Search results

  1. MWAKATA KWETU

    Uchaguzi chadema kahama waingia matatani

    Aliyekuwa Mwenyekiti WA CDM Jimbo la KAHAMA Mjini Kamanda Juma Protas Ntahipera ameenguliwa kwenye kinyang'anyiro hicho Kwa tuhuma ya Kikiuza Chama. Juma Protas Ntahipera alikata Rufaa kupinga maamuzi hayo ya Chama kwani anadai hakupewa nafasi ya kujitetea na hakuna ushahidi ulionyeshwa au...
  2. MWAKATA KWETU

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Apumzike Kwa Amani,,amsalimie Magufuli
  3. MWAKATA KWETU

    Chadema yaanza ziara ya Kikazi Nchi za Ulaya

    Kazi gani hiyo...Kwisha habari yenu
  4. MWAKATA KWETU

    Ajali ya ndege "Kumbe ni uzembe" basi kuwajibika ni lazima

    Ndege imevutwa tayari abiria walishaokolewa
  5. MWAKATA KWETU

    Ex-President Jakaya Kikwete Uses Influences with Samia to China's Favor!

    Mbona hamshauri kuachia Mikutano ya kisiasa na Katiba Mpya
  6. MWAKATA KWETU

    UVCCM wamuonya Anthony Diallo

    Hii inaonesha kuwa wamekubaliana na jambo hili. Haiwezekani aliyekuwa Mkuu wa Nchi aitwe Mwehu afu Viongozi Wakuu wa Chama wasitoe tamko lolote. Ni dhahiri kuna genge liko nyuma ya Dialo.
  7. MWAKATA KWETU

    Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Nyie CHADEMA changieni sasa mbona mmekaa kimya na hilo genge lenu la akina Nape,,Kikwete,,Ridhiwani,,,January... Mnakodoa mimacho
  8. MWAKATA KWETU

    #COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

    Hakuna siku ambayo Watanzania walirudi katika majonzi siku ya uwasilishaji wa Tume aliyounda Raisi wa Kikatiba wa Tanzania, Watanzania hawataki chanjo. Kwanini huyu Mama anashadadia sana Chanjo ya COVID 19?kuna nini nyuma yake?Ndio kusema mnatupenda sana? Mtaani kwangu sijazika hata Watanzania...
  9. MWAKATA KWETU

    #COVID19 Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

    Wewe nae,,eti ichukue hatua kali,,mtaani kwako wamekufa wangapi ???mambo ya India unatuletea huku???mnataka tuvae barakoa zenye Wadudu wa COVID 19...Mnataka kutuuua.... Mmemuua JPM,mnataka na Watanzania muwaue,,,??
  10. MWAKATA KWETU

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Si mlisema Magufuli anavuruga Demokrasia,,,haya ongeeni sasa...
Back
Top Bottom