Kama Taifa, tutakimilishe mradi mmoja mkubwa kwanza kabla ya kuruka ruka. Sasa hivi tuna bwawa la Mwl Nyerere ambalo tangu Makamba aingie kwenye hiyo WIzara kumekuwa na story kuungaunga. Makamba akamilishe mradi wa Mwl Nyerere, una uwezo wa kuongeza umeme karibu mara mbili ya kiwango...
Cheap politics. Watu wanataka umeme wa uhakika na kwa bei nafuu, Propaganda za kusema vijana wamekopeshwa ili wafunguwe vituo vya mafuta vjijini ni kudharau Watanzania maana hao vijana ni wanatumika kuficha upigaji. Hizo bilioni 2 zitaliwa kama njugu na hakuna la maana mtakaloona. Makamba...
Usipate tabu sana, UMMY MWALIMU na yule boyfriend wake wako kazini kuhakisha wanavuna MSD. Watabadilisha hadi vitasa kwa visingizio visivyo na mantiki ili mradi wapiga dili wao waingie MSD na kuanza kuuza kila kitu. Iko Siku hizi kelele za UMMY Watanzania watajua ukweli.
Makamba ni kielelezo cha tatizo la msingi linalokwamisha Afrika kupita hatua. Kila kitu kwake ni dili. Sasa hivi anatemebea na majina ya wakandarasi mfukoni ili awaondoe wakandarasi aliowakuta na kuweka wake. Mwisho wa siku bei ya umeme itandelea kuwa juu, mwananchi hatoona nafuu, na yote hiyo...
Kuna shida, tena shida kubwa sana. Mikopo inaongezeka kwa kasi na matumizi ya serikali kwa vitu vya anasa nayo yanaongezeka. Rais ashtuke, wanampoteza na mambo yakiharibika watamgeuka kimoja.
Wa
Walio karibu na Rais Samia, mshaurini kabla hajaingiza nchi kwenye matatizo, apange upya timu yake wa Fedha na Mipango. Wizara ya Fedha haitaki kusumbuka na hawatumii akili kabisa, ikitaka pesa inakimbilia kukopa na Rais wetu anakubali haraka haraka. Hii kasi ya mkopo italeta shida. Rais...
Kwa hiyo Royal Tour haikundaliwa kwa ajili ya kutangaza utalii bali kuwezesha wanawake? Ukimuona mtu anotaja jenga kwa kila jambo tena kwa kuungaunga kama alivyounga Vicky Kamata, hana la maana.
Nyie watu mnakuza mambo kwa ujinga wenu. Sasa kila mtu atatafuta hicho mnachokiita kudhalilishwa. Mambo mengine kaeni kimya siyo kila kitu mnajibu, Mtajibu mangapi? filamu yenyewe imejaa mauzauza.
Na huyo spika ni dhaifu kiasi cha kutetewa na nyie wasaka tonge? Kwanini mnajificha nyuma za...
Tuna macho, siku nyingine muache kutuvalisha miwani ya mbao.
Halafu huo utani wa kuanzisha benki ya Ushirika sijui mmetoa wapi?
Hata kusoma mmeshindwa kama kufiria imekuwa ngumu?
Hivi unaelewa usanii unaondelea kwenye sekta ya kilimo au umeamua kuwadharau Watanzania kwa kuleta hizi dhihaka za kusifiana?
Mbolea mfuko wa kilo 20 ni laki nusu, mwaka jana ilikuwa haizidi elfu 50. Wizi mtupu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.