Search results

  1. JITU LA MIRABA MINNE

    Kwa wakazi wa Arusha natafuta anayeuza kuku na bata, wadogo ningependa Croila au Saso

    Wakubwa kwa wakazi wa Arusha nahtaji anayeuza bata wadogo na kuku hasa croila, saso au malawi naomba connection.
  2. JITU LA MIRABA MINNE

    Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
  3. JITU LA MIRABA MINNE

    Nguvu ya mwanamke katika kujenga au kubomoa Familia, Taifa na Dunia

    Mwanamke ni kiumbe kinachoonekana ni dhaifu kwa mawazo yetu lakini shetani akimtizama mwanamke anaona ni mtu makini ambae anaweza kubomoa au kujenga dunia REFFERENCE (Mwanamke) 1.Aliongea na shetani katika bustani ya Edeni akashawishiwa kula tunda akala akamshawishi na Bwana wake wakala...
  4. JITU LA MIRABA MINNE

    Wanunuaji wa simu za smartphone used mnajihadhari vipi na ununuzi wa simu ambazo ni za wizi

    Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba, Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
  5. JITU LA MIRABA MINNE

    Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ? Karibuni sana
  6. JITU LA MIRABA MINNE

    Uzi maalumu: Umejipangaje kustaafu, utajishughulisha na nini uzeeni ili kuingiza kipato ili usiishi kwa mateso?

    Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
  7. JITU LA MIRABA MINNE

    Natafuta mchumba awe mke baadae awe mwalimu miaka 24+ awe secondary

    Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke awe mweupe au maji ya kunde Nipo serious Nahtaj mwalimu kwani atakua mama,mlezi,na mwalimu kwa...
  8. JITU LA MIRABA MINNE

    Mchanganyiko uliosagwa wa Tangawizi, Kitunguu Saumu, Mdalasini, Limao na Asali vinaweza kutumika kwa muda gani bila kuharibika?

    Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu. Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
  9. JITU LA MIRABA MINNE

    Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

    Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
  10. JITU LA MIRABA MINNE

    Wanandoa wa sasa mtafika jehanum City centre mkiwa mmechoka mwili na akili

    Ndoa za sasa ni changamoto kubwa sana nipo kitengo ,kesi ni nyingi kweli mapenzi kizunguzungu moyo wa kupenda umeisha kwa sababu zifuatazo 1.Umemtongoza mwanamke baada ya siku mbili atakuorodheshea shida zake zote uzitatue 2.Mwanamke unaachana na mume wako ukidai ni muhuni ana wanawake wengi...
  11. JITU LA MIRABA MINNE

    Nimetenga sh 50000 kwa mwezi kwa ajili ya kubet 500 per day mniombee

    Naombeni orodha ya kampuni za betting na jinsi ya kubet stage by stage kinachonifariji mbona wengine wanapata Nawasilisha hoja
  12. JITU LA MIRABA MINNE

    List ya utapeli wa mapenzi wanaofanyiwa wanawake mjini mpaka kumkubali mwanaume

    Mwaka 2000 nchini Ghana Ilikua ni saa 7 mchana jamaa kakutana na bint mrembo wa haja mtoto mzuri alikua ni miss Ghana wakati huo mchezo unaanza hivi, Jamaa alikua ni kapuku tu ,majalala,mtu wa kazi za vibarua lakini alikua anajipenda anavaa vizuri ,lugha nzuri ya utapeli kwa wanawake...
  13. JITU LA MIRABA MINNE

    Karibuni mniletee mazoezi yote ya kukata tumbo(sixpack)

    Je mazoezi haya wakati wa kufanya unatakiwa tumbo liwe limerelax umeliachia au umekaza tumbo?
  14. JITU LA MIRABA MINNE

    Lishe gani anayopaswa kupata bodybuilders

    Rejea kichwa cha habari,nipo zoezi gym lengo langu niwe bodybuilder matokeo sio mabaya japo nahitaji kocha lakini naombeni mnishushie hints na tips za vyakula anavyotakiwa kula mtu anaetaka kujenga mwili kwa kasi na mambo ya kuyaepuka Ahsanteni karibuni tupige teaz
Back
Top Bottom