Search results

  1. gilldenu

    Ulevi wa mume unaelekea kuniharibia kazi

    Wapendwa habarini, Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December. Ninachokipata kazini tunagawana ila ndo hivyo pombe lakini hilo halina shida bora alewe kwa starehe zake...
  2. gilldenu

    Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

    Nipo apa dilemma nipo kazini mwenzangu ajira bado, kaniambia ili tufunge ndoa inabidi mshahara wangu tugawane pasu kwa pasu ndo anioe. Nipo tu nimebaki njia panda.
  3. gilldenu

    Msaada Ajira Portal

    Habari jamani, Profile yangu imekamilika 100%. Na vigezo vyote navyo kama bachelor ya uhasibu na CPA lakini nikiapply kazi inanambia Job application failed, check professional requirements for the job post. Na job post inahitaji internal auditor II, msaada mwenye kujua solution nini nifanye.
  4. gilldenu

    Naombeni ushauri

    Naishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu... Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo Ugomvi usio na kichwa wala miguu... Ukikaa kimya una kiburi ukisema umjibu ndo moto unawaka zaidi, kilicho nichosha zaidi ni tabia yake ya kumwaga chakula pindi...
  5. gilldenu

    Jino linaniuma

    Wapendwa, Nasumbuliwa na jino gego la juu linaota sasa fizi zimevimba na jino linaniuma balaa nashindwa kula upande huo... na apa nimekunywa panadol lkn bado maumivu nayapata msaada kwa mwenye ufahamu naumia....
  6. gilldenu

    Naomba kujuzwa basi zuri Mbeya kwenda Dar

    Wakuu natarajia kusafiri Mbeya Dar nomba mwenye ujuzi wa gari nzuri. Natanguliza Shukrani....
  7. gilldenu

    Earphones kuto connect kwenye iPhone

    Wapendwa nna shida earphones haziconnect kwenye iPhone naomba msaada wa utatuzi nifanyeje iliziweze kuconnect...
  8. gilldenu

    Wataalamu wa kilimo Cha mahindi mje hapa..

    Haya mahindi yanaanguka tu shida ni nini wapendwa...[emoji116]
  9. gilldenu

    Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

    Wakuu kwema. Mambo ya online business kuna page Instagram wanauza iPhone, nikachati na muuzaji anauza simu used kutoka UK nilitaka iPhone 7+ wao wanauza 450,000 nikawaomba wakanipunguzia mpka 430,000 ijumaa ya tarehe 22 nikawatumia pesa kwa tigo pesa wakala. Mwenyewe anadai duka lipo Zanzibar...
  10. gilldenu

    Ni ipi tofauti Hesabu kati ya Hisabati

    Wakuu hekima kwenu, Naomba mnisaidie kujua tofauti ya hesabu na hisabati maana yanatumikaga kumaanisha kitu kimoja lakini naamini kila moja lina maana yake.
  11. gilldenu

    Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

    Wakuu kwema Moja kwa moja kwenye mada. Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya ndoa? Maana wengine wanabadili hadi dini ili kumridhisha mwanaume lakini bado haolewi. Hata...
  12. gilldenu

    Jina la mtoto wa kiume

    Wapendwa kwema, Naombeni mnitajie jina la kiume la kinyakyusa linalofaa kumpa mtoto wa kiume... Asanteni. am better here
  13. gilldenu

    Tabia za Mtoto alie zaliwa katanguliza miguu

    Wakuu kwema nombeni msaada kwa anaejua tabia anazokuwa nazo mtoto alie zaliwa katanguliza miguu... Huwa wakikua wanakua na tabia gani kwenye jamii.....asanteni am better here
  14. gilldenu

    Laptop HP inauzwa

    HP inauzwa laki nne unachukua tsh400,000
  15. gilldenu

    Nauza itel S31

    Itel S 31 inauzwa bei 150,000 mazungumzo yapo camera safi Frash,memory card kila kitu kizima karibuni PM
  16. gilldenu

    Wanaume warefu...

    Jaman Leo hata siwasalimii, najua nimechokoza nyuki. Nyie wanaume warefu mnakwama wapi mbona mnaongoza kwa vibamia na urefu wenu tulitegemea muwe na mizigo ya maana ya kutufikisha kwenye kilele cha mlima. Mwanaume akiwa tall basi kwenye boksa kuna kipisi tu anyway ndio mlivyo si kosa...
  17. gilldenu

    Nimepoteza msisimko wa mapenzi

    Tangu ni fanikiwe Ku move on jaman najiona nimebadilika sana sina mzuka wa mapenzi kabsaaa yaan Niko wa baridi sana kwanzia moyoni sina feelings na mtu yeyote .. Ata nkikutana na mtu wangu sitaki ata anisogelee nakeleka sitaki ata romance ata sex siinjoy wala siiwazi tena... Afu Niko mkavu...
  18. gilldenu

    Tatizo nyota...

    Wakuu natumai nyote mko wazima kabsa... Kwenye mada moja kwa moja Me kwakweli elimu hii ya unajimu sio kiivo ila naijuamo Kuna watu wengi mnapitia struggles mbalimbali kwenye mahusiano mbalimbali lkn hujawahi tulia na mtu wa maana au mtu sahihi ili mulisongeshe gurudumu LA mapenzi Sasa utakuta...
  19. gilldenu

    Kwa wazazi wenza

    Hasa wanawake ...... Unakuta umezaa na mwanamke kwa bahati nzuri au mbaya hamkufanikiwa kufikisha lengo la kuoana ...sasa shida inakuja pale mwanaume uliye zaa nae anataka kuoa mwanamke mwingine tofauti na wewe ulie zaa nae .... Kwanini huwa mnawaletea fujo wale mabinti walio olewa na baby...
  20. gilldenu

    Nini hupelekea wanaume kutowaoa wanawake waliowazalisha?

    Nawasalimu nyote moja kwa moja kwenye mada.... Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kuwazalisha wanawake bila kuwaoa na kwenda kuoa mabinti wengine wenye watoto au wasio na watoto Swali langu Ni nini hasa hupekekea kutowaoa mliowazalisha (baby mama wenu) na kwenda kuoa...
Back
Top Bottom