Search results

  1. Kalunguine

    Wakuu hii ni kweli au utapeli

    GetPayMonthly.xyz - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
  2. Kalunguine

    TANZIA: Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo afariki dunia

    Mgombea ubunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya ACT WAZALENDO Ndugu Estomih Malla amefariki dunia usiku wa leo saa saba katika hospitali ya KCMC Moshi. Ndugu Malla alipelekwa KCMC jana mchana kutokea Hospitali ya St. Thomas iliyopo Arusha mjini baada ya kulazwa hapo kwa siku mbili kwa sababu ya...
  3. Kalunguine

    Wakuu hii ni kweli au utapeli

    katika kupitapita mitandaoni nikaona hii kitu Micro Loans with Mobile Banking - LPESA Microfinance Tanzania kuna mwenye taarifa na hii kitu ndugu zangu? maana wanashawishi kwa $ na wakati maisha yetu magumu,so nauliza tu maisha yangu yasije fanywa kuwa magumu zaidi kwa kutapeliwa na kuibiwa.
  4. Kalunguine

    Msaada wa kisheria: Nimeibiwa pesa yangu kwenye line yangu ya vodacom

    Mimi ni mtanzania mjasiriamali,katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita nilikuwa na kiasi cha pesa za kutosha katika akaunt yangu ya M-PAWA,nilipokuwa nikijaribu kutoa pesa kutoka mpawa kuja mpesa nikawa napata ujumbe wa kuwa sijafaulu kutoa pesa nilizokuwa nataka kutoa. katika kipindi chote...
  5. Kalunguine

    Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Mwanza mjini

    Nyumba iko nyakato - pembeni ya shule ya msingi gedeli,kiwanja cha nyumba ni 20 kwa 20,kuna kisima cha maji yasiyo na chumvi. Bei ni maelewano baada ya kuiona nyumba kwa watu wa mwanza. Piga simu no 0765269770
  6. Kalunguine

    Unasumbuliwa na weusi wa kwenye makwapa?

    helps to fade discoloration under the arm and other sensitive areas. Extra strength formula helps to prevent unpleasant body odor smell and retain the natural conditions of the skin, highly effective moisturizer for sensitiveskin PRICE tsh 25,000/= call to order 0654 858 564...
  7. Kalunguine

    Dawa ya kuondoa weusi kwenye makwapa

    dark underarms or between your thighs due to fiction or bikini area due to shaving? Buy a milk and salt scrub and fade it away for TSH 25,000/= +254718205530,kwa wahitaji wa tanzania unaweza kuniPM
  8. Kalunguine

    Mtatiro: Shutuma za lukuvi kwa cuf na kwangu ni za kipuuzi na hazina mshiko;

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI; 09 Novemba 2013. SHUTUMA ZA LUKUVI KWA CUF NA KWANGU NI ZA KIPUUZI NA HAZINA MSHIKO; Nikiwa hapa Johannesburg nikihudhuria mafunzo maalum ya usimamizi wa uchaguzi, nimejulishwa kwamba huko nyumbani Tanzania(bungeni), waziri wa sera, bunge na...
  9. Kalunguine

    Kwa mwenye taarifa kuhusu wahindi wa kiwanda cha A-Z kisongo Arusha

    taarifa zilizozagaa hapa mjini leo ni kuhusu kubakwa na kulawitiwa kwa binti mmoja aliyekuwa akifanya kazi kama kibarua katika kiwanda cha A TO Z hapa Arusha hali iliyopelekea kufariki dunia kwa msichana huyo. kwa mujibu wa jamaa yangu wa karibu anayefanya kazi katika kiwanda hicho na ambaye...
  10. Kalunguine

    Ushawahi kukutana na hii?

    Nimepata nyumba ya kupanga hapa magomeni mapipa,mwenye nyumba kanambia kodi laki 2 na nusu kwa mwezi,anataka nilipe kodi ya mwaka mmoja,nikamkubalia,baada ya kutoa pesa na kuandikiana mkataba,akanambia bado pesa ya choo 50,000/= kwa mwezi,jiko 50,000/= kwa mwezi,stoo 50,000/= kwa mwezi,na...
  11. Kalunguine

    Hakuna matusi duniani,bali kuna maneno tu...

    hii ni shule kwa wenzako wakati kwako ni matusi
  12. Kalunguine

    Tetesi: Kuhusu kuuwawa kwa padri hapa zanzibar

    wengi hapa unguja wanazungumzia tukio la kuwawa kwa padri majuzi hapa kuwa walidhulumiana madawa ya kulevya na hata kuna sms zinasambazwa kupitia sim za mikononi ya kuwa kauwawa na watu aliowadhulumu fedha za madawa,inasemekana radio kheri ya dar imetangaza habari hizi,kwa mwenye uhakika na...
  13. Kalunguine

    Kiwanja kinauzwa dodoma mjini

    Kiwanja hiki kinapatikana nyuma ya jengo jipya la BOT mtaa wa idara ya maji barabra ya kwenda UDOM,BEI MILIONI 200,KWA MAWASILIANO tafadhali ni PM,tazama site PLANN katika attachment ni kiwanja no 5.
  14. Kalunguine

    Natafuta Mke Wa Kiarabu

    Umri wangu miaka 45,nliwah kuoa,nina kazi nzuri ,naishi Burundi,natafuta mke wa kiarabu,umri miaka 25 na kuendelea,aliye tayari aniandikie mashakayurita@ymail.com
  15. Kalunguine

    viongozi hawa wanahataisha amani ya taifa

    jumapili iliyopita nilikuwa kanisani katika wilaya ya manyoni katika kata ya mitundu,wakati ibada inaendelea inaendelea mara ikaja land cruiser iliyobeba wachungaji wa 3 wa makanisa ya TAG-MANYONI,AIC MANYONI NA KKKT.WAKAJINADI YA KUWA WAMETUMWA NA MAKANISA YA MANYONI eti kuwahadharisha wakristo...
  16. Kalunguine

    Nyumba na kiwanja vinauzwa hapa dodoma mjini

    Nyumba iko Plot no 10,no ya nyumba ni 51,ina maduka manne na vyumba vya kuishi tisa,ina store,jiko,urefu wa kiwanja cha nyumba ni mita sabini na upana mita kumi na tano,iko hapa Dodoma mjini mtaa wa mji mpya OPP na PETER PALM HOTEL BARABARA YA KUMI.bei ya nyumba ni milioni 350,mazungumzo yapo...
  17. Kalunguine

    Coasco vip jamani

    Coasco walitangaza kazi Mwezi march katikati lakini mpaka leo sijapata habri yotote.Mwenye taarifa na hili kama wameshaita au la.
  18. Kalunguine

    Kipenga cha kuanza mitihani ya cpa chapulizwa rasmi

    Poleni wote mlio kwenye mitihani ya CPA,MUNGU atawajalia safari nanyi mtaclear
  19. Kalunguine

    jinsi gani ntaiiunganisha line mpya ya airtel kwenye internet?

    nmenunua line mpya ya airtel, tayari nmeshaisajiri ila nikitaka nnunua internet bundle inakataa? nifanye nini kusolve hili tatizo?
Back
Top Bottom