Search results

  1. fuvu la paka

    Natafuta wanaopima madini ya gold katika eneo

    Kichwa cha habari chajitosheleza. Wananzengo nimeamua kujiloweka kwenye madini ya Gold. Naomba msaada kwa yoyote anayemfahamu au kuifahamu kampuni hiyo. Njoo PM
  2. fuvu la paka

    Nataka kujitosa kwenye biashara ya madini

    Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu. Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na...
  3. fuvu la paka

    AUDIO:GWAJIMA ANAFUNDISA MISUKULE LIVE.

    Sikiliza Mkutano wa Injili wa Ufufuo na Uzima na Askofu Dkt Josephat Gwajima moja kwa moja kutoka hapa Mbezi Mwisho, Dar es Salaam kwa kubonyeza www.mixlr.com/rudisha-radio
  4. fuvu la paka

    Picha: Star Times wafafanua kuhusu Star Tv kutopatikana

    Wakuu nikiwa naangalia TV limepitatangazo kuwa Star TV imesimamishwa kuonyeshwa mpaka hapo tatizo litakapo tatuliwa Sasa swali, Je? Waliolipia vipindi vipi?
  5. fuvu la paka

    Baada ya kupata hasra kilimo cha matikiti, sasa nalima bamia

    Wakuu Tikiti linenitia hasara ya jumla ya mil 1.4. Yaani Nigel hudumia sana lakini mwishowe limeniumiza sasa nalima Bamia so naomba kujua Soko la Bamia na ushauri tafadhari Nimemaliza karibuni Daaa Nina hasira sana
  6. fuvu la paka

    MSAADA: ANAEFAHAMU SIMU ZA ZTE K3

    Wakuu wa kaya naomba kuuliza anayefahanu simu za ZTE K3 anisaidie
  7. fuvu la paka

    Picha: TV Chogo, dinner set, na samsung tablet vinauzwa

    Wakuu hodi ijumaa ya leo....leo nina vifaa vya aina Tatu yaani 1. Tv chogo kampuni ya Goodmans 2. Dinner set 3. Tablet Samsung 10.1(used yenye hali nzuri bado) _Ina piga simu(ina sehemu ya line) _ina sehemu ya memory ( external memory card) _ Vinauzwa sasa hivi PM Sms 0625568600
  8. fuvu la paka

    Naomba ushauri: Nina Lengo la kuwa Mkufunzi wa Chuo

    Wakuu hodi humu ndani Nina omba ushauri kwa yeyote ambaye anataarifa au uzoefu nilimaliza undergraduate mwaka 2013, GPA ni Upper second ya 3.5 kwa mchepuo wa Elimu ikishabihiana na Psychology yaani Bachelor of education in psychology, kimsingi mimi ni Mwl kwa profession, Ila kwa sasa Mungu...
  9. fuvu la paka

    Njoo nikuuzie kiwanja kama unahitaji kuishi Mbezi ya Kimara

    Wakuu kama kuna mtu anahitaji kuishi mbezi ya kimara aje PM nimuuzie kiwanja kipo vzr sana ni uhakika ukubwa wake ni 25*20, kipo flat bei ni Mil.7.naweza kupunguza kidogo kutokana na hali ya sasa ya maisha ilivyo. Hakina dalali ni changu hivyo bei nimeipanga mwenyewe. Mawasiliano piga 0625 568 600
  10. fuvu la paka

    SOLD: Picha: Friji nzuri inauzwa kwa emergency

    Wanabodi kuna mtu anauza Friji lake bado linadai ni nzuri sana system ya Taa na freezer bado ipo hai sana ana emergency ya dharura ndio maana anauza pliz Nipigie simu nikuunganishe ukihitaji 0713926364
  11. fuvu la paka

    Askofu Gwajima, Kuanza kuonekana Star TV kila Jumamosi

    Wadau nimeona tangazo hapa Star Tv kuwa Askofu Gwajima anaanza vipindi kwa mara ya kwanza Live kwenye television ya Star Tv ,,,,,kwamba kipindi kitakuwa kila Juma mosi , saa tatu na nusu usiku.
  12. fuvu la paka

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe 20*20

    Wakuu hodi humu ndani..nauza kiwanja mbezi makabe ni kizuri tambarare ukubwa wake ni 20* 20 bei poa.. Samahani sina picha zake nilipoteza simu na picha zote lkn ni kizuri kama mtu anauhitaji wa hicho ninauhakika hawezi kukiacha Mil.8.maongezi yapo Mawasiliano piga 0625 568 600
  13. fuvu la paka

    Viongozi wa chadema kitaifa soma hapa.

    NIMEIKUTA HII TAARIFA MAHALI NI VIZURI VIONGOZI MKAICHUKULIA HATUA NA KUIFUATILIA. Katika hali ya mshangao mwaka huu ni tofauti sana watu ambao wakitia nia ktk majimbo huku mikoani na kura za maoni kupita ili kwapitisha wagombea ambao majina yao yatakuja huko Dsm ktk mkutano mkuu ili kuchujwa...
  14. fuvu la paka

    Ukawa wote someni hapa ni ujumbe wenu muhimu sana.

    Kama kweli mnampango wa kuiangusha ccm naomba muunganishe nguvu na mh. Edward lowassa, hii ni kwa ajili ya kuiangusha ccm kwakuwa nawaambia ukweli hata ktk mitandao ya kijamii anaezungumzika ni Mgufuli na Ndugu Lowassa na sio Lipumba,Slaa wala mbowe na mbatia hii inaonyesha nguvu ya upinzani ipo...
  15. fuvu la paka

    Mabadiliko makubwa ktk falsafa ya siasa Tanzania

    Wadau nimefuatili mlolongo wa mazingira na mitazamo ya siasa ya bongo kwa sasa nakubaini kitu fulani . Kwamba kwa sasa watanzania hawaitaji kusikia chama au umaarufu wa chama fulani bali wanamtaka mtu fulani yaani mgombea binafsi anauwezo gani na sio chama tena..kwa sasa mgombea akiboronga...
  16. fuvu la paka

    Picha: Gwajima aumiza kichwa na jengo la Kanisa kwa wingi wa watu

    Bandugu habari zenyu bana, idadi ya watu wa gwajima inaleta ususumbufu kwenye akili yake juu ya ni jengo gani litawatosha hao walokole wake hebu hapo wakandarasi tukae mguu sawa kuna tenda hapo ya ujenzi na kwa wale saidia fundi nanyie mkaE mkao wa kula.gwajima jenga tupate ajira hapo.
  17. fuvu la paka

    Kaka feki wa Askofu Gwajima ajitokeza

    Katika sakata linaloendelea katika vyombo vya habari kwa muda wa wiki sasa, mapya yaendelea kujitokeza likiwamo la mtu ambaye alijitambulisha kuwa kaka na msemaji wa familia ya askofu huyo, lakini chanzo hiki kimebaini kuwa mtu huyo ni feki. Mtu huyo aliyejitambulisha kwa jina la Methusela...
Back
Top Bottom