Madukani, barabarani Igunga to Singida, viwanda vidogovidogo Morogoro na Gairo mafuta yamekaa na hawana order yoyote. Kama Kuna upungufu tungeanzia hapa.
Kwetu sisi wakulima wa Alizeti, gunia la kg 60 ni Kati ya Shs (60 - 80)k na ukikamua unapata Lita (25 - 27). na hatuna wanunuzi wa uhakika...
Kuna jambo haliniingii kichwani. Jana nimemuona Waziri Mkenda na Balozi wa Netherlands hapa nchini Tanzania wakiwa ARUSHA wakizungumzia juu ya upungufu wa mafuta ya kula. Sijamuelewa maana huku mafuta yapo na ya kutosha na hayana wanunuzi. Wao wanataka mafuta yapi?
Ndugu, tukiwa tunaingia ulimwengu wa kidigitali si kwa pesa na mitandao tu, ni pamoja na huduma za kijamii na kibihashara.
Napenda kuwajuza ndugu zetu wa Jumia kuwa wakati wanaendelea kutoa huduma ni bora wakajipanga kwa kuhakikisha wanatupatia bidhaa zinazokidhi matakwa ya ubora si bora bidhaa...
Weeeeee Unamjua Chenge?
Nje ni Chenge ndani ni Joka Makengeza. Humpati hata siku moja saini yake inaanguka kwa akili sana. Hata hivyo anatoka Sukumaland
Inagusa sana.
Napendekeza pia, Makampuni binafsi yapewe wajibu au yaombwe kugharimia walau wanafunzi wachache kadiri ya uwezo wao na wasemehewe baadhi ya kodi.
Ohooo Ningekuwa mimi ni papo hapo, namwamia mzee kama kuna vitu tulikabidhiana utavikuta Dar. Nasepa dakika hiyihiyo hata lile dude V8 nalihacha hapo hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.