Search results

  1. Saikosisi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    man u hatushikiki
  2. Saikosisi

    mwenzenu nimefiwa

    Pole sana. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. amen
  3. Saikosisi

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    unaishi wapi wewe? mgomo ulishaisha - madaktari wako kazini leo kama kawa.
  4. Saikosisi

    Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito)

    wagonjwa na ndugu wa wagonjwa wengi huwa hawawezi kuwasiliana vizuri na wahudumu wa afya - mkienda tena hospitali muongee vizuri kwa kirefu na daktari muangalie uwezekanowa vipi zaidi. na dawa anazotumia kwa sasa ni dawa gani? nakubaliana na mdau hapo juu kuhusu matatizo ya moyo, figo na kadhalika.
  5. Saikosisi

    AIDS/HIV and Coconut Oil

    hii "story" ni fake jamaa wanataka kuuza coconut oil tu! na katika pdf ambayo iko attached hakuna sehemu inayoonyesha studies zimefanyika ku-support statement kwamba "coconut oil can beneficially reduce the viral load of HIV patients". jamaa wanajua tu kuwa watu ni wavivu hawatasoma! lol!
  6. Saikosisi

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    pole sana kwa msiba
  7. Saikosisi

    Msaada Jamani!!!!!!

    nenda hospitali, mitishamba haitakusaidia. na kifafa sio jini. kha!
  8. Saikosisi

    Unaweza kufanya mapenzi na mwanamke aliye katika siku zake bila kupata mimba? Na sababu ni nini?

    ili mwanamke apate mimba surti ziungane mbegu za kiume na yai la mwanamke; mwanamke akiwa kwenye siku zake yai linakuwa limekufa hivyo hawezi kupata mimba. nguvu za kiume na mbegu za kiume zaweza kupungua au kuisha hata kama mtu hafanyi mapenzi mara kwa mara kutokana na magonjwa mbalimbali...
  9. Saikosisi

    Makatazo yangu na usia wangu juu ya kuchanganya vyakula

    acha uzushi wako. sayansi ya wapi hiyo?! au mambo yetu yale.... (loliondo)?
  10. Saikosisi

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    pole, unasikitishwa na reporter ama matokeo?
  11. Saikosisi

    Nimemwona Mama Mkwe uchi wa kuzaliwa kwa bahati mbaya, ni laana?

    not a big deal, endelea na maisha yako.
  12. Saikosisi

    Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

    kha! mtu kama babu yako anakudanganya atakuoa?! nawe unadanganyika?! hiyo akili au matope. watakuwa wanatiwa kwa kukubali bana acheni hizo.
  13. Saikosisi

    Mashahidi wa yehova-changamoto iliyofichika kwa wahudumu wa afya

    Yes, mie nitafanya hivyo na sitakuwa na kovu kwa sababu ni uamuzi wake (sahihi according to his/her beliefs) na ndivyo inavyotakiwa. suppose unamlazimisha kumtia damu na akafa vilevile (maana yake anakufa kabla ya kupata fursa ya kutubu - kama anavyosuggest Uda) inakuwa umem-lostisha sio...
  14. Saikosisi

    Mashahidi wa yehova-changamoto iliyofichika kwa wahudumu wa afya

    Kama mgonjwa ana akili timamu, yeye ndiye atakuwa na uamuzi wa mwisho na akishasaini kama alivyofanya mgonjwa tajwa hapo juu, mhudumu wa afya hana kosa, kifupi twasema "his/her ass is covered" - akishtakiwa likely atashinda.
  15. Saikosisi

    Re Loliondo kwa Babu with Techinical Report!!

    very unfortunate. this is not science. this is politics. the methodology and the "findings" are very inconsistent – the so called findings are actually literature review not the results from the authors "research", plus a lot of flaws in the "technical report" > findings in rats and mice...
  16. Saikosisi

    Tiba ya babu wa Loliondo ya magonjwa sugu ni batili.

    Hhaaaa Haaaaaa, ndio tunaishi kisen.ge kama walivyoishi babu zetu (wasen.ge) enzi za majimaji! Risasi zilibadilika kuwa maji! lmao
  17. Saikosisi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    ubingwa huoooo .... ! man u juu juu zaidi
  18. Saikosisi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    kweli, hatushikiki...!
Back
Top Bottom