Search results

  1. Mu-sir

    Huawei Mate 7 ya kichina

    Wakuu leo nimenunua simu Huawei Ascend Mate 7. kumbe ina OS ya Kichina haina hata Google play store japo inafunction vizuri kwa baadhi ya basic apps za simu Yaani kiufupi nimepigwa. Sasa je naweza badili hii ROM Na kuweka ya Europe?? Naamini humu yote yanawezekana. Au niende wapi nikatatue hili...
  2. Mu-sir

    Kusafirisha Mzigo kwenda Zanzbar

    Wakuu Habari? Ninaomba kuuliza kuna mwenye taarifa za namna ya kusfirisha Conatainer ya Mzigo kutoka TZ kwenda Zanzbar taratibu zake, Tozo na mengineyo ni kiasi gani? Naomba kuwasilisha
  3. Mu-sir

    Soma hii huenda ukajifunza kitu

    Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara...
  4. Mu-sir

    Gold Rush Alaska

    Wakuu habari za mapinduzi??? nimekuwa nikipita huku na huko nikaangukia episode 2 za hii series nimevutiwa sana kama kuna mtu anayo hii Series aniambie nimtafute I like it.
  5. Mu-sir

    Kwa watumiaji wa Zuku TV

    Wakuu leo nimepita sehemu nimepita nikaona tangazo la Zuku. Kiufupi nimevutiwa na Hizi channels za VIASAT km vile -Nature, -History, -Explore, -Crime etc. Nimevutiwa na CCTV-9 Ducummentary...
  6. Mu-sir

    Azam TV Gold

    Wakuu, Nimeona hii kwenye Facebook page ya Azam TV, kuna anayejua hii Gold ni nini?
  7. Mu-sir

    Economic hitmen

    hiki ni kitabu kinachoitwa... CONFESSION OF AN ECONOMIC HITMAN. Iko hivi: Kabla nchi zetu maskini kukopeshwa zinafanyiwa study ya nguvu na wataalam wa uchumi kutoka IMF, WORLD BANK and the so wakopeshaji wakubwa. Lengo lao hasa ni kujua unexplored resources zilizopo. 1. Sasa hayo mataifa...
  8. Mu-sir

    Economic Hitmen

    Ni kitabu kinaitwa CONFESSION OF AN ECONOMIC HITMAN. Iko hivi: Kabla nchi zetu maskini kukopeshwa zinafanyiwa study ya nguvu na wataalam wa uchumi kutoka IMF, WORLD BANK and the so wakopeshaji wakubwa. Lengo lao hasa ni kujua unexplored resources zilizopo. 1. Sasa hayo mataifa makubwa yanatoa...
  9. Mu-sir

    Wataalamu wa Katiba nijibuni hili

    NAENDELEA KUSOMA: Ibara ya 42 ya Katiba ya JMT, 1977 kama ilivyofanyika marekebisho mara kwa mara inasema Rais akishatangazwa ataassume office mara moja au ndani ya kipindi kisichozidi siku 7. Ibara ya 51 (2) inasema Waziri mkuu akishateuliwa lazima awe confirmed na National Assembly. Ibara...
  10. Mu-sir

    Tukimpoteza Lowassa tumepoteza maendeleo

    Wanabodi. Wasalaam, hili pekee limenikuna na kuridhika kuwa Tuna kazi moja tu ya kumpitisha Lowassa. He is a visionary Leader. Ni kiongozi mbunifu mwenye maono kwa ustawi wa nchi yetu. Binafsi hii ahadi hapa chini ni nyenzo muhimu sana ya kuongeza wigo wa mapato na kuwashawishi wananchi kulipia...
  11. Mu-sir

    Mafisadi wakitubu mahakama za nini?

