Search results

  1. K

    OMBI: Rais Magufuli, vunja Bunge halafu itisha uchaguzi mpya mwaka huu

    Mheshimiwa Rais John Pombe Joseph Magufuli nakuomba sana ulifikirie hili wazo langu. Najua kuna changamoto nyingi za kifedha na kuvuruga miradi ya maendeleo nchini lakini lifikirie ombi langu mkuu. Kuna watu nchini wanaoelekea kushindwa kisiasa kwa hiyo wameamua kufanya wanachoweza kuivuruga...
  2. K

    Vunjeni vyama vya upinzani. Undeni chama kimoja cha upinzani.

    Kilichotokea katika uchaguzi huu mdogo wa madiwani ni ishara tosha kuwa upinzani ule wa juzi sio huu wa leo. Mnaweza kuja na sababu nyingi kuelezea kushindwa kwenu lakini deep down, ukijifunika shuka usiku, utakubali kuwa mmepoteza mvuto. Mkienda kichwa kichwa (chama kimoja kimoja) kama...
  3. K

    Je Dr. Shika atakua ameingizwa mkenge staili ya wa Nigeria?

    Dr. Shika ametuma hela kama bima ya kuletewa cheki yake ya mabilioni ya hela toka Asia, ili anunue magorofa ya Lugumi. Utapeli kama huu umejaa duniani na hasa WaNigeria wamekubuhu. Wanakwambia kuwa Chifu Olewele aliefariki hivi karibuni ameacha mabilioni ya fedha, tusaidie kuziwekeza kwenye...
  4. K

    Mayo, Mayo Nabhulaga Shing'weng'we

    Wakati tunaingia mwaka wa 3 wa utawala wa awamu ya 5, inanikumbusha hadithi nilizosimuliwa na mabibi siku nyingi kuhusu kijana jasiri wa Kisukuma. (Mimi sio msukuma) Nafikiri pia unaweza kuipata hadithi hii kwenye vitabu katika lugha nyingi. Kuna hadithi moja ya Kiingereza ipo mtandaoni...
  5. K

    Viongozi wetu wote Tanzania sio Wazalendo

    Disclaimer Sina maslahi yoyote yale na JamiiForums. Hiki kitu kimeniumiza kichwa kwa muda mrefu sana. Viongozi wetu wa siasa, dini, na jamii kwa ujumla unawakuta wanatimbwirika kila siku kwenye mitandao ya wazungu kama twita, fesibuku, insta, n.k. Nadra sana utawakuta kwenye mitandao...
  6. K

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
  7. K

    Hivi yule "Baba wa Demokrasia" wa kuigwa na TZ kutoka nchi jirani ni NANI TENA?

    Wale walionengua na kuishinikiza TZ iige mfano mzuri wa "Baba wa Demokrasia" wa Afrika kutoka nchi jirani waje hapa wajieleze. Nyie mlipaswa kuhudhuria kongamano la #MezaYaWazalendo lililofanywa jana ili mjifunze maana ya UZALENDO. Nyie kila kukicha mnadharau vyenu na kusifia vya wenzenu...
  8. K

    Serikali muwe makini, Vyombo vya habari vya nje vinajaribu kuharibu jina la Tanzania

    Serikali, tafadhalini sana muwe na timu ya kujibu habari za uongo haraka (quick response team). Msitegemee kuwa kila mtu anajua ukweli upo wapi. We are not psychics. Vyombo vya habari vya nje (BBC-Swahili, abc, AP, n.k.) vimeanza kusambaza habari za uongo kuwa Lissu amekamatwa kwa kosa la...
  9. K

    Serikali ya CCM itolee maelezo hii kamata kamata ya viongozi wa CDM. Inaanza kuleta picha mbaya.

    Katika siku za hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kunazagaa hizi taarifa za kukamatwa viongozi wa CDM kila wanapojaribu kukutana (ndani au nje). Taarifa tunazopata mara nyingi ni kutoka wafuasi wa upinzani na taarifa hizi zina ukakasi kwangu. Kama kuna sababu za kisheria zinazopelekea...
  10. K

    Rais Magufuli yupo sahihi kuhusu mimba mashuleni, lakini...

