Umekariri Dodoma Wagogo ....ndiomana huwa nakwambia hujawahi kufika wala kuishi Dodoma unategemea Google kuja kubishana humu 😀😀.
Haya makabila ni wakaazi asili wa mkoa gani👇👇
-Wasandawe
-Wakaguru
-Wasagara
-Wanyambwa
-Warangi
-Waburunge
-Wanguu
😀😀aliyekwambia SI unit ya kupima uzalishaji wa kilimo ni kuangalia mazao ya mahindi,ngano na mpunga pekeyake nani..😀😀. Arusha inaongoza kwenye zao gani hapo..!!?(labda bangi+mirungi😀😀)
-Lindi na Mtwara wanaongoza Afrika nzima kwa uzalishaji wa korosho Je tuwatoe kwenye list ya mikoa ya...
😀😀kuna yule jamaa ILAN RAMON anasema ardhi ya Dodoma haina afya na haifai kwa kilimo🤣🤣..hajiulizi kwanini katika mikoa yote 31 Tanzania mradi upelekwe huko
Utabadili kila aina ya topics ila unachapwa na facts tupu.
Kitu pekee Arusha inachozidi Dom City ni sekta ya utalii na hoteli basi lakini Arusha haifiki hata robo ya Dodoma kwa vigezo vyote vya kupima ubora wa mji kwamfano...👇👇
-ubora wa mipangomiji(kiuhalisia afrika masharikiyote hakuna mji...
Dodoma ni makao makuu ya Chama plus makao makuu ya mihimili yote mitatu ya serikali..... Executive, Judiciary, Parliament
Arusha hakuna ofisi yoyote ya UN😆😆.Arusha walikua wanajivunia UN-ICTR ila ilishafungwa tangu enzi 👇👇
https://www.bbc.com/swahili/habari/2015/12/151202_ictr_closes_arusha.amp
😀😀WFP Liaison office Dodoma ipo zaidi ya miaka 20 ....sasa huko Arusha ndio mnashangaa leo na nyinyi kufikiwa.
Kwa taarifa yako tu mashirika karibia yote ya kimataifa yana ofisi jijini Dodoma kwamfano ...WFP,FAO,UNICEF,WHO,UNFPA,UNHCR/IMO,EGPAF,SAVE THE CHILDREN,PACT,PLAN...
Unajitahidi kuhamisha magoli kwa kubadili badili topics badala ya kujibu hoja+facts.
Nimekuuliza maswali umeshindwa kujibu hata moja unaokoteza stori za google.
Mind you nimeishi na kufanya kazi kwenye halmashauri zote nane za Dodoma(Kondoa TC,Kondoa DC,Chemba,Bahi,Chamwino,Kongwa,Mpwapwa, na...
Unachekesha sana rudi shule aisee yaani unataka tupime uzalishaji kimkoa kwa mazao mawili😀😀.Kama kigezo ndio hicho basi tuitoe kabisa hata mikoa mingine inayolima kwamfano Korosho,Pamba,Pareto,Chai,Miwa,Kahawa,Tumbaku n.k🤣🤣
Hadi Uranium imegunduliwa huko Haubi na Pahi Kondoa.
Kuna hater mmoja wa Dom alisema eti Arusha pekee yanapatikana madini ya Tanzanite nikamwambia madini ya Tanzanite yanachimbwa Mererani/Mirerani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara akakimbia thread...🤣🤣🤣
😆😆ulisema kwamba Dodoma ardhiyao haina afya ni ukame na wala haifai kwa kilimo sasa out of 31 regions in Tanzania naomba unitajie top 3 inayoongoza kwa uzalishaji kila zao lifuatalo apa chini👇👇
1.Alizeti
2.Zabibu
3.Mtama
4.Uwele
5.Rosella
6.Tende
7.Karanga
8.Choroko
9.Mbaazi
10.Citrous fruits(eg...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.