya Taifa. Hivi televisheni yetu sisi...
  9. M

    Vyombo vya habari: Tatizo ni nini?

    Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV, STAR TIMES, AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao. Utagundua watu...
  10. M

    Wanasiasa hawawaelewi Wananchi wao

    Nimebahatika kuangalia bunge leo wabunge wakichangia hotuba ya waziri Jaffo, tamisemi nikashtuka sana niliposikiaa kila mbunge akisimama anaongelea pongezi sifa na kusema katumwa na wananchi kuyasema hayo. Nimefikiri sana kujua ni utaratibu gani aliutumia kuwauliza wananchi ujumbe anaotaka uende...
  11. M

    Ningemshangaa sana Mungu

    Ndugu zangu kwa muda nimekuwa nikijiuliza hivi kweli Mungu yupo? Ni kwa sababu naona muda unavyokwenda binadamu wanaigeuza dunia watakavyo, wanaenda tofauti na kusudi lake mwenyezi. Mfano wako wanaooana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, wapo wanaonyanyasa wenzao, wapo wanaoua wenzao...
  12. M

    Uzinduzi wa kampeni dhidi ya rushwa Dar

    Nikiwa mwathirika wa kampeni hizo, najiuliza itakuwaje. Zile minor tunazokusanya barabarani na kuwasilisha kwa OCS, OCCID, DTO, OCD, kwa maelekezo kuwa zinatakiwa mkoani kwa RTO na RPC ili waziwasilishe makao makuu, kwa IGP, Minor hizi hazina risiti wala bei maalum bali ni makubaliano kati yetu...
  13. M

    Hongera raisi, wenzako wakuangusha

    Mheshimiwa tunakupongeza sana kwa jitihada unazofanya. Kubwa kuliko, umehakikisha watoto wanaenda shule, wakulima wanapata malipo yao. Madawa kibao yanaonekana vituoni sasa kuliko ilivyokuwa awali. Kwa usiri mkubwa, naomba usinitaje watanishughulikia nakuonesha picha za madawa yaliyotupwa ndani...
  14. M

    Barua kwa Baba wa Taifa

    Shikamoo babu Salaam kutoka duniani Tunapoazimisha miaka 20 toka mwenyezi mungu akuvune baada ya kumaliza kazi tunasikitika sana kuona tulio wengi tumesahau uliyotuasa, tumesahau wosia wako. Nakumbuka pale ulipoona uhuru wa Tanzania si uhuru kama nchi nyingine za afrika haziko huru...
  15. M

    Awamu ya tano tujitathmini maneno, ngonjera,nyimbo zimekuwa nyingi

    Nimekuwa nikisikiliza viongozi mbalimbali wakijinasibu kuwa wamefanya mambo mbalimbali makubwa sana mfano Waziri anajisifia tumejenga shule 10, vituo vya afya 30 , barabara km300 nk.kana kwamba wameumba binadamu. Mimi ujiuliza ivi anayestahili kusifu ni yule aliyejengewa vitu hivyo( mwananchi...
  16. M

    Nakushauri Spika Ndugai, usijaribu kutunishiana misuli na mtu wa watu Prof. Assad

    Mh nakushauri sana usijaribu kutunishiana misuli na mtu wa watu. Prof Assad anaongea kitaalamu zaidi kwa maneno machache na mafupi yanayoeleweka na ya kisheria kwa wananchi,, wewe unaonekana unaongea kwa mihemuko, hasira bila utaratibu wala sheria na kisiasa, Bahati mbaya sana mimi ni mwananchi...
  17. M

    Bunge lijitathmini

    Habarini waheshimiwa sana wabunge, nimefuatilia kwa ukaribu yaliyokuwa yanaendelea bungeni siku za hivi karibuni sikuelewa nikabaki na mshangao na kujiuliza maswali mengi 1. Hivi hili ni bunge letu watanzania- bunge la kutunishiana misuli, 2. Hawa kweli wanatuwakilisha wananchi? 3.Je ni...
  18. M

    Tumsikilize nani, tumwelewe nani?

    Nimeangalia taarifa ya habari moja siku za hivi karibuni nikashindwa kuielewa: Ilihusu sehemu moja inaitwa Kibondo nafikiri huko ni Kigoma. Habari iliwaonesha nadhani Mwenyekiti wa halmashauri, kiongozi wa wananchi na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya wakilalamika kuhusu mauaji ya raia,uporaji...
  19. M

    Hivi wamiliki,wahariri,waandaaji, waendesha vipindi wa TV za hapa nyumbani wanajitambua

    Nitangulize samahani kwa nitakayoyasema, lakini ni kwa lengo la kujenga. Swali hili hunirudia mara kwa mara ninapoangalia vipindi kwenye runinga zetu na kuona karibu WOTE hawajui wanachokifanya, Hujiuliza hivi wanakosa weledi, wana upungufu katika taaluma zao au tatizo ni nini?. Nawashauri...
  20. M

    Mheshimiwa "Madoa haya ni makubwa kuliko unavyoaminishwa,

    Nimekuwa nikisikia maelezo na malalamiko ya watu walio wengi, kimsingi watanzania walio wengi wanakuunga mkono kwa hatua unazozichukua kujenga nchi na kuondoa ufisadi, Tatizo wengi wanadhani unajenga sehemu fulani tu ya nchi na si nchi nzima, mfano umeonekana katika kipindi kisichozidi miezi 6...
Back
Top Bottom