Search results

  1. Cendy

    MSAADA WA KUBADILISHA PESA YA DOMINICA

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naomba anaejua sehemu wanayobadilishia pesa ya republic of Dominica anisaidie maana nimejaribu kutembea kwenye maduka ya kubadilishia pesa (bureau de change) ya kariakoo Hadi airport nimeshindwa kabisa Msaada naomba
  2. Cendy

    Asili, koo, desturi na utamaduni wa wangoreme

    Kabla ya yote napendakuwashukuru wote wazee wote waliotoa mchango wao wa mawazo, pia namshukuru mzee mkare MNyigana kwa kutumia mda wake mwingi kuandika hili chapisho Kabila la wangoreme limeundwa na watu waliotokea Arusha, Kenya na watu wa kusini mashariki ya tarafa ya ngoreme kufatana na...
  3. Cendy

    Korea Kaskazini: Urusi yadai Marekani inamchokoza Kim Jong-un

    Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov amedai Marekani ndiyo imekuwa ikiichokoza Korea Kaskazini na kuichochea kuongeza kasi mpango wake wa silaha za nyuklia. Amepuuzilia mbali wito kutoka kwa balozi wa Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kuvunja uhusiano na Korea...
  4. Cendy

    Anaejua ukweli kuhusu jmoney.site

    Wakuu habari za weekend naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha ulizo langu Kuna site hii jmoney.site hii site inamatangazo ambapo ukiingiza code flani wanazokupa wabakulipa mpaka sasa nimefikisha dollars 100 Na wanakulipa kwa njia mbali mbali mfano bit cone card western Union na...
  5. Cendy

    Kwa Mtu mwenye series Mwanza tubadilishane

    Wakuu nauliza kama una series na uko mwanza naomba aje pm ili tuone namna ya kubadilishana for free ntakufata popote ulipo ili mradi usiwe mke wa mtu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sitaki vita muraa maana mambo ni magumu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] the great
  6. Cendy

    Kudondosha risiti ya huduma ya choo kumeniponza

    Wakuu habari za humu jukwaani Leo wakati nikiwa safarini naenda maeneo Fulani huko tarime nilipita stand ya musoma niliingia chooni kutoka nikalipia nikapewa list ya sh mia tatu hatua mbili nikaindondosha ile list [emoji24] [emoji24] [emoji24] tatizo sio kudondosha list tatizo nikashikwa kwa...
  7. Cendy

    Thamani ya Neymar waweza kununua Pangaboi za mkulu ngapi?

    Nyota wa barcelona Neymar anataka kuiihama klabu yake ili kuelekea katika klabu ya PSG iliopo nchini Ufaransa ,lakini hatua hiyo inatarajiwa kuigharimu PSG rekodi ya uhamisho ya €222m Kwa bei, Neymar mmoja pekee ana thamani ya £198m, ama $262m, ambayo inaweza kununua. Ndege moja ama tatu Neymar...
  8. Cendy

    Faida ya kuwa Dar

    wakuu Leo nawaletea faida za kuishi dar mtaongezea za kwenu pia [emoji2] [emoji2] [emoji2] Faida ya Kuwa Dar-es-salaam Rais anaapishwa Dar Ikulu ipo Dar Magorofa marefu yapo Dar Magari ya Mwendokasi yapo Dar Tren za Mwakyembe zipo Dar Yanga ipo Dar Simba ipo Dar Azam ipo Dar Bahari ya Hindi...
  9. Cendy

    Community Food insurance (CFI)

    Wakuu za habari zenu kwanza, twende kwenye topic Nimekua nikifikilia sana kuhusu hili swala na Nina mpango wa kulifanyia research hapo baadae japokuwa kwa akili ya kawaida mtu anaweza akaona ni utani hivi ila issue iko hivi Nikiamua kuanzisha bima ya chakula kwa jamii hasa nikilenga makundi...
  10. Cendy

    Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

    Wakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu. Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe tutakujibu, wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine. Kiufupi Mzumbe main campus iko...
  11. Cendy

    Nisahihi MTU kupiga picha na kuweka mapozi kwenye msiba

    Kwanza kabisa nikili wazi sipo kwa ajili ya kumkandia le mutuzi kama anavyojiita ila nipo kuangalia ni ethical mtu kupiga picha msibani na kuweka mapozi ya ajabu ajabu? Wadau naombeni mchango wa mawazo yenu hasa uki refer hiyo picha ya le mtuzi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]...
  12. Cendy

