Search results

  1. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Heloo.mkuu sorry naomba mdaada cm yangu nikifungua hasa picha hazionyeshi ila zamani nilikuwa nikifungua zinafunguka sijajua km.kuna mfumo mpya hapa jf au application gani nitumie niweze kuona picha cm yangu ni Samsung A 11
  2. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Heloo.mkuu sorry naomba mdaada cm yangu nikifungua hasa picha hazionyeshi ila zamani nilikuwa nikifungua zinafunguka sijajua km.kuna mfumo mpya hapa jf au application gani nitumie niweze kuona picha cm yangu ni Samsung A 11 mdaada please
  3. M

    Niko hai sababu ya mtoto wangu

    Pole sana my dear ,duniani hakuna kukata tamaa,changamoto tumeumbiwa binadamu ili tuzikabili nankadri unavyopitia changamoto akili inajengeka as unakuwa strong ila sugu ,Muombe Mungu akushindie hiyo/hizo changamoto ,tunapitia wengi but but tunasimama na kumuomba Mungu na kusonga mbele ili tulee...
  4. M

    Mzee John Malecela atua Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki msiba wa Mwanaye

    watoto wa Mzee Malecela waliotangulia “mbele za haki” ni: 1). Senyagwa Malecela 2). Dkt. Irene Malecela 3). Mkwavi Ipyana Malecela 4). Dkt. Mwele Malecela, na 5). William Malecela (Le Mutuz) duniani kuna watu wanapitia magumu sana.
  5. M

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Sorry hivo mabebez ni nini?
  6. M

    Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

    Kwa ambao hayajawafika mwaweza comment vibaya ,hii hali wanawake wengi sana inawapata,hata mimi lakini nimejifanyia tathmin ,mume wangu yupo very rude ,yaani ni mtu wa kufoka sana na mwepesi wa hasira hivyo kipigo hata kwa kosa dogo atakupiga ,kwa familia ni baba bora sana ,ila kwa mke kafail...
  7. M

    It’s a Boy

    Hongereni sana ,tunamshukuru Mungu kwa jambo ,tunawaombea mama na mtoto afya njema
  8. M

    Ukibadili mke zaidi ya mara mbili mwenye shida ni wewe

    Wanawake ni wavumilivu sana katika ndoa ,chanzo cha ndoa kuvunjika asilimia kubwa chanzo ni me ,hii ni sindano
  9. M

    Madini yetu, kazi zetu

    Waziri wetu but hayo yote yanafanywa na wa chini yake ila sifa zinakwenda kwake big up
  10. M

    TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

    Jamani mimi picha hazifunguji kuna shida gani?
  11. M

    Tunawasaidiaje hawa Yatima?

    Ni kijana aliezaliwa 1991,masomo ya arts ,connection nimeshindwa mkuu kama unaweza nisaidia please naomba msaidie
  12. M

    Tunawasaidiaje hawa Yatima?

    Ahsante mkuu kwa ushauri wako ,nilisahau kuelezea kuwa nilimpa kama mtaji akasema naenda kufanya biashara Mbeya mjini ,ya suruali za mtumba ,na anaendelea ila anasema biashara ngumu wakati mngine hauzi kabisa
  13. M

    Tunawasaidiaje hawa Yatima?

    Habari wana Jamii forums, nilikuwa naomba mawazo yenu namna nitakavowqshauri hawa Vijana yatima. Ipo hivi kuna kijana ni wa mwisho kuzliwa kwao, wazazi wake walimuacha akiwa fomr one walifariki kwa HIV positive. Familia hizi ni zile kila familia wanajijua wao yaani baba mkubwa na watoto hajali...
  14. M

    Mliosoma PCM vipi maendeleo kwenye ndoa?

    Majority wanaume waliosoma PCM ndoa zao zina shida sana na wengi hawako romantic ,ila wapo smart kifamilia hahaaaa
  15. M

    FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    Horoya kwa namna wanavyocheza ilikuwa halali wapigwe nyingi, kwanza awakumuheshimu mpinzani ambaye yuko nyumbani kwake, wameingia kwenye mchezo wakafunguka kuanzia dk ya kwanza ya mchezo, na hapo hapo wakashindwa kujielewa kwamba sio wazuri ni timu ya kawaida sana ambayo nafikiri bado...
  16. M

    Vijana mkitaka kuoa au kuzaa tafuteni sehemu yenye CV History, msije kulalamika

    Jamani hahaaaa kweli ukiongeacho, unakuta ukoo mzima haueleweki, akichomoka mmoja basi wote wanamtegemea yeye.
Back
Top Bottom