Search results

  1. King Rabbit

    Dereva wa bolt/indrive/faras na uber natafuta gari ya hesabu au mkataba

    Habari? Natafuta gari ya hesabu au mkataba kwa ajili ya biashara ya taxify ya mitandaoni, nina uzoefu wa kutosha kwenye kada hii,leseni yangu ni hai na halali kwa taratibu na sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania. Kwa mmiliki yeyote mwenye gari naomba unipe kipaumbele kwani hatojutia...
  2. King Rabbit

    INAUZWA Feni ya ukutani inauzwa

    FENI YA UKUTANI INAUZWA MPYA💥 Brand : Tronic Bei : 80,000 Mahali : Dodoma ☎️ : 0654 486 097
  3. King Rabbit

    Msaada wa password za Good Vision Smart TV 32

    Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee. TV yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe, nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui. Msaada kwa wajuzi wa...
  4. King Rabbit

    Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira. Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
  5. King Rabbit

    Hii ndoto ina maana gani?

    Kama vile jinsi zilivyo ndoto nyingine, mara nyingi kunapokucha unaweza ukaikumbuka kwa sehemu fulani au ukaisahau yote kabisa ila event muhimu huwa inabaki kwa kichwa hii yangu nimeota usiku wa jana kuamkia leo. Siikumbiki yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho ila nakumbuka event muhimu tu ndani ya...
  6. King Rabbit

    Ni Application gani nzuri kwa ku-download vitu[Android phone]?

    Kwa muda mrefu nimkuwa nikitumia application ya videoder kupakua vitu mtandaoni,lakini siku hizi naona kama inaniletea mauzauza mengi na hata nikitaka kudownload kitu inagoma. Nimejaribu kufanya re-installation ya apk yake lakini tatizo bado ni lilelile. Kwa yeyote mwenye kujua application...
  7. King Rabbit

    Nipe jina na maana ake

    Baada ya kuwa baba kijacho kwa miezi 9 sasa hatimae muda si mrefu mungu akijalia mkono wake wa neema natarajia kuitwa baba fulani.... Kwangu mimi mtoto ni mtoto haijalishi awe wa kike/kiume wote ni watoto. Jina kwa upande wa mtoto wa kiume ninalo tayari,lakini kwa upande kike sijalipata bado...
  8. King Rabbit

    Excavator Vs Motor Grader

    Ni mtambo gani mzuri wa kuutafutia gamba kati ya EXCAVATOR na MOTOR GRADER. Upi ukiwa na gamba lake unakupa wigo mpana sana katika soko la ajira ukilinganisha na wakati tulionao.
  9. King Rabbit

    Msaada jinsi ya ku-update smartphone manually

    Ninatumia OPPO F1 PLUS inayotumia android version ya 5.1,hii simu niliagiza kutoka CHINA iikuja ikiwa tayari installed GOOGLE SERVICE Changamoto yake ni kwamba inagoma kujiupdate yenyewe automatically ile option ya SYSTEM UPDATE kila nikiigusa ni kama vile blank Simu iko vizuri haina tatizo...
  10. King Rabbit

    I'm King Rabbit

    Aisee wadau mi napitaga njia tu na kuwaona kwa mbali,napitaga haraka haraka toka mwaka 2015, ila leo nimeamua nikaribie humu ndani nione kunani.
  11. King Rabbit

    Kipi kifanyike ili kutibu ama kuondoa tatizo la chumvi majumbani?

    Ushauri, maoni yote yanakaribishwa kwa yeyote mwenye mawazo chanya katika kuondoa au kumaliza tatizo la chumvi majumbani kwetu. 1. Mimi ni mkazi wa Dodoma(Ilazo) na kwa bahati mbaya sana nyumba nyingi wanahangaika na hii kitu na ina tabia ya kula sana maeneo ambako kwa kawaida kuna matumizi...
  12. King Rabbit

    Nawezaje ku-activate Skrill A/C yangu ili niweze kufanya malipo online

    Kwa yeyote mwenye kujua chochote kuhusu hii kitu tafadhali ushauri au msaada kwa lolote lile ambalo linaweza kunipa matokeo chanya...a/c ya skrill iko active tayari lakini shida nikufanya payment pale napohitaji kufanya hivyo.
Back
Top Bottom