Search results

  1. fuvu la paka

    Nipo hapa mkemia wa dhahabu, Kaham, Geita, Kakola N.K

    Mkuu naomba niwasiliane na wewe
  2. fuvu la paka

    Natafuta wanaopima madini ya gold katika eneo

    Nipo DSM ndugu kama unahusika chap aisee
  3. fuvu la paka

    Natafuta wanaopima madini ya gold katika eneo

    Kichwa cha habari chajitosheleza. Wananzengo nimeamua kujiloweka kwenye madini ya Gold. Naomba msaada kwa yoyote anayemfahamu au kuifahamu kampuni hiyo. Njoo PM
  4. fuvu la paka

    Nataka kujitosa kwenye biashara ya madini

    Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu. Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na...
  5. fuvu la paka

    Faru John aliondolewa Ngorongoro kwa ukorofi - wahifadhi

    Alafu ikumbukwe waziri mkuu alisema kama kweli amekufa Huyo Faru aitwaye John ...waziri ametaka na ripot ya Daktari huyo aliyethibitisha kifo
  6. fuvu la paka

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Balozi acha utani wangu hii kitu serious yaani nikienda moja siwezi kurudia la pili
  7. fuvu la paka

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Wanajamvi hodi humu ndani...Nina tatizo ( nahisi) kwa maana nikikutana mpenzi wangu siwezi kupiga bao mbili naomba msaada wa mawazo non nifanye jamni katika hili ? Naomba wajuzi wa mambo mnijuze Karibuni
  8. fuvu la paka

    PICHA: Mgambo amlazimisha mwenye duka kuzoa taka kwenye mtaro mbele ya mkuu wa mkoa

    Kuna haja ya waziri mkuu kumuwajibisha huyu mkuu wa mkoa maana huu sio uungwana haya mambo ya kufanya kazi ili usifiwe sio vzr Nina uhakika kama mkuu wa mkoa asingekuwepo huyo mgambo asingemlazimisha na wala huyo jamaa asingekubali kuzoa ...... Hii sio salama
  9. fuvu la paka

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Daa hii nzuri sana kama shamba lako
  10. fuvu la paka

    AUDIO:GWAJIMA ANAFUNDISA MISUKULE LIVE.

    Sikiliza Mkutano wa Injili wa Ufufuo na Uzima na Askofu Dkt Josephat Gwajima moja kwa moja kutoka hapa Mbezi Mwisho, Dar es Salaam kwa kubonyeza www.mixlr.com/rudisha-radio
  11. fuvu la paka

    Mkutano wa Askofu Gwajima Mbezi Luis 25/09/2016

    Alichukuliwa tangu 1998 alirudishwa kutoka msululeni
  12. fuvu la paka

    Mkutano wa Askofu Gwajima Mbezi Luis 25/09/2016

    Alichikula msikule sasa anasema alipelekw Gamboshi kijiji kina itwa mwadila shinyanga
  13. fuvu la paka

    Mkutano wa Askofu Gwajima Mbezi Luis 25/09/2016

    Aliye rudishwa kutoka msukuleni anaongea saivi anaitwa Charles
  14. fuvu la paka

    Mkutano wa Askofu Gwajima Mbezi Luis 25/09/2016

    Kwa sasa anaongea Naibu katibu mkuu wa Sheria anaitwa Amoni
Back
Top Bottom