Kwakweli nilizani awamu hii ya tano mtaaza japo kufikiri kwa kiwango cha juu kumbe bado mnatumia ubongo wa bata kunywa matope kuoga maji masafi ccm ni shida
Hilo nalo hamjawapa wakandarasi wawili mmoja wa mfukoni na mwingine mjenzi wa mfukoni kashalipwa full hata kabla kazi haijaanza kudadadeki viongozi wenza mfalme juha
Sasa uchunguzi hapo wa nn na lukuvi anawajua si awataje kesi iende mahakamani lukuvi akatoe ushahidi
Wanatafutiana posho uchunguzi na arusha wataenda kukaa wakati kigamboni iko dar
Nawasikitikia makala zao walikuwa wameshaziandika za kumchambua sumaye mnyika lissu na ukaskazini na kwa sasa wamebaki wanazisima wenyewe na kuambiana hii ingekuwa balaa
Sasa kamanda wa anga kabadilisha gia wote chaliiiiii
Huyu ni Mbungu wa jimbo la Kawe ambaye watoto wa kitaa wamemuelewa.
Mbunge huyu ni mbunge ambae natamani nchi nzima Ingekuwa na wabunge wa aina yake maana anatambua kazi amepewa na wananchi na sio kwa kubebwa
Nakubaliana na waliompa jina kuwa ni rais wa marais kwani utekelezaji wake wa kazi za...
Ukweli ni kuwa wazee wetu walitumia busara kuweka tishio hilo kwa sababu zifuatazo
Kwanza waliamini kuwa wangewaachia wanaume bila kuwatisha wangekuwa nje na kunogewa na kuacha wake zao maana kipindi mama ananyonyesha anakuwa na changamoto nyingi kwa mme
Pia walitizama afya ya mtoto pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.