    Jinsi nilivyokuwa memba wa kudumu wa CHAPUTA

    Wakuu habarini za weekend, Sitaki kuwachosha na salamu nyingi ngoja niende moja kwa moja kwenye Mada. Imepita miaka minne tu tangia niingie kwenye chama la wana (CHAPUTA), na chanzo kilikuwa ni mchumba wangu ambae tulikuwa tunapendana sana, alipokuwa akija geto nilikuwa na kamia show naenda...
  13. Cendy

    Msaada wa Act ya medical and dental practitioners ya 2005 cap 152

    Wakuu poleni na majukumu, naomba niende direct kwenye topic Naomba mwenye Act medical and dental practitioners ya mwaka 2005 cap 152 naomba anisaidie maana nimepata ya 2010 ambayo inamatatizo mengi na nimejaribu itafuta hii ya 2005 sijaipata naomba kama unayo naomba
  14. Cendy

    Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

    Habarini za weekend wanaJF; Nimesikitishwa sana na hizi video au post ambazo Mwalimu anapost au anasambaza mitandaoni huku akiwa anafundisha, tena anaonesha jinsi gani mwanafunzi anayemfundisha ambavyo haelewi ambae ni Mtoto mdogo under 10, najiuliza hivi maadili mliofundishwa huko vyuoni...
  15. Cendy

    Msaada wa kutengeneza SONY XPERIA

    Wakuu awali ya yote nawasalimu kwa jina la muumba mbingu na nchi. . Wakuu simu yangu aina ya Sony xperia ina tatizo la kukata network na kuandika hakuna sim card mara kwa mara Pia inatatizo la kupoteza kumbukumbu (inaondoa program niliokuwepo awali wakati naitumia) Nilikuwa naomba kujua...
  16. Cendy

    MSAADA KUHUSU WINDOW ACTIVATOR

    Wakuu kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa lenye viwanda. nianomba mwenye link nzuri ya window activator yoyote anisaidie hasa kama una KMSAOUT LITE nimesumbuka kutafuta namna ya kui download nimeshindwa nitashukuru kwa msaada wenu
  17. Cendy

    Picha ya kwanza ya Jupiter yatolewa

    Chombo cha anga za juu cha shirika la Marekani la NASA kilichopewa jina Juno kimetuma picha za kwanza za sayari ya Jupiter. Moja ya hizo, iliyotolewa na NASA Jumanne inaonesha sayari hiyo ikiwa imezungukwa na miezi mitatu kati ya miezi yake minne mikubwa. Miezi inayoonekana ni Lo, Europa na...
  18. Cendy

    Ndugu yangu Isaac Emil, Tecno imekuponza

    Kuna rafiki yangu mmoja ameniuliza kwa nini mwl haujatuelimisha chochote kuhusiana na kesi ya makosa ya mtandao iliyofunguliwa Arusha. Nikamjibu, mara nyingi kesi ikiwa mahakamani unatakiwa kutoa maoni yako tu kimtazamo pasipo kuingilia uhuru wa mahakama. Akaniuliza tena swali nadhani la...
  19. Cendy

    Za mwizi 40 imetimia kwa Barca

    Barca 1 unbeaten 2 3 unbeaten 4 5 unbeaten 6 7 unbeaten 30 unbeaten 31 32 unbeaten 33 34 unbeaten 37unbeaten 38 unbeaten 39 unbeaten 40 beaten Kweli za mwizi 40 shenziiiiiiiiiiiiiii Watu walikua wanasubiria tu kutimiza maneno ya wahenga Hapo zamani za kale...
  20. Cendy

    Kwa kujishushia Mshahara kiharamu, rais hajavunja labour law?

    Mwanafunzi wangu mmoja niliyemfundisha labour law ameniuliza swali hili, sijui alikuwa ananitega. Sikia, Eti mwl, mwajiri wako anaweza kujiamulia tu kushusha mshahara wako kinyume na makubaliano yenu ya awali wakati mkataba wako haujafikia mwisho? Nikatafakari, nikaona ngoja tu nimjibu bila...
Back
Top Bottom