Folk,
Usidhani wote sisi mabwege hapa. Hiki ulichoandika hapa eti "Maana submarine ikiwa invisible ni invisible kweli" is simply illusion,and travesty.
Sir,
Haihitaji maelezo marefu. Ni logic rahisi kabisa,kwamba, kama radar ime-cover eneo lako lote hadi jikoni, basi missiles zako zote na fighter jets+ bombers zitaonekana kabla ya kufikia target, na SAM zitakushughulikia. USA ana base chungu nzima every continent, and in waters...so anaweza...
No thank you! Walioteuliwa mwezi August/september,just a month prior to general election, this folk was amongst! Alipewa u-director TEHAMA pale NEC wakati wa uchaguzi, mwaka jana, alitokea BoT!
Fatilia vema umjue.
Rafiki,ulinganifu wako hauna mantiki..simply improbable. Portugal amemfunga France, France alimfunga Germany, Germany alimfunga Argentina 4-0 Mwaka ule....! Mpira unachezwa uwanjani. S Porojo hizi
Not Nuklear War My friend! Tena Unam-bomb Mwenye Nuks Kama wewe? Maana Naye ataziachilia Kwako,in Brobdingnagian/vast quantity. So,is Loose Loose situation. Kama umesoma Majadiliano hapo ya Analysts wa Quora.com, USA ameweka stations tele kila kona ya dunia,which means,Ndiyo ukiyatuma katika...
Friend,
You're right. The NIDA thing is "superfluous" fuckn shit!. In additional, Mr Dickson Maimu is our Man from "undisclosed" institution. So let's expect nothing,rather gibberish flip-flop. Imekula kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.