Search results

  1. S

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    thanks MP Kalix2. i think it is very important to use this forum to update each other of the true and accurate results and not post speculations. ushabiki ni mzuri lakini tusipotoshane. this is not time for jokes guys.
  2. S

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Magnet pole sikujua maths kwako haipandi. Hizo ni jumla ya 97% the remaining 3% zimeenda kwa vyama vingine. anyway check the link for more info,Mwananchi Election Editions
  3. S

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Matokeo kama yalivyotangazwa na NEC muda mfupi uliopita so far: Kikwete 64% 105,940 Slaa 25% 41,198 Lipumba 8% 13,812 nitaendelea kuwapa za uhakika kadri zinavyotangazwa na Tume na kuwa updated kwenye mtandao wa mwananchi link: Mwananchi Election Editions hii ina issue yote as it is confirmed...
  4. S

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    matokeo kama yalivyotangazwa na NEC muda mfupi uliopita so far: Kikwete 64% 105,940 Slaa 25% 41,198 Lipumba 8% 13,812 nitaendelea kuwapa za uhakika kadri zinavyotangazwa na Tume na kuwa updated kwenye mtandao wa mwananchi link: Mwananchi Election Editions hii ina issue yote as it is...
  5. S

    Elections 2010 TCRA na makampuni ya simu wanavyokata michango kwa ajili ya CCM

    duuuh kweli ndo maana unaitwa msanii - "tunga wimbo tutanunua album yako" anyway, ukweli ni kwamba CCM inatumia technologia ya juu na inaja nini maana ya kutimiza sheria zote za kazi. utalalamika hadi uchoke, lakini usingetaka sms za ccm usingejiunga mr msanii. Always read the small prints -...
  6. S

    Elections 2010 TCRA na makampuni ya simu wanavyokata michango kwa ajili ya CCM

    Wana jf msidangayike na watu wanaotumia mtandao huu kutisha watanzania. Ndani ya tanzania sheria zinafuatwa kikamilifu na tcra pamoja na mitandao yote na watoa huduma mbalimbali za "vas" wanafuata taratibu zilizowekwa na tcra kikamilifu. Kumekuwa na ujumbe unaosambazwa unaosema: "tuma neno...
  7. S

    Elections 2010 Moto wa waka - finland (+358) kuhusishwa na sms za uchochezi

    Leo nimeongea na mtaalam mmoja wa telecoms and IT akaniambia: 1. huenda kweli mtumaji yuko Finland 2. Huenda mtumaji anafanya Roaming 3. Huenda anatumia Skype 4. au mitandao hapa hapa - lakini hii ni ngumu hakuna atakaye ruhusu mtandao wake utumike hivyo 5. Jamaa mwingine amesema kuwa msg centre...
  8. S

    Elections 2010 An sms from CCM

    Mmmh naona tumewageuza TCRA kuwa TAKUKURU na POLISI. Hivi mbona hakuna anayelalamikia SMS za TAKUKURU. mimi nilipata kadhaa wiki chache zilizopita. ushauri wangu ni ku ignore tu hizi sms, ukipata futa hakuna haja ya kujibu. YOTE MWISHO TAREHE 31 OCT 2010 - UKWELI UTAPATIKANA, HAKI...
  9. S

    Elections 2010 Moto wa waka - finland (+358) kuhusishwa na sms za uchochezi

    Baada ya wadau wa technologia na TCRA kuhangaika kwa siku kadhaa, baathi ya wadau wamegundua kuwa number iliyotumika possibly niya Finland. mchakato unaandaliwa kuwasiliana na network za finland kutatua tatizo hili. asanteni wadua kwa kulivalia njuga. mmmh sasa watakoma....!!!
Back
Top Bottom