    Habari, Niliwahi kuja na mada kuhusu mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM na jinsi ulivyogubikwa na rushwa na utashi wa mahakama ya mafisadi huku mawaziri/wabunge wengi wa CCM wakiwa sehemu ya rushwa na ufisadi. Pia mgombea wa chama hicho akitoa rushwa hadharani huko Tanga kwenye mkutano wa...
  12. Mu-sir

    VIDEO: Livingstone Lusinde na Ukabila na ukanda

    Nimeshindwa ku upload Video ya Livingstone Lusinde nimeweka Link wajuzi waiweke humu. Hii video imesambaa huku Lusinde akisisitiza ukabila na ukanda. Ni matumaini yangu Tume ya uchaguzi itachukua hatua stahiki...
  13. Mu-sir

    Watanzania tuna cha kujifunza kutoka Kenya, Soma hapa

    Someni huu waraka tuna ya kujifunza👇 Siasa za Kenya za Mwaka 2002 ni miongoni mwa siasa zilizokuwa na msisimko wa aina yake katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Ni mwaka ambao KANU iliondolewa madarakani Rasmi na Wakenya na hatimaye kufifia katika ulimwengu wa siasa. Hata hivyo uchaguzi...
  14. Mu-sir

    UKAWA tuna la kujifunza hapa

    Someni huu waraka tuna ya kujifunza👇 Siasa za Kenya za Mwaka 2002 ni miongoni mwa siasa zilizokuwa na msisimko wa aina yake katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Ni mwaka ambao KANU iliondolewa madarakani Rasmi na Wakenya na hatimaye kufifia katika ulimwengu wa siasa. Hata hivyo uchaguzi...
  15. Mu-sir

    Muhimu kwako mpiga kura mwenzangu

    Wakati huu ni wa kuhakiki taarifa zako kwenye Daftari la kudumu la kupiga kura. Ni muhimu kuhakiki ili tusipoteze Fursa ya kupiga kura pale ambapo ukienda kupiga kura unakuta taarifa siyo sahihi kwani hutoruhusiwa kupiga kura. kuna tetesi za chama tawala kutumia fursa hii kufanya utafiti wa ni...
  16. Mu-sir

    Zingatia hili ewe mpiga kura.

    Wakati huu ni wa kuhakiki taarifa zako kwenye Daftari la kudumu la kupiga kura. Ni muhimu kuhakiki ili tusipoteze Fursa ya kupiga kura pale ambapo ukienda kupiga kura unakuta taarifa siyo sahihi kwani hutoruhusiwa kupiga kura. kuna tetesi za chama tawala kutumia fursa hii kufanya utafiti wa ni...
  17. Mu-sir

    We Dada kama umo humu asante sana

    Ni muda umepita nilikuja Benki kwenu kutoa Pesa kwa Western union (Hata hivyo sikufanikiwa) ukaniomba kitambulisho ikabidi nikupe Passport yangu. Leo nilitakiwa ku submitt Passport yangu ubalozini kwa ajili ya visa ndio Nahamaki kumbe sina Passport na sijui ilipo. Nimetafuta sana ndani ya...
  18. Mu-sir

    Video training sites

    Wakuu Umofia, Ninaomba yeyote mwenye link ya website yoyote ambayo naweza ku pata access ya kuwatch na ku download Video training za topic mbali mbali za Engineering, Business, Documentaries etc. afanye kuweka humu ili tufaidike wengi. Natanguliza shukrani wanabodi.
  19. Mu-sir

    Kwa fikra huru tutafakari haya

    WanaJF na watanzania wenzangu, Uadilifu, uwajibikaji, utawala wa sheria na uwazi ni mojawapo ya mambo yanayochangia nchi yetu kuyumba na kuendelea kudidimia katika umaskini mkubwa. Mathalan, Leo nimesikia kuwa gwajima anaulizwa maswali kwa kinachoitwa mari halali ya Polisi ili apeleke nyaraka...
  20. Mu-sir

    Zitto jibu hili tafadhali

    Hii habari inasambaa katika mitandao ya kijamii ni bora ukaitolea ufafanuzi naiweka kama nilivyoipokea. Kamati Ya Zitto Kabwe ilikuwa si halali Maana kwa mfumo huu nayeye yumo kwenye mgao. Katika magaazeti ya leo nilipitia kichwa cha Habari cha Gazeti la Mwananchi. Kilichosema Zitto anika mali...
Back
Top Bottom