Search results

  1. N

    Dawa dhidi ya marafiki wabaya wa mke wangu imepatikana, jaribu na wewe huko

    Hii story bado part tu. Kwa maana imeishia njiani
  2. N

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke amtangaza Mtolea kuwa mshindi wa Kiti cha Ubunge

    Kwa wananchi wa Temeke ni wa kupongezwa. Bora uchaguzi haukufanyika wameokoa kodi zetu. Watu wagepiga pesa tu za posho za usimamimi ukijumlisha na muda kusumbua watu. Mwisho wa siku wanampa tena.
  3. N

    Jinsi mapenzi yetu yalivyoingia ndani ya kaburi

    Mi naendelea kusubiri sehemu ya pili,
  4. N

    Simulizi: Mke wangu

    Oyaaa acha kutufanya tuwe walinzi, acha Hadithi hiyo
  5. N

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole kwa kuondokewa na mtoto pakajimmy Mwenyezi Mungu ndie mfariji wa pekee katika nafsi zenu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  6. N

    Mke wangu alinifanya niwe mchawi

    Leta story tumalize siku.
  7. N

    Matumizi sahihi ya body splash, body spray na perfume

    Kuwa na subra wajuzi wa mambo bado wamelala
  8. N

    Namchuna mme wa mtu kwa miaka miwili sasa lakini hajawahi kuhitaji chochote kutoka kwangu!

    Hatakuwa anakupima imani, embu mwite na wewe umpe mbona yeye anakupa
  9. N

    Hii punyeto ya sisimizi ni kiboko kwa kweli

    Dah hii Kali ya mwaka CHAPUTA ipo juu
  10. N

    Unawezaje kuvumilia hii?

    Kuna watu wakiwa na stress tu wanaanzisha Uzi.
  11. N

    Nilifanya Mapenzi Na Maiti 20 Nitajirike – sehemu ya 1

    Bora usingerusha hii hadithi unafanya watu km watoto
  12. N

    Nilifanya Mapenzi Na Maiti 20 Nitajirike – sehemu ya 1

    Dah hizi habari za kuchomeshana mahindi siyo njema. Cc.Mzizimkavu
  13. N

    Wewe ungefanyaje!?

    Kwa kweli Mke anamaumivu ambayo anahitaji kusaidiwa na ndio maana kasema na dawa kubwa ni kumuondoa uncle hapo nyumbani.
  14. N

    Wimbo huu ni kwa walio katika mahusiano

    Ila wangu amewazidi wote
  15. N

    Boss ananiumiza kichwa

    Atakupa ajira ya kudumu ya kumeza dawa za VVU. Hongera
Back
Top Bottom