Asante Madam Mwajuma kwa mchango wako, hoja ya msingi hapa si kutokulipa mkopo, ni kweli kwamba unapashwa kuanza kurejesha mkopo baada ya mwaka mmoja vinginevyo kuna 10℅ penalty. Hoja ya msingi hapa ni kuwa kuna uhalali(kisheria) kwa wanufaika wa mkopo wa kabla wa mwaka wa masomo 2012/13 kulipa...
Kwa wale ambao wameanza kurejesha mikopo yao nadhani wamekutana na hiki kitu kinachoitwa Loan Retention Fee. Kuna tozo ijulikanayo kama “Loan Retention Fee” ambayo ni 6% kwa mwaka (6% per annum) ya kiwango cha fedha ulichokopa na inakatwa hadi pale utakapoanza kurejesha mkopo wako.
Pengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.