Search results

  1. M

    Wananchi wa Zanzibar na ‘chaguo la tatu’

    Lula wa Ndali Mwananzela WANANCHI wa Zanzibar wanadhulumiwa na wanadhulimiwa kweli kweli. Wanalazimishwa kuchagua kati ya vitu viwili na ni vitu viwili peke yake. Matokeo yake wananchi wa Zanzibar hawana uchaguzi wa kweli na hata kunyimwa uchaguzi bora. Katika elimu ya mantiki (logic) kuna...
  2. M

    Elections 2010 Nyuma ya pazia (ewura vs depots) kikulacho

    Mimi Nahisi haya ndio yanayowagombanisha Ewura Na Depots. LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES Wharfage + 18% VAT Destination Inspection Fee SUMATRA Charge Weights & Measures Fee (Tshs. 1.00/Lt) TBS Charge TIPER Fee + 18% VAT Demurrage (Estimate) 3 days per vessel Ocean Losses (0.25% MSP...
  3. M

    NLD yaifagilia chadema kuondolewa bungeni kwa muswada wa katiba mpya

    Mwenyekiti wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk. Emmanuel Makaidi, amesema kuondolewa kwa muswada wa kuundwa kwa tume ya kuratibu maoni ya Katiba mpya bungeni kumetokana na juhudi kubwa zilizofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Dk. Makaidi ambaye...
  4. M

    Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    ND. Wana JF, Mimi naona hatujamuelewa mkuu Waberoya, anachotaka kusema hapa ni kwamba haikuwa kosa kumchagua Dr. Slaa kuwa mgombea, isipokuwa kwa bahati mbaya historia yake ya kuwa aliwahi kuwa padre kwa namna moja au nyingine kuna baadhi ya watu wameitumia vibaya either kwa makusudi...
  5. M

    Kati ya Wizara, Bodi na utawala wa Tanesco nani anafanya maamuzi?

    Nd wana jf mm naomba nitofautiane na wachangiaje wote waliochangia,swala kuu na muhimu ni kwamba tumewaruhusu,tumewakabidhi na kuwabariki wanasiasa mamlaka ya nchi yetu,wanaitumia hiyo nafasi vzr wanatusasambua watakavyo haitoshi wamejikabithi mamlaka ya nchi,wanafanya wanacho taka kama nchi...
  6. M

    Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

    That is JK at his best, mambo ya banana republic katika Africa sasa imekuwa ni fashion,hivi sasa huko Ugandans hali ni tete kuna mvutano katika uchaguzi mkuu kwa mbalimbali unaendaendana na ule wa Tz 2010, sijui itakuwaje mpinzani wa Mu7 kasema kama vp anitisha maandamano nchi nzima kama Tunisia...
  7. M

    Serikali ya CHADEMA ni kubwa mno!

    ndugu malafyale umepotoka kidogo naamini nia yako ni njema kabisa lakini kuna mambo 2 umeshindwa kuyaelewa either kwa makusudi au kwa bahati mbaya,sheria haisemi kiongozi wa kambi ya upinzani anaweza kupunguza wizara kama anavyotaka,serikali ina wizara na mawaziri 27,manaibu waziri 23,jumla...
  8. M

    Hali ya maisha yazidi kuwa tete Tanzania, waandishi wahofia ya Tunisia na Misri

    Bajeti ya Serikali yapigWa panGA Sunday, 13 February 2011 09:21 NI KWA AJILI YA KUFIDIA NAKSI YA BILIONI 640 Mwandishi Wetu HALI mbaya ya uchumi imeilazimisha Serikali kufumua...
  9. M

    CHADEMA yakubali yaishe! yamtambua Rais, yampongeza Rais

    Hongera jk kwa kutekeleza ilani ya chadema kuanzia katiba mpya,kuifumua bodi ya mikopo ya elimu ya juu(kwa wale wasiojua hili liko kwenye ilani ya chadema,nadhani ndiyo maana walihujumu wanachuo kupiga kura kwa sababu walijua kura zitaenda wapi,kwa faida ya wana jamvi hata sera ya kuanzisha chuo...
  10. M

