Search results

  1. Daraja Makofia

    Yanga ichukuliwe hatua kwa uharibifu iliyofanya juzi uwanja wa Mkapa

    Wewe unayelalamika ni 5imba uliyepooza hapa JF.
  2. Daraja Makofia

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Hatari iliyo kuu ni pale mke wako anapoiva kwa sanaa za Mchungaji, basi fahamu 90% ya taarifa zako zipo kanisani hata kama hausali katika kanisa hilo. Mnajuwa ni kwanini asilimia kubwa ya waumini wa makanisa haya ni wanawake? IPO HIVI: Kwa maeneo mijini kama Mbeya, Dodoma, Mwanza na mengineyo...
  3. Daraja Makofia

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Mfanyakazi mwenzangu naishi nae kwenye nyumba ya shirika, mkewe amevuka mipaka hadi ya kupeleka kodi ya meza kanisani. Huyu mwanamke kwao ni waislamu typically, ila kaanza kwenda kwa wahubiri na kaiva hasa na sanaa zao. Jamaa yangu anasali RC. Kila siku mwanamke anakuja na wito kuwa anaitwa na...
  4. Daraja Makofia

    Mfumo wa udhibiti ubora na ufanisi kazini: Utendaji wa watumishi wa umma wengi ni upuuzi, lazima udhibitiwe

    Umenikumbusha Jumapili nilienda kwenye training ya mfumo utakaochukua nafasi ya OPRAS. Comments nyingi zilikuwa zinahusu unapotaka kumdhibiti mtu, kwanza boresha maslahi yake. Kifupi, nilichokisikia pale ni kuwa mfumo utahujumiwa kama vilivyohujumiwa vingine.
  5. Daraja Makofia

    Simba Sport Club yafungiwa kusajili kisa Pape Ousmane Sakho

    5imba! Kweli huu ni mwaka wa tabu.
  6. Daraja Makofia

    Picha: Mapenzi bhana. Vina muda basi?

    Watu tutachukua sheria mkononi kupitia hii picha. Elewa maneno "sheria mkononi".
  7. Daraja Makofia

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hawa jamaa wanapiga sana huko Gaza, ila tu wanajifanya kichwa ngumu. Na washukuru sana walianza na mashambuli ya anga, wangetia buti za infantry soldiers mapema wangejua hawajui.
  8. Daraja Makofia

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN atakuwa ni shabiki wa MAN U.
  9. Daraja Makofia

    Kishindo cha DP WORLD: Tozo na Kodi mbalimbali kufutwa au kupunguzwa mwaka wa fedha 2023/2024. Tutarajie mazuri zaidi miaka ijayo ya fedha

    Kiny*si hata kiwekwe sukari kwa kiwango gani, hakibadiliki na kuwa keki. DPW ni janga kama majanga mengine.
  10. Daraja Makofia

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    SUALA LA DP WORLD NA BANDARI ZETU LIMENIFANYA NITAFUTE UZI HUU NA NIJIKUMBUSHE NONDO ZILIZOMWAGWA NA MTIKILA, R.I.P.
  11. Daraja Makofia

    Kuwa makini na Apps za Mikopo

    Hawa wapuuzi nimewanyoosha kwenye app zao zote tatu. Nilikuwa mzalendo mara ya kwanza, ila walinichefua kwa kupiga na kutuma sms za vitisho na kejeli baada ya kuchelewa kulipa kwa siku moja.
  12. Daraja Makofia

    KKKT DMP kuondoa Spika kubwa kwenye Makanisa yake ili Kudhibiti makelele, yasema kupigiana makelele ni " Ushamba"

    Nipo Mbeya kwa sasa, Walokole wa mji huu wamejawa kiburi na kudhani maspika ndio yatawapeleka peponi. Na ukijaribu kuwaelekeza, majibu wanayotoa ni kuwa wao wanalipa kodi kama walivyo wapangaji wengine. Kwa kuwa umeme wanaunganisha kutoka kwenye nyumba ninayoishi, siku moja niliamua kutega shoti...
  13. Daraja Makofia

    Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

    Imekuuma Sana Chief Hangaya Mangungo Kupewa Za Uso.
  14. Daraja Makofia

    Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

    Chief Hangaya Mangungo!
  15. Daraja Makofia

    Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Kiukweli changamoto zipo nyingi sana katika shule za umma. Changamoto hizo zinajumuisha Kwa uchache, ukosefu wa walimu, vifaa vya kujifinzia na kufundishia, Hali duni ya malazi Kwa wanafunzi wa bweni, shida za kibajeti n.k. Lakini pamoja na changamoto hizo, tulijaribu kutafuta utatuzi. Mfano...
Back
Top Bottom