Search results

  1. baina

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

    Ili jimaaa si lilisema eti 'kwa kasi na kwa viwango' kama kuna mtu nimemchukia siku chache hizi basi ni ili lijamaa la urambo mashariki.
  2. baina

    Kuhusu hotuba ya jk: Naomba tujadili masuala haya kwa umakini

    Mazee bila shaka mnakumbuka jinsi jk alivyoponda kwa sana taarifa ya tume ya walioba, na zaidi hasa kwa kuponda suala la waliotoa maoni, mimi ninaomba tujadili haya; 1. mara baada ya tume kukutana na watz ilikutana pia na taasisi mbalimbali na vyama vya siasa, na hapa kuna suala moja kwamba...
  3. baina

    Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

    kwenye red hapo, naomba utambue kuwa hakuna mjumbe hata mmoja uliyemtuma dodoma kukuandikia katiba. Wote wamejitungia sheria ya kuwa wajumbe, na wengine wamepelekwa na raisi. Husipotoke na wala husipotoshe jamii.
  4. baina

    Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

    Hivi wewe elimu yako ni ya darasa la ngapi?, hivi unashindwa kujua kwamba hakuna hata mjumbe mmoja ambaye anawakilisha wananchi?, ni lini umemchagua mtu na kumtuma dodoma kukuandikia katiba?, eti wawakilishi wao', wote walivyo ni yupi anayewajibika kwako au atakayewajibika kwako kwa michango...
  5. baina

    Wataalamu wa katiba naomba mnisaidie ktk ili.

    Kwakuwa bunge la katiba linaendelea mpaka sasa, na kwa kuwa kundi kubwa la waliomo humo ni wabunge ambao tuliwachagua sisi na kwa kuwa hao wabunge waliapa kulinda katiba ya JMT, na zaidi kwakuwa ktk katiba ya sasa ya JMT hakuna kifungu chochote kinachowapa madaraka hao jamaa kutunga katiba mpya...
  6. baina

    msaada wa kisheria kuhusu employment contracts

    mkuu nakushukuru sana kwa msaada wako, ila naomba unisaidie kitu kimoja kwani mie si mwanasheria japo kimombo kinapanda, vipi waweza kuniandikia kwa marefu maana ya hapo kwenye red na je hiyo document naweza kuipata?. Zaidi ni kwamba huyu mwajiri anataka kufuta ajira za kudumu za wafanyakazi...
  7. baina

    msaada wa kisheria kuhusu employment contracts

    Samahani wanasheria naomba kufahamishwa kuhusu tatizo hili, Kuna mwajiri (jina kapuni) anataka kubadilisha/kufuta mikataba ya wafanyakazi wenye ajira ya kudumu (a contract for an unspecified period of time) na eti awaingize katika mikataba ya muda maalum. Hapa nashindwa kuelewa kama sheria ya...
  8. baina

    msaada: Voice Navigation System - Toyota ND3T-W54, DVD Japan 2005 (A23) 86271 V358A4

    wanajf nina gari langu aina ya surf cd yake niliipoteza na kwa mantiki hiyo sina ubavu wa kupata raha kupitia DVD/radio yake. hivyo naomba mwenye link ya kudownload hii kitu anisaidie. inaitwa ''Voice Navigation System - Toyota ND3T-W54, DVD Japan 2005 (A23) 86271 V358A4'' without quotes...
  9. baina

    Msaada : Ardhi university admission letter.

    Mkuu nimefanya kama unasema lakini imegoma, link inafungukia google, lakini napojaribu link nyingine naona ziko poa. Mwenye ujuzi/aliyejaribu na kufanikiwa please let us share this doc.
  10. baina

    Msaada : Ardhi university admission letter.

    Kwenye website ya chuo cha ardhi kuna link ya kushusha barua hizo, na ukiclick link za barua za program nyingine zinaachia mzigo na unadownload lakini mimi ambaye shida yangu ni kushusha adm. letter ya Bachelor of Science in Environmental Science and Management (B.Sc. ESM) nimeshindwa, naomba...
  11. baina

    Ardhi mbona hawatoi? Nimechoka kusubiri

    Jamani hivi hawa jamaa wa ardhi mbona hivi?, yaani admision nazo mpaka tuonge?, kama hawataki si waache. dah.
  12. baina

    Naomba msaada: Kutumia modem kupiga simu

    Mkuu yangu ni zte mf 100, na nintumia metfone. tatizo ninalokutana nalo ni kama nilivyoeleza ktk post yangu. msaada tafadhali. rejea post yangu mkuu.
  13. baina

    CCM kwa hili wanachama wa CCM hamjawatendea HAKI.

    Vipi suala la idadi ya tembo wetu ambao amaisha waua hajaliongelea?, enewei hachana na jangili huyu
  14. baina

    Kagasheki na Meya Amani enzi za urafiki wao

    Maasimu wakubwa wa CCM Bukoba , ambao ni mbunge Kagasheki na Meya Amani wakiwa wanalakiana ktk uwanja wa ndege wa Bukoba, mwenye suti nyeusi ni kagasheki, na Amani ndo huyo mwenye koti jeupe na miwani. Hawa jamaa walikuwa marafiki si kawaida, leo hii, mmmmmmmmmmmmmmmm. Ngoja tusubiri matokeo...
  15. baina

    Naomba msaada: Kutumia modem kupiga simu

    Wanajamvi shida yangu ni kwamba modem yangu niliichakachua na kuifanya itumie laini zote na zaidi natumia Metfone 3g sofware kukonect. Na kwa bahati nzuri hii soft. ina call feature, ila tatizo ni kwamba nikitaka kupiga simu napata message hii 'NO DEaVICE, CAN NOT CALL', lakini ni kwamba drivers...
  16. baina

    Msaada: How to enable plug and play (auto run) ktk modem?

    Msaada msaada msaada. Nina modem yangu ya zte ambayo niliifanyia debranding. Shida yangu nataka kuifanya hii modem iwe ina ji-start yenyewe badala ya mimi kui-start manually (plug & play). Nimejaribu NA nimeshindwa. Je kuna njia yoyote/software ya kufanya au kuwezesha ili? Wanajamvi sijui...
  17. baina

    Kuhusu kalenda, tarehe.......swali.

    Suala la elimu hapa linakujaje?, shida yangu ni kwanini tarehe haibadiliki kuanzia let say saa moja ya leo asubuhi kwa maana ya kwamba kwanini siku moja hisiusishe mchana mzima na usiku mzima?, ok mie nina nachukua MBA. Huu ulikuwa ni mjadala mrefu wa mie na wenzangu.
  18. baina

    Madiwani 8 waliofutwa uanachama CCM Bukoba kuomba radhi

    Wakifanya hivyo ndo wataonesha jinsi walivyo vihiyo, upinge ufisadi halafu ukiri?, sasa huyo kigogo ni nani kama si kagasheki?, basi ccm mfukuzeni mzee wa maliasili na utalii kama mna ubavu.
Back
Top Bottom