Search results

  1. S

    Matokeo ya Chadema Kususia Hotuba ya JK na Kuapishwa kwa Pinda

    kunya anye kuku akinya bata kaharisha kazi ipo Kama hujui wananchi wengi ni model ya CHADEMA we angalia ukubwa wa baraza la mawaziri la wazenj raisi makamu wawili mawaziri wana kazi gani kama si kumuangamiza mlala hoi na bado Bara tutavuna tunachopanda Hiki sio kizazi cha ndio mzee....
  2. S

    CUF waishambulia CHADEMA

    cuf waweke mambo yao sawa kwanza kwa kuwa cuf zina mapande manne 1cuf mageuzi 2cuf upemba 3cuf udini 4cuf uccm tushirikiane na cuf ipi ili cuf ipi isichonge?maana kila cuf ina malengo yake....
  3. S

    CUF waishambulia CHADEMA

    liwalo na liwe historia itasema kwa hivyi sasa vyama vyingi ni machaka ambayo yanatunza makenge nyoka ng'e mitulanongo.....dawa kufeka chaka uzuri wananchi upofu umepungua nb ROMA HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA!
  4. S

    Kwa hiyo upigaji kura bungeni umeonesha Kipi chama cha Upinzani

    wana jf historia inaandikwa kwa wino mwekundu sasa atajulikana adui no moja wa taifa letu tulieni mtaona wanangu mateso yanapo zidi ukombozi uko karibu kama unavyomuöa ngombe akichinjwa teke la mwisho kali UMA UNAONA NA NDIO NGUVU YETU
  5. S

    Baraza kivuli la CHADEMA ndani ya bunge ni batili halina sura ya muungano

    waukaye dovutwa uleke ubozi kama wa Chitolondo mtwanzi iwana wamoka wojila mumba yeye kabaki tzitzitzi tzitzitzi tzitzitzi usiwe unakulupuka waukaye shuka fupi kunja miguu umbu watakuuma nohalawa myangu
  6. S

    Baraza kivuli la CHADEMA ndani ya bunge ni batili halina sura ya muungano

    dovu mwanangu umebeba gunia la nazi ngata kifuu pole kalagha baho na ubozi wako wayago wa zenji woja
  7. S

    Baraza kivuli la CHADEMA ndani ya bunge ni batili halina sura ya muungano

    inapo kuja swala lazanzibar Mtanganyika anatetea kunyanyapaliwa kwake huna haki ya kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi unguja hilo ndilo la kuhoji ile ni nchi ya watu ambayo ina koloni la tanganyika we vipi hulioni hilo?mpaka una msaliti mama yako TANGANYIKA Huwezi abadan kumlazimisha mzanzibari...
  8. S

    Mtikila: Slaa alishinda kwa 71%

    tunacheza mpira sheria za mchezo wa ngumi how how how....?wajukuu zetu watafukua makaburi wapime vichwa vyetu kama kweli tulikuwa wanadamu au mithili ya masokwe kilioooö
  9. S

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    mnakuwa na speed sana inabidi kitafutwe kizibiti mwendo MSIWE MCHALUKO WANANGU NI LAZIMA TUANGALIE NYOTA ILI IBAINI NI NANI AWE WM NYOTA YAKE ipi NA ATANGAZWE MUDA GANI sio kukulupuka ili iwe nini?
  10. S

    Elections 2010 Shibuda kateleza au ni mazoea tu? hebu sikiliza video hii

    nahisi alikuwa anawadhihaki ccm unajua mambo uswazi la sivyo mmh! isije sawa na nguruwe aliye oshwa karudi kwenye matope! CHADEMA NA WANACHAMA WAKE WAKO MAKINI KTK NGUVU YA UMA HAWABAIKI NA MTU SISI TUNA UMA utawaweka wasaliti wote na kuwapepeta na kuwaweka ktk historia kuwa a-z walikuwa adui no...
  11. S

    Serikali ya CCM itapata suluhisho la Suala la OIC kama walivyoahidi

    biashara ya udini kwisha kabisa kalasi biashara iliyopo ni kati ya walio nacho na wasio nacho hii biashara itatugharimu tutake tusitake ndio sababu tunatafuta adui au nafuu eti oic mahakama ya kadhi.... tunapapasa tusiwe kama watoto watano wa mbwa wanaotoana damu kunyonya wakati mama yao ana...
  12. S

    Elections 2010 CCM na CHADEMA wakubaliane yaishe

    JK Ameonyesha njia baada ya kusema kuwa wote tumeshinda! kilicho baki aite wadau wote akiwemo DWS W aangalie tuliko toka tuko wapi na tunako elekea hapo mtainuliwa wote na kuweka historia ya nnchi achaneni na washabiki atakaye kataa ni adui no MOJA WA TAIFA LETU! fulsa ipo tuitumie !
  13. S

    Elections 2010 umefika wakati wa maridhiano ya kitaifa tz tutake tusitake

    piga kelele usichoke kuwa kuna haja kubwa kwa sasa kuwa na maridhiano ya kitaifa wananchi tumesha jeruhiwa sana kisiasa kiuchumi na kijamii dawa ni MARIDHIANO JK kaanza vizuri kwa kutamka kuwa wote tumeshinda kilichobaki wakae na DWPS Waangalie tulikotoka tuko wapi na tunaelekea wapi waachane...
  14. S

    Elections 2010 watanzania tuombwe radhi

    katika jamii iliyo makini kuna sababu kwa Basil Mramba KUWAOMBA RADHI WATANZANI Kwa kauli yake ya kusema NDEGE ya raisi lazima Inunuliwe hata mkila NYASI Heri angesema tule majani maana hata mchicha na tembele ni majani lakini amepointi tule nyasii kama vile sisi ni mbuzi na ngombe asipo fanya...
  15. S

    Elections 2010 Mahanga akamatwa na polisi, akamatwa na kura feki

    mbwa kala mwanaye tulie nini tuseme amina amina amina!
  16. S

    Elections 2010 PHilip marmo aanguka rasmi

    tatizo ni elimu na woga wa mageuzi ukondoo acha nife kamba ya watu isikatike kufeni kibudu ^&¿¤...
  17. S

    Elections 2010 Waangalizi washinikiza kutangazwa Mnyika na Mdee

    wamebeba junia la nazi ngata kifuuu wakunje miguu shuka fupi wakifanya Mchezo mmbu watawaluma watake hivyo hivyo wasitake hivyo la sivyo wanywe sumu ya panya waende kwa amani
  18. S

    Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

    tuache tunywe laga angalau jiji kuu la biashara tuna uwakilishi bungeni
  19. S

    Elections 2010 Vurugu Mbeya Shule ya Loleza sekondari yachomwa moto

    aliye sababisha vurugu hiyo aidha kwa makusudi au uzembe ajulikane ili kesho na kesho kutwa isiwe kazi kwa MAHAKAMA ya KIMATAIFA sasa tumeanza kuwafahamu MAADUI WA NO MOJA wa TAIFA HILI!
Back
Top Bottom