    Uamuzi wa Raisi Magufili kusitisha ufadhili wa elimu (education sponsorship) kwa wasichana watakaopata mimba kwenye shule za serikali umewagusa wengi. Mimi mwanzoni nilihamaki kuwa "inakuwaje tuwatelekeze hawa mabinti wetu katika kipindi chao cha shida ambapo ndipo wanapotuhitaji zaidi kwa...
  11. K

    RAI: Sangoma kutoka Kenya wakodishwe kukamata mafisadi Tanzania

    Lazima tukubali Kenya ina sangoma viboko ile mbaya. Mifano: 1. Kama mke au mume wako anachepuka basi sangoma wa Kenya wana dawa zakuwafanya hawa wachepukaji kunasiana wakati wa tendo la ndoa mpaka wewe mwenye mali uje uwanasue. 2. Hivi juzi bwana mmoja aliibiwa/alitapeliwa gari na mwizi mmoja...
  12. K

    Serikali badilisheni sehemu ya deni la ACACIA kuwa hisa

    Ni dhahiri hawa jamaa mmewashika pabaya. Lakini hili deni ni kubwa sana na watakuja na kila mbinu ili wapunguziwe. Nawashauri muwakomalie na kwamba kama hawawezi kulilipa deni lote basi sehemu yake inunue hisa za huo mgodi. Tulikwishapoteza hisa zetu za 15% hapo nyuma. Ni wakati muafaka sasa...
  13. K

    UPINZANI 2020: Njia za Kwenda Magogoni na Bungeni Zimeota MBIGIRI

    Ndugu zangu wa upinzani, hivi tumefikaje hapa? Upinzani mahiri uliotikisa chama tawala kabla ya 2015 sasa umesambaratika kiasi hiki cha kurundikwa kundi moja na wakina ACACIA na wahujumu uchumi? Mliteleza wapi maswahiba wangu? Najua kuna watu ndani ya upinzani wenye uelewa wa kindani sana...
  14. K

    Pres. Magufuli: Don't Put Your Sub-ordinates on Short-Leashes (ala Kilango)

    You will stifle creativity & innovations in governance. So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead of being your linchpins in perfecting your governance. Kama kuanzia mawaziri...
  15. K

    Uamuzi wa Marekani (MCC-2): Majibu Stahiki ya Serikali ya Tanzania

    Marekani (MCC) wametunyima shilingi trilioni moja (1) kwa sababu zao wanazozijua (na sio marudio ya uchaguzi Zanzibar wala sheria za mitandao. Mengi yamekwisha zungumzwa mitandaoni sina haja ya kuyanukuu). Sasa tufanyeje? 1. Tuendelee tu kuwa na uhusiano mwema na Marekani na mataifa mengine...
  16. K

    Kill Your Smartphone - Ua Smartphone Yako na Ziba Kamera ya Kompyuta Yako

    Ndugu zanguni, sijui kama mnafuatilia sakata kati ya Apple Smartphones na Serikali ya Marekani. Serikali inashinikiza Apple wawatengenezee backdoor App. ili waweze kusoma encrypted messages za wale majangili (mke na mume) walioua watu huko California hivi karibuni. Inaelekea serikali...
  17. K

    US ELECTIONS SPECIAL: Sanders, NOT Trump is the True Anti-ESTABLISHMENT Presidential Candidate.

    Those following election campaigns in the US are now familiar with this term “ESTABLISHMENT” Presidential Candidates. They always refer to Mr. Donald Trump for the Republicans and Mr. Bernie Sanders for the Democrats. Probably, if you listen to mainstream media like CNN, MSNBC, or FOX you may...
  18. K

    Samani za Ikulu zinanipa utata kidogo

    Baada ya Krisimasi naomba tufanye soga zisizokuwa na hapa wala pale. Najua Mh. Raisi atakuwa amesisitiza kuwa samani mpya za ikulu zinunuliwe hapa hapa Tanzania lakini basi wabongo tujitahidi kidogo katika matengenezo. Licha ya kuwa rangi ya haya masofa hainivutii (earthtones, kama rangi ya...
  19. K

    Stakabadhi Ghalani: Naomba Kujuzwa

    Najua kuna huu mfumo wa STAKABADHI GHALANI kwa wakulima wa mazao ya kibiashara. Mie mwenzenu ninapitwa na mengi basi naomba anaeufahamu huu mfumo anijuze. Tafadhali tumia lugha rahisi ya kueleweka na ufasaha unapouelezea huu mfumo kana kwamba unamfundisha mtoto wa darasa la tatu...
  20. K

    Trump ataka Waislamu wazuiwe kuingia Marekani

    Mgombea mtarajiwa wa uraisi kupitia chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump ametaka Waislamu kuzuiwa kuingia nchini Marekani kwa muda. Trump anasema utafiti uliofanywa hivi karibuni unaonesha kuwa waislamu wengi wamepandikiza chuki juu ya Marekani na sasa mpaka uongozi ubaini sababu...
Back
Top Bottom