Search results

  1. mimimkuu

    ALIKIBA, OMY DIMPOZ wamwangalie huyu Kijana IBRAH

    Baada ya kutizama hii video nahisi wasanii kama Alikiba na Omy Dimpoz wataachwa nyuma https:/youtu.be/8jplupIma68
  2. mimimkuu

    Msela mwenye real love

    Hii itakusaidia DORIVA Music Band Songs | ReverbNation hao jamaa wanaitwa DORIVA Music
  3. mimimkuu

    Kwa msimamo huu wa spika Makinda; Naamini CCM inawatoa kafara la damu watanzania!

    rashid muhamad aliomba mwongozo na kumwomba spika kwa vile ajali hii ni kubwa sisi wabunge wa zanzibar tunakuomba bunge liendelee na kupitisha bajeti lakini sisi mturuhusu tuungane na wenzetu katika uokozi. majibu ya spika. waheshimiwa wabunge sisi tuendelee na kazi iliyopo mbele yetu mpaka...
  4. mimimkuu

    CUF inajiandaa kuchukua Arumeru Mashariki-Mtatiro

    Kujaribu sio kushindwa
  5. mimimkuu

    Tumwombee Rais na Nchi yetu

    Sala ni moja tu...atoke nchi itakuwa shwari
  6. mimimkuu

    Mgomo wa Madaktari: KCMC kufungwa kesho

    Baada ya Bugando kusitisha huduma leo, KCMC watafunga kesho....update to follow Source: kuna kikao kinaendelea
  7. mimimkuu

    Dr. Saa ni kiongozi pekee aliye kwenye active politics anayeumwa na umaskini wa watanzania

    Akili zako zinakutosha mwenyewe......itachukuchukua muda sana kujitambua kwa kuwa hata kureason hujui
  8. mimimkuu

    Urais: Anne Makinda anafaa

    Hiyo ni negative hebu safisha uone picha
  9. mimimkuu

    JK kukiri hali ya fedha serikalini ni mbaya

    Tatizo anakuwa wa mwisho kuelewa kila jambo. Waliambiwa wakabisha, ngoja tuone mwisho.
  10. mimimkuu

    Wana CHADEMA msitukane mamba kabla hamjavuka mto

    Mbona mwenyewe unaonekana unajazba....punguza kwanza ndo ukemee wengine
  11. mimimkuu

    CV ya Mheshimiwa Waziri wa Afya anayesubiri kujiuzuru hivi karibuni

    Personal attack inapofanywa na viongozi wakubwa tena kwa kurudiarudia ni udhaifu
  12. mimimkuu

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Labda waifungie internet.....
  13. mimimkuu

    Speech ya Kikwete Davos- World Economic Forum--Tatizo nini?

    Tatizo hapendi ku- delegate, mbona Kibaki kamwacha Raila Odinga kuhudhuria? Tatizo la JK kila mkutano anataka ahudhurie. Anyway alijitahidi kwa kiasi chake. Mahali aliponi -disapoint kabla ya speech yake ya mwisho Gordon Brown aliweka wazi kuwa tatizo la viongozi wengi wa afrika kila mwekezaji...
  14. mimimkuu

    Kumekucha Arumeru

    Time will tel
  15. mimimkuu

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Watahangaika sana.....
  16. mimimkuu

    Kikwete aagiza misafara yake ya kwenda nje kupunguzwa

    Too late...angesema hivi 2006 ningemwelewa,amenidisapoint sana, na mbona hii imekuja baada ya Davos?
  17. mimimkuu

    Baba Kikwete Jiuzulu Kulinusuru Tanzania!

    Matatizo ya Watz ni pamoja na wewe
Back
Top Bottom