    Wabunge CHADEMA Kutoka Nje Ya Bunge: Tafsiri Yangu

    Maggid mjengwa watu kama nyinyi ni muhimu sana katika taifa lolote duniani,bila ya kujijua huwa mnachochea fikra za mageuzi na kuwaimarisha wale wenye kuona mbali zaidi,unajua hata katika maisha bila changamoto na vikwazo mbalimbali ni vigimu sana kuwa na mafanikio na uimara katika maisha...
  11. M

    Kilichojiri viwanja vya Mabibo - kongamano la vijana wa CHADEMA

    BOFYA HAPO JIACHIE/,ITAKUPELEKA MICHUZI/JIACHIE BLOG IKIFUNGUKA SHUKA CHINI MPAKA UTAKAPOKUTA HIZO PICHA ZA YALIYOJIRI HUKO
  12. M

    CHADEMA wawasha moto kila kona ya nchi: Dar, Dodoma na Songea kwalipuka!

    BOFYA[URL="http://www.michuzijr.blogspot.com/"],ITAKUPELEKWA MOJA KWA MOJA KWENYE BLOG SHUKA CHINI UTAKUTA PICHA ZA YALIYOJIRI DAR,WANAVYUO VIKUU
  13. M

    CHADEMA kisisikilizwe tena!

    ND WANA JF Propaganda hazijengi hii nchi yetu sote,na ukWeli unatabia ya kujitenga siku zote,huyu anaye jiitA zemarcopolo asiwababaishe hana analolijua kuhusiana na arusha na hai,amesikiliza kipindi cha ccm walichonunua air time pale chn 10 na kumtuma tambwe hizza mtu wa propaganda...
  14. M

    Viongozi wa dini wamnusuru mfanyabiashara

    Viongozi wa dini wamnusuru mfanyabiashara Na Gladness Mboma SERIKALI wilayani Mbarali imewapongeza baadhi ya viongozi wa dini kwa kuzima jaribio la kutaka kuuawa kwa mwekezaji wa shamba la Mpunga lililopo Ubaruku, Bw. Abrahakh Phil Mohamed kwa madai ya kutumia jina la Rais Jakaya Kikwete...
  15. M

    watanzania wanahitaji jambo moja tuu ili waendeleo:kuiondoka ccm madarakani

    Geniusbrain,umejizalilisha sana,siamini kama umetumia ubongo kufikiri,labda tumbo ndiolimetumika kufikiri.kama mbowe angekuwa na dangulo,mkwepa kodi ccm wangemshughulikia,kama dr slaa angekuwa mdini asingepambana na mafisadi,slaa amesema hata juzi amepeperusha bendera ya chadema tangu 1995 moaka...
  16. M

    Russia moves to secure Tanzanian uranium reserves!

    NDG WANA JAMII FORUM,ninawasiwasi na jina la hiyo kitu inayoitwa ROSATOM,KAMA INAENDANA NA RA,YULE MFILISI WA NCHI YETU,HII IMEKAAJE?/????
  17. M

    The Growing Myth that Christian institutions are benefiting from GOVT subsidies

    Oh,my god this is the most painful thng,as we all knw that we are very very poor,but we launch on the discussion and debates on the matters which are not helping us to move out of this disasters.am kindly ask u all,members of the thinkers(jamiiforum),to show that we are the civilized people,this...
  18. M

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Hee jamani hivi,huyu subash patel ndo yule aliye kwenye list ya epa,yale makampuni tata yaliyojikombea fedha za walipakodi,labda kama nimechandanya,ila hili jina liko mahakamani lina kesi fulani kuhusu kujipatia hela bot kinyume cha sheria kwa kushirikiana na wawafanyakazi wa bot.
  19. M

    Mkapa na siasa za kenya,kuliko tanzania

    Hii imenishtua sana nimeona niwashirikishe wana jf,tuijadili kwa kina,(http://www.youtube.com/watch?v=Cq6mWp7_blo&feature=player_embedded#!)
  20. M

    CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

    CHADEMA,Wamesha sema chama kinaweka maslahi ya taifa kwana,ndiyo maana kwa upande wa zanzibar,wanawaunga mkono cuf ngazi ya urais na kwenye ubunge wanawaunga pia sehemu ambazo cuf wananguvu,na wamefanya hivyo kwa vitendo,walisimamisha wagombea wa ubunge zanzibar lAKINI HAWAKUTILIA MKAZO,WHAT...
Back
Top Bottom