Search results

  1. bejamin

    Halima Mdee rais wa Kawe

    Huyu ni Mbungu wa jimbo la Kawe ambaye watoto wa kitaa wamemuelewa. Mbunge huyu ni mbunge ambae natamani nchi nzima Ingekuwa na wabunge wa aina yake maana anatambua kazi amepewa na wananchi na sio kwa kubebwa Nakubaliana na waliompa jina kuwa ni rais wa marais kwani utekelezaji wake wa kazi za...
  2. bejamin

    Bodi za haya mabasi na vifo vya watanzania

    Ndugu zangu tuweke siasa kando kidogo hebu tujiulize maswali kidogo kwa vifo vya watu kwenye hizi ajali 1) Je! Ni kweli uharibifu tunapuona baada ya hayo mabasi kutokea ndio ilitakiwa 2) Pamoja na uzembe wa madereva kama tunavyoambiwa hakuna jingine Kwa mawazo yangu ninaona sababu kabisa ya...
Back
Top